KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 31 May 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * LET'S CELEBRATE THE JUBILEE GET £10 OFF WHEN YOU SPEND £40 OR MORE IN SHOES AT SNAP SALON & ACCESSORIES 206 RIDLEY ROAD LONDON E8 2HN " KARIBUNI SANA OR TEL: 07787471024"






 The work of my hands By: Flora Lyimo Designer"






 Hivi vina faa kwa ile Jubilee Baby shower inayokuja next week " dress code:pink ,blue,red na white"viwahi leo mpaka mwisho wa wiki ijayo kwa bei sawa na bure huku ukipata £10" unaponunua vitu vya garama ya £40 na zaidi.karibuni sana"


CL ya ukwee"



* IN YOU BEEN SNAP BLOG * MINI ALBUM YA LOOK OF 31/05/2012" ONENI MAMBO YA KWENYE JUA NA HAPA SI PENGINE DUNIANI NI UK -LONDON !! MJI MKUU WA ULAYA"


Haya si ni mayeboyebo jamani au nimekosea!!








Kudadadeki MAMA HUYU ANAZIVUTAJE!!!!
Maisha  kujipa raha mwenyewe asikudanganye mtu"

Camera na mpiga picha maarufu na za ukwee :
"Flora Bahati Lyimo"

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * HII NI KWA WALE WANAOKIMBILIA KUOWA AU KUOLEWA NA MATAJIRI" SOMA MANENO KUHUSU HARUSI YA FACEBOOK CEO MARK ZUCKERBERG " ALIYO ANDIKIWA LEO NA MAENGEZEO KUTOKA KWA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO"


Facebook CEO Mark Zuckerberg and new bride Priscilla Chan are wed
"Habari na Photo from Daily Mail "

Pichani ni Facebook CEO Mark Zuckerberg and new bride Priscilla Chan are wed"

No matter that a few days ago, Zuckerberg made nearly £12 billion from the stock market launch of Facebook, the company he founded. It was just 24 hours after the flotation that Mark Zuckerberg announced his nuptials to the world by updating his status on the social networking site to ‘married’


His new wife, college sweetheart Priscilla Chan, updated hers to ‘jackpot’.
At least, that’s the joke doing the rounds on the internet.


Even if that’s what we’re all thinking, it’s a cheap shot to suggest that mountains of cash had anything to do with last week’s surprise nuptials at the couple’s £4 million home in Palo Alto, California.

After all, the pair have been together for nine years — ever since their eyes met at a student party at Harvard. In fact, the dotcom tycoon says the nuptials were timed to coincide with Chan’s medical school graduation ceremony last week.

But divorce lawyers have pointed out that 28-year-old Zuckerberg may also have wanted to exploit local divorce laws, which means that should he and Mrs Zuckerberg ever split up, she might not be able to claim any of his new fortune — because he made it before they became man and wife, even if it was by just a few hours.


Miss FB Flora Bahati Lyimo amalizia kwa kusema" kwa wale wanaokimbilia kuoa au kuolewa na matajiri sasa wakae chonjo wakifaham kwamba kuna namna yakuzuia mhondo huu wakuowa au kuolewa kwa matajiri hao.cha muhim my dears ni kumpenda mtu akupendae bila kufikiria utajiri wake na hapo ndipo unaweza kujikuta hata utajiri wake huo kukupa bila hata yakusita kwenda kumtafuta huyo au hao MADIVOSI ..DIVORCE LAWYERS"
Mungu kaumba Dunia Mwanamke kwa Mwanamme ili waende wakaijaze Dunia siyo kwa UTAJIRI bali kwa WATOTO"
Na Dunia itafaa pale ambapo watu watakapo owa .kwa njia hii.MATAJIRI KUOWA MASIKINI ZAIDI.kwani hivyo ni kuisaidia Dunia kuwa na Matajiri zaidi babala ya kuwa na Masikini zaidi" God Bless the World " Ruwa Mangi!

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * JOTO LIKIKUZIDI KAMA HUNA GARI NUNUA FASTA FASTA UWEZO WAKO MUHIM" SASA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO KASIKIAJE JOTO NA KALIPENDAJE HILI GARI" BUT " CAN SHE DRIVE IT NOOOO" MBUTA NANGA!!






Kudadadekiii..Joto likikuzidi nunua gari fasta hasa ulipendalo..IN LOVE WITH" sasa mtoto Wakichagga sijui kuendesha gari nilikataa kujifunza shauri ya kusikia kizunguzungu" (dizzy) wakati wakuendesha.kwa hiyo hapa ni kuendeshwa tu,,je ungependa kuwa dereva wa Miss FB Flora Bahati Lyimo? ila uwe na leseni safi!!!

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * MISS FB FASHION POLICE OF 31/05/2012 NI WALOCHAFUA CHUGHULI ZA JANE'S KITCHEN PARTY " AMBAZO DRESS CODE: ILIKUWA NI PINK ,YELLOW AND BLUE"

Kwanza napenda kuwaombeni radhi kwa kuadimika kwa 
*MiSS FB FASHION POLICE*  kwani nimekuwa na shughuli za kufa mtu ila msijali nitajitahidi hata kwa mara moja kwa mwezi.kwani Napenda kuona WATAZANIA TUKIWA MISTARI YA MBELE KWA MAVAAZI HASA KWENYE SHUGHULI ZETU AU ZA WATU" GOD BLESS YOU ALL AND HAVE FAB DAY WADAU WANGU "(picha) kutoka kwa 8020 Fashion"

MISS FB FASHION POLICE SAY:

Hebu watizameni hawa Madada's jamani hivi walikuwa wanawaza nini wao wanaambiwa dress code ni Pink ,Yellow and Blue .wao watazeme hapa yani wamefika na mavaazi yao ya shughuli zao na siyo za mwenye shughuli hii Jane's " si hii nikumchafulia kabisa wewe waona tena na wakapanda juu na kutaka kufunika na jina kabisa na wrong rangi zao .

Tuanze na (wakushoto)  ndo basi kachafua kabisa yeye kachukua black dress kaongezea hicho kitambaa kilichobakia kwa mshono wa full dress ya nguo ambazo zilivaliwa in full huko ukumbini " au ndo mabaki ya fundi wa michoni ya nguo zile  yalobakia na kumdanganya tutakuongezea kitambaa hicho kwa bei sawa bure?!! My dear next time zingatia "dress code ni dress code "tafuta rangi hizo hata kanga zipo za rangi hizo zimejaa tele.wacheni kujiaabisha na kutuharibia shughuli za watu "

Tumaliza na (wakulia) huyo ndo nomaaa! aliwakaje na wrong rangi yake" huyu dada yani alitafuta mng'aro wake huo kwa makini sana ila kwa shughuli zake na siyo za hii shughuli ya dress Code Pink ,yellow and blue...yeye angetakiwa avae hiyo nguo yake ya Orange in Blue na hivyo viatu na handbag viwe orange..my dears mnapoambiwa DRESS CODE.JUENI NI DRESS NA SIYO "ACCESSORIES" sasa wewe ulituvalia Accessories dress code na ukahakikisha mpaka juu utapanda kufunika maandishi kabisa ya hii shughuli sijui mlikuwa mnataka paandikweje hapo palipowakilisha shughuli hii Jane's Kitchen Party"
"MBUTA NANGA!!!