KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday 30 March 2014

BY FLORA LYIMO ~ BREAKING NEWS~ YASHIKA DEPORTATION TO MAURITIUS TODAY WAS AGAIN DELAYED'' FLORA LYIMO AND TEAM YASHIKA HAVE THIS TO SAY TODAY'' THANKS GOD AND THANKS EVERYONE WHO CALL THE AIR MAURITIUS AND PROTEST FOR HER'' HAPPY MOTHERS DAY''





Thank you Mama Bikira Maria na Wale wote mliopiga sim na kuandamana hadi kieleweke'' 
Yashika Bageerathi's deportation to Mauritius delayed 24 minutes ago Yashika Bageerathi Yashika Bageerathi was due to be deported to Mauritius without her family The deportation of a Mauritian student has been delayed after lawyers said they would seek a High Court injunction to block her removal. Yashika Bageerathi, 19, from Enfield, was scheduled to be on a flight from Heathrow at 17:00 BST. She was given plane tickets by the Home Office and told to leave or "removal may be enforced". Lynne Dawes, head teacher at Yashika's school in London said she had been told she would not be on the flight. She has been in Yarl's Wood Immigration Removal Centre since 19 March. Ms Dawes, from the Oasis Academy Hadley, north London, said: "Yakisha was told last night she wouldn't be on the flight. "Home Office removals has confirmed to our solicitor but we don't know why." About 100 pupils from the school held a protest in Parliament Square on Saturday against her deportation. The A-level student came to the UK with her mother and younger brother and sister in 2011 to escape a relative who was physically abusive.

Flora Lyimo Fashion Police Blog

BY FLORA LYIMO ~ HAPPY MOTHERS DAY TO THE SUPER MAMA FLORA LYIMO AND ALL THE MOTHERS IN THE WORLD'

Mama Flora Lyimo akiwa amembeba Mjukuu wake ,huyu ni Mmoja wapo wa Wajukuu wake 15 'kati yao ni Watoto wake watatu nikiwepo Mimi ambao bado hatuna Watoto'' Ila yah One day ''Tukiwataka tutawapata tu''sema Muda wetu wakuwataka bado 'mbuta nanga''Pole my Super Mama Flora Lyimo ikiwa sijampata Mr Right na Ndoa kwanza ni Mwiko kuzalia Mtoto Nje ya Ndoa'' that is on Flora Lyimo Life Book'' Moja ya Vitu 14 ambayo nishaapa kuvitenda na siyo bila Mungu au Mimi mwenyewe kupenda vinaweza kutendeka au visitendeke,Ila Muamuzi ni Mimi na Mungu akiweka mikono yake ya baraka''habari ndiyo hiyo ''will call you baadae My Super mama'' Yani My Dear Sweet Mother I hope your Special Day is Blessed with Sunshine and Smile ,laughter ,Love and Bila kusahau Happiness Always'' NAKUPENDA KUPITA MAELEZO MAMA YANGU ''SUPER MRS LYIMO''NA MWANA CCM WA UKWEE ALIE KATAA NGUO ZA RANGI YOYOTE,,BUT GREEN ,YELLOW  ,BLACK NA BLUE,Yani My Super Mama ukimpelekea Nguo isiyo na hizo Rangi ujue kimekula kwako maana hutomuona kavaa hata siku moja'' Mbuta Nanga! KIDUM CHAMA TAWALA ,NA ADUM MAMA FLORA LYIMO AISHI MILELE NA MILELE 'AMEN''
Flora Lyimo ,She use to Go to Shirika la Bikira Maria wakati akiwa hajatoka Kijijini kwao Kilema Moshi Kilimanjaro na Miaka 15 kwenda Mjini ''na Mji wa kwanza kupitia ambao nilikuwa sijawahi kwenda was Arusha then Nairobi Kenya'ambapo nilijifunza kizungu na computer miezi minane na kuona aisee''nataka Hela sasa hapa kwenye hili darasa ninapata Hela ngapi na ninataka Krismasi niende Nyumbani na mabegi yalojaa zawadi za Mama yangu 'Bila kuwasahau ndugu zangu wote ''Yani hawakuniona tena darasani baada ya hiyo WAZA WAZA YA MIMANOTI ,Ndiyo moja kwa moja nikaingia kucheza Chakacha'' basi nilipotolewa kwenye Magazeti ya Kenya na Kwenye TV News ''mbona was majangaaa'Uwii sitakaa nisahau'' The New Queen of Chakacha'miss Flora Lyimo' Hadi nilipotoka Nairobi na kwenda Mombasa ,huko ndiyo kulikuwa Mambo yote na Jina nikapewa mpya' The Chakacha Queen Miss Florida'Waliniita Miss Florida kwa sababu ya Night Club iloniandika kazi 'kucheza Chakacha kila Usiku saa Sita was Show time'' (FLORIDA NIGHT CLUB ) Mombasa'Wazungu Waamerika walikuwa wameja Kipindi hicho ,siku izi hata sijui kukoje tena ,ila one day napenda niende nikakuone tena aisee was raha sanaaa ,Alafu Wazungu mimanoti waliokuwa wanakuja stejini kunituza was madola tu' yani kwa kweli nilipata Hela sana enzi hizo 'and Yes nikaanza kujenga Kijijini kwetu Nyumba ya Room Tisa was like ..sijaamini najenga nyumba ya bloku,na kuweka bomba,Umeme ,sim na TV ''which I AM SO PROUD OF MYSELF 'I WORK HARD AND LOVE TO TAKE CARE OF OTHERS'' THAT IS WHAT I LOVE TO DO AND MAKE ME HAPPY PIA'And you know what?''My  Mama was so Happy and always happy even now'' But kusema kweli ''she dont like me 'kuwa na Mzungu'' Usimwambie lakini''hiyo ilikuwa siri yangu na yeye''Hahaha'' I Miss you Mama yangu'eti Wazungu hawawezi kukupa Raha kama Mwafrika mwenzako na pia huko Ulaya utakuwa unaongea ukiwaza sana chakusema'kama ofisi ya kubadilishia hela'lazima ujue Hela ya Tanzania na ya Kenya ina badilishwa ka kiasi gani na Maneno yako na Wazungu ni hivyo hivyo'' lazima ufikirie neno la kiswahili kwa kizungu linatamkwaje ndipo uzungumze nao''hahhaaa''Jamani Mama yangu ni nomaa na namkubali sana''wacha niachie hapa nisitoboe siri zingine' Lingine ni kwamba enzi hizo za miaka ile ya tisini yani Wangenijua nilikuwa siyo Mkenya ''Uwii''Wangeniwekaje Jela tena kule shimo la tewa haswaa''siunajua lazima uwe na Kitambulisho kama wewe ni Mkenya,enzi hizo hata walikuwa wana Wimbo wao''(ukiwa mwana Kenya shika kitambulisho)ding ding,dinggg,oh aeeeee'hahhaa,naukumbukaaa''basi nilikuwa nina kakaratasi kangu ,kila wakinishika nikuwahonga viminoti wananiachia,sasa Hapa UK 'dhubutuuuuu'' Uwii'' Jamani Nishateseka ''yani nishaliwa sana Hela zangu na Watu wenye matawi ya Serekalini'' But thanks God ,sasa naweza kukaa na amani  '' Mbuta Nanga'' Tuendelee na huu Wimbo wa Bikira Maria'' Nilikuwa ninaimba Nyimbo zake kwa Miaka 15 ''na mpaka leo Mimi ni Mtoto mwema wa Mama Bikira Maria'' ENJOY NA MUOMBE SANA ''ATAKUSAIDIA KWA CHOCHOTE NA LEO NINAWAOMBEA SANA HASA YASHIKA ASIRUDISHWE KWAO LEO ,NA WALE WOTE WALIOPO YARLS WOOD DETENTION CENTRE UK'' MUNGU AWASAIDIE WAPEWE HAKI ZAO ZAKUISHI HAPA UK ''AMEN''
Flora Lyimo Fashion Police Blog'

Thursday 27 March 2014

BY FLORA LYIMO~ WACHA BIASHARA ZIENDELEE~WAHI HIZI WIG KWA BEI POWA 'WHATSAPP+44 7787471024 HATA UNAWEZA KUPIGA SIM HIYO HIYO PIA'

 MBELE NA NYUMA''YANI SIKU IZI KUVAA NA KUTOA NDIYO THE TALK OF MIJINI''VIWANDANI WANATENGENEZA HAWAONGEI'MBUTA NANGA!!


YOU SEE IT ,YOU LIKE IT,WHATSAPP WITH YOUR POCHI OPEN''TIYARI KULIPIA''
KARIBUNI SANA TUNAKUTUMIA POPOTE ULIPO'' KWA MAELEZO ZAIDI'' TUKUNIE WHATSAPP +447787471024 OR CALL EVEN E:flo1974@btinternet.com

BY FLORA LYIMO~ HABARI NJEMA KWA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK ' USIKOSE AN EVENING WITH OUR SUPER RAIS JAKAYA KIKWBY FLORA LYIMO~ HABARI NJEMA KWA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK ' USIKOSE AN EVENING WITH OUR SUPER RAIS JAKAYA KIKWETE'I M SO PROUD TO BE MTANZANIA NA MWANA CCM WA UKWELI ASOYUMBA NA ASOYUMBISHWA NA CHOCHOTE'' GOD BLESS TANZANIA AND GOD BLESS OUR PRESIDENT 'AMEN

Flora Lyimo (pichani) Mtanzania Alisi aipendae Nchi yake kupita maelezo'' 
Ndugu zangu Watanzania wenzangu ' Wakati wetu ndiyo huu 'wakukuwepo na Rais wetu Macho kwa macho ''Sasa anza kujipanga kwa maswali yako na vile vile kwa usafiri ,maana hakuna mabasi ya Bure'' Ila kuna Ndege za Bure zitakazo pitia Detention UK, Yarl's Wood fasta fasta'na Kushusha Watanzania wote ili waweze kuwapa support wale Watanzania wenzao waliomo mle ndani 'Mbuta nanga''JAMANI WAPO WENGI NA SYO MMOJA AU FAMILIA MOJA MLE ,YANI AMINI USIAMINI''IS NOT A JOKE'' Tuwawekeni katika sala,Wote waliopo mle wa Nchi mbali mbali Mungu awasaidie waweze kupata wanachokihitaji which is stay in UK'' AMEN'' Anyway''sasa shuka chini soma yalokuleta hapa maana kichwa cha habari ya hii Blog ndichokimekuleta hapa eee''
Ubalozi wa Tanzania London - Uingereza, unafuraha ya kuwatangazia Watanzania wote waishio Uingereza kuwaMhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atakutana na Watanzania siku ya Jumapili tarehe 30 Machi 2014.

Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Forty Avenue, Wembley Park, London, Middx, HA9 9BE, kuanzia saa 10 jioni (16:00).

Katika Mkutano huo, Mhe.Rais Kikwete atazungumzia maendeleo ya nchi yetu na pia kutumia fursa hiyo kusikia masuala yanayogusa maslai ya wanadiaspora. 

Mhe. Rais atakuwa nchini Uingereza kuanzia tarehe 30 Machi hadi 2 April 2014 kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko rasmi wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Mhe. David Cameron.

Ubalozi unapenda kuchukua fursa hii kuwaomba Watanzania wa maeneo ya Uingereza na nchi jirani kujitokeza kwa wingi kumkaribisha Rais kwenye Mkutano huu adimu.


Kwa Taarifa zaidi:
Simu: 0207 569 1470
Email: balozi@tanzania-online.gov.uk

Ahsanteni sana- Ubalozi wa Tanzania – London

BY FLORA LYIMO ~ BREAKING NEWS THE TANZANIAN SUPER STAR BLOGGER AND OWNER OF BONGOLICIOUS MANGE KIMAMBI GAVE BIRTH TO BABY BOY KEANU IDDI LOWREY AT CEDARS SINAI HOSPITAL 'CONGRATULATIONS MR &MRS LOWREY !!MANGE ASANTE SANA KWA KUMSIKILIZA FLORA LYIMO ALIPOKUSHAURI (IN HER BLOG) KUMUITA HUYU MWANAO IDDI AFTER MAREHEM BABA YAKO MKUBWA'' I WISH NINGE BET ON''MBUTA NANGA!!

HONGERA SANA MAMA WATATU'' YANI WATU KAMA KAWA YAO ''WALIOSEMA MTOTO NI WA BLACK SIJUI NANI MBONGO''SASA KIMEKULAJE KWAO''MTOTO MWEUPEEEEEEEEE''BABA MUZUNGU FOR SURE''HAHHAHA'' KWELI WABONGO WENGINE NI NUKSIIIII''DAWA YAO NIKUWAZIDISHIA VIDONGEZ''
Anyway '' Nyota zangu lets msaidia Dada yetu hapa kufurahi na Familia yake'' kwani  God is Great the Baby Keanu Iddi Lowrey his here with us he weighed 3.6 kgs Mama na Mwana doing well ila Mama kajichokea balaa'' so Im sure in the next few weeks tutabahatika kumuona Baby Iddi Sura'' I cant wait and Mange Hongera tena kwa kunisikiza nilipoandika my last Post kukupa pole kwa kufiwa na your Baba Mkubwa IDDI'' I did say I HOPE UTAMUITA MWANAO AFTER HIM,UMUITE IDDI ''AND YOU DID''I WAS SO HAPPY KWA KWELI ''WHICH I THING HATA BABA YAKO MKUBWA HE IS SO HAPPY AND PROUD OF YOU'' Mungu ampokee salama na Vile vile atutunzie Baby Iddi mdogo akuwe hadi uzeeni na siku moja hata aweze kufungua our Blog na kusoma hizi Post zetu''au hii Blog yangu''Mbuta Nanga!!
HIVI NDIVYO NDANI KULIVYO 'YANI BAADA YA KUJIFUNGUA UNAKUJA KUPUMZIKA HAPA'' THIS IS THE ROOMS ZA CEDARS SINAI MATERNITY''
PAZURIJE SASA'' CHOONI NA BAFUNI ''

Having a baby is one of the most important events for a family. At Cedars-Sinai, you can take comfort in the knowledge that you are receiving the highest level of care. Every mother and baby is special to us and our new mothers give birth in beautifully decorated private labor-delivery-recovery rooms. Soft colors, recessed lighting and coordinated bedding and drapery provide a sense of home. Special touches, including full-sized tubs for relaxation during labor and comfortable birthing beds add to the mother's comfort. We also offer Deluxe Maternity Suites to provide the ultimate in comfort with all the compassionate, expert care for which we are known.  
HABARI NDIYO HIYOOO''SASA NAMSUBIRIA SHAMIM MWASHA 'NAE NAMUOMBEA AZAE SALAMA PAMOJA NA WAJAWAZITO WOTE DUNIANI''MUNGU AWALINDE NA KUWASAIDIENI MZAE WATOTO WENU SALAMA''AMEN'' YANI KUZALIA POPOTE UNAWEZA 'SIYO LAZIMA POSH MAHALI ,HATA KWENYE ZIZI LA MBUZI UNAZAA TU''CHA MUHIM SANA SANA ,NI UMZAE MTOTO WAKO SALAMA NA AWE NA AFYA YAKUSTAHILI NA WEWE MAMA MZAZI UWE NA NGUVU NA AFYA NJEMA VILE VILE'' AMEN''
Flora Lyimo Fashion Police Blog

Tuesday 25 March 2014

BY FLORA LYIMO~ WATANZANIA WENZANGU IN UK ' DILI NYINGINE YA BIASHARA HII HAPA'' NAIWAZAJE NA MIMI'' MMM! COFFEE NDIYO THE TALK OF MJI MKUU WA UINGEREZA!!

mmmcoffee logo

mmm! Coffee
Mobile Espresso Bar Franchise

mmm! Coffee caters for the outdoor events
market: sporting events, festivals, shows,
markets or even private parties.

mmmcoffee img1
- See more at: http://www.franchiseexpo.co.uk/mmm-Coffee.cfm#sthash.GZtOaboX.dpuf
We provide a selection of luxury specialty coffees, teas and hot chocolates, as well as fabulous, thick milkshakes and mouth-watering treats, all from our fully-equipped hot drink vans, complete with marquee. Our range of both hot and cold drinks broadly appeal to seasonal trends. Our tasty cookies, cakes and tray bakes complement our drinks perfectly.
mmmcoffee coffee2.png
Our drinks range has been developed to ensure it is of the best quality. We have worked extensively on our products, testing the market and getting feedback, until everyone was completely satisfied with our results. Because it’s all down to individual taste, we have developed enough variety to meet the demands of all our customers.
Our mobile catering service is ideal for festivals, corporate events, parties, firework displays, country shows, school fairs and more.
We have built a reputation for supplying great tasting coffees and we never compromise on quality. We love what we do, are extremely proud of our array of superb drinks and snacks, and want to share this with others.
To put it simply, we supply fantastic hot and cold drinks, delicious snacks and exceptional service. The great feedback we receive from our customers has proved to us that the time is right to let the rest of the country enjoy the benefit of our service.
mmmcoffee img2

The Package

Total Investment: £25,000
mmm! Coffee operates from specially modified vehicles, which combined with our marquees, serve as our bases at the various events we cater to. Throughout the initial launch of your mmm! Coffee franchise and during its ongoing operation you will have our dedicated support. We are a user-friendly team with a solid track record of business success. Everything you will need to serve at an outdoor event comes complete in a specially branded trailer.
"Franchise businesses across the country are reporting not just survival stories within this time of economic uncertainty, but real success stories: further underpinning the belief in the industry that franchising is one of the most successful and resilient business models in the UK," bfa website
mmmcoffee milkshakes-logo.png mmmcoffee something-yummy-logo.png mmmcoffee hot-chocolate-logo.png

What do you get?

mmmcoffee img3.jpg
  • Five year renewable licence fee
  • Marketing materials
  • A panel of high quality suppliers
  • Comprehensive start-up training
  • Co-ordinated launch campaign
  • Point of sale material
  • Full e-commerce website
  • Regular ongoing training
  • Business management and employment law support
  • Access to the full range of mmm! Coffee documentation
The mmm! Coffee franchise has assembled a team of experts to work with our franchise partners to deliver and ensure their success. Our vision is to open 25 franchises in the UK over the next 5 years and establish our brand as a leading player in the coffee industry.
At mmm! Coffee we are passionate about detail and believe that our service should be up to the highest standard. We are committed to delivering a professional and polished customer experience and the quality of our brand demonstrates that.
mmmcoffee img4

If you would like to invest in the mmm! Coffee brand and capitalise on our fantastic franchise opportunity, we would love to hear from you today.

- See more at: http://www.franchiseexpo.co.uk/mmm-Coffee.cfm#sthash.GZtOaboX.dpuf
HABARI NDIYO HIYO ''NIMETUMIWA KWENYE MY INBOX NIKAONA NA NYIE NIWATUMIE LIVE''
NAPENDA KUONA MAENDELEO KWA WATANZANIA WENZANGU NA DUNIANI KWA UJUMLA'
Flora Lyimo Fashion Police Blog

BY FLORA LYIMO '' BREAKING NEWS..YASHIKA BAGEERATHI SHE IS TO BE DEPOTED LEO SAA NANE'' ONA PICHA ZA KULE WALIKOWASHIKILIA YEYE PAMOJA NA WALE WATANZANIA WENZETU 'FLORA LYIMO ALIPOKWENDA MAHAKAMANI TO GIVE HER SUPPORT'

 Hii ni baada ya Cara Delevingne the Celebrity Tweeted Support''Like Flora Lyimo alivyo Blog and Facebook for the Support of Wale WATANZANIA WENZETU KULE Detention last week'' Yani if Ndugu zangu watanzania (Baadhi) Mgekuwa na Moyo Upendo na Umoja Kujitokeza kuandamana kule YARL'S WOOD '' ambako kama mnavyo ona Picha hizi nilizopiga na pia kunyimwa kupiga na kuwakatalia huku nikiwaambia kwamba tunahaki yakujua mijengo wanayowaweka Ndugu zetu na Family vile vile Friends zetu yakoje''na Picha ni njia ya pekee ya ukweli wa kila kitu'' maana picha hazidanganyi'' sasa ona wenzetu walivyojitokeza kuandamana at the Home Ofiice jana' yani hawa wengi wao ni wanafunzi wa huyu Msichana Yashika Bageerathi ambae yupo huko Detention akisubiria to be deported leo mida ya mchana 'sasa Habari au niseme kesi cha huyu Msichana ni kama cha Yule Mdada mtanzania mwenzetu niliekwenda kumsaidia kwa barua na vile vile for anything that HOME OFFICE Wangekihitaji kutoka kwangu''I went there nikiwa tayari for anything'' Yani sikuwaogopa kwa lolote'' and i will never waogopa kwa lolote''Always will tell them the truth'' what they are doing is wrong'' and this detention should be close and let People live where they want to live''' I hate these STUPID AND STRESS RULE'S '' Hawa viaongozi wenye kujidai wanauwezo wakusema no'' ndio wanaotusababishia wenzetu kupotea na mandege na mandege kulipua magorofa'' yani hata aina zote za kulipua lipua 'husababishwa na watu kunyimwa haki zao'' and if you have no life ,nothing you feel left for you in this world ''why dont you just do just that'' not to die alone but to die with people or make sure the world is in tears when you are gone for people not let you live your life the way you want'' and you dont ask much at all ,all you ask is the passport or the right to live in The Country that you want to live in''Back to Yashika'' huyu msichana yupo hapa detention na Mama yake pamoja na ndugu zake wengine wawili,,yani hapa ni Mama na watoto wake watatu ,,sawa sawa na Yule Mama Mtanzania mwenzetu na watoto wake wawili'' ambao kesi zao zimegawanywa 'ili wapate nafasi na kizuizi cha kuwarudisha au kumrudisha mmoja'' sasa ikiwa upo chini ya miaka 18 'kesi chako ni kingine'' na ikiwa upo over it''ksesi chako ni kingine na hatari kurudishwa kwenu mara moja'' sasa hiyo ndiyo sababu huyu msichana yeye anarudishwa kwao japo she is here kwa muda mrefu sasa na vile vile ni mwanafunzi ''Ila yeye atarudishwa bila Mama yake na wadogo zake wawili sababu wao wapo chini ya miaka 18 na Mama yao ni lazima abaki nao ili kuwaangalia'' sasa huyu Dada yao kwa kuwa she is over 18''Yeye atarudishwa leo ''je atakwenda kuishi na nani ? Jamani hivi Watu wamekosaje utu wa Binadam siku izi ? what a stress unampatia mzazi na pia Unae mrudisha kwenye Nchi ambayo hivi sasa hata hajui barabara kama zina lami au majani anymore tangu alipotoka huko? I want you HOME OFFICE To stop this stupid Rules before anymore Plane kupotea na abiria wake au kulipukia mamijengo'' its all because of nyie HOME OFFICE na Viongozi wa Nchi zote ambao mnaweka vizuizi vya kijinga'' why you didnt stop them kabla hawajaingia na kuishi kwenye Nchi hizo over 20 or even 2 years? You should stop them kabla''but kwasababu you didnt and are tiyari kwenye Nchi hiyo and are crying to live where they want you to let them live'' let them'' hadi watakapo vunja sheria'' and uwachukulie sheria ya haki kama everyone else'' I DO THINK IS ABOUT THE TIME'' HOME OFFICE TO CLOSE THAT YARL'S WOOD ''SIYO VIZURI KABISA KUWATESA WENZETU HUKO'' HUKO NI JELA NA NI NJIA MLIYOITUMIA YA UTUMWA WA KARNE HII'' YA 21'st CENTRE'' NI UTUMWA HUU''

Flora Lyimo akiingia Mlango wa Mahakamani hapa YARL'S WOOD'' DETENTION UK ''


Hapa ni mahali pakukaa ukisubiria kuhudumia kwa yale yalokuleta hapa ''

Hapa ni picha tu.jamani imanifanya kama mjamzito''mbuta nanga'' Anyway hii sanduku nilimpelekea Mdogo wetu na Mtanzania wetu huku ndani ambae ndie nilie kwenda Mahakamani to give her my support 'so aliniomba sanduku 'nikaona nimpe hiii ya kwangu i dont need it for now'' and also ninazo nyingi za kunitosha for now'' Ila walinizungushaje nayo''Yani is like hawakupenda kabisa kumletea ni vile hawakuweza kunikatalia'' yani ilikaguliwa utadhani nilikuwa naingia kwenye ndege'' hata kwenye ndege wanashindwa kukagua hadi wengine wanaingia na passport za wizi ''ila hapa sijui walidhania ningemuweka humo huyo Mdada mzima'' hahhaaa'' kweli they need to close it now''
 Haya ndiyo mabasi yao ya BURE''hebu jiulize kuna cha bure kweli Ulaya hii kisicho na Faida? Yani hapa wewe jipeleke ukiwa huna makaratasi alafu uone hivyo vyumba humo ndani kukoje'' mbuta nanga'' Wazungu Waingereza wanaakili hatariii'' wameona wakitoa mabasi ya BURE mtamiminika huko kwenda kuwaona Ndugu ,mafariki na Familia zenu huko''na hapo hapo ukiingia unaona umeanza kuulizwa uonyesha kitambulisha au unapoishi ni wapi ''na hapo hapo unajikuta ukitetemeka na ukiwa chini ya ulinzi''chezea wao'' 
na TIME ZAO NI KAMA HIVI' DEPARTS FROM BUS STATION 13.40PM. 15.40 PM 17.40PM NA 19.40PM
ARRIVE AT YARL'S WOOD.13.55 PM 15.55PM 18.00PM NA 19.55PM
Mwamuona kwa ukaribu eee''siyo Mwingine ndiyo The big Support of hawa ndugu zetu huko Detention '' wanaosubiria kurudishwa wasikopenda kuishi au ambako washakusahau kabisa'' All i can do now is Praying for them to stay in UK FOR LIFE'' 
HAPA  NADHANI UNAPASOMA VIZURI '' SASA WANAJIDANGANYA AND WHAT I CAN SAY 'IS NO'' YOUR PURPOSE IS TO MAKE THEM STRESSED UP'' Yani unawasababishia na ugonjwa wa Moyo ''and also make other people who care like Flora Lyimo to do things that will only left the world in tears'' Kama hao walioamua kuishia na ndege''only God knows what happen and why waliamua kuiba passport na kuingia kwenye hiyo ndege which mwisho wake imeishia baharini na bila kubakisha mtu hata mmoja'' yani all those to me look like STRESS ZA KUNYIMWA HAKI ZAKO'' ANYWAY ,SINA MENGI YAKUSEMA ANYMORE''NOW IM JUST PRAYING FOR YASHIKA TO STAY IN UK AND THAT YARL'S WOOD TO CLOSE DOWN ''AND LET EVERYONE IN THERE TO BE FREE TO STAY IN UK '' GOD IS THERE WITH THEM'' GOD CAN MAKE ALL THING POSSIBLE'AMEN'' 

BY FLORA LYIMO~ THIS IS HOW FLORA LYIMO SHOW HER LOVE AND SUPPORT TO THOSE PEOPLE WHO LOST THEIR LOVE ONE IN THAT MALAYSIAN PLANE'THAT CRASH IN SOUTHEN INDIAN OCEAN ,KILL ALL ON BOARD'' R.I.P. HAPPY PEOPLE''

FLORA LYIMO (Pichani) MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO'
TODAY IS ABOUT HOW I LOVE PEOPLE'' IM FEEL SO SAD ''SO SAD ,SOB SOB ''
ASANTE YES NIMEAMKA SALAMA..ILA NALIA SANA, NASIKITIKA MNO KWA KUGUNDUA LEO ASUBUHI KWAMBA ILE MALAYSIAN PLANE CRASHED IN SOUTHEN INDIAN OCEAN AND ALL ABOARD BOEING 777 HAD BEEN KILLED'' MY EYES FILLED WITH TEARS '' Yani nawaza sana''we dont have life hapa Duniani and I WANT ALL VIONGOZI DUNIANI WENYE VIPAWA VYA KUSEMA YAO'' WATU WAISHI WAPI NA WASIISHI WAPI'' YANI HAWA WATU KWA MFANO Theresa May MP,Home Secretary na Ma'home ofice wote Duniani' wawache kuwafanya watu to be stressed out'' Mimi binausi naona Ikiwa Mtu huna maisha huna haki unanyimwa hivi hivi na huku watu wanakucheka na kukutukana ovyo kwa wewe kutokupata haki yako '''no need to die alone '' And this is what I do think happen to Hii Ndege' wale walioiba passport lazima wawe wamenyimwa passport au wamenyimwa kukuwepo kwenye Nchi fulani''na wakirudishwa kwao wanajua maisha yao yamekwisha''so wanasababisha kupotea na wengine on plane or do anything that will make the world CRY'' Why dont they CRY FOR THEM ''TO BE WHERE THEY HAPPY TO BE'' MAISHA NI KUISHI UPENDAVYO KWA AMANI '' IKIWA HUJAVUNJA SHERIA'' I WANT ALL PEOPLE WHO WAITING TO BE DEPORTED KUACHILIWA HURU'' WANAWATESA FOR WHAT? LET THEM LIVE WHERE THEY WANT TO LIVE'' OR YOU ARE WAITING FOR ANOTHER PLANE KUPOTEA AU TO CRASH IN TO YOUR WORK DESKS ? STOP THOSE RULES OF SENDING PEOPLE HOME'' WHERE IS HOME OR THEIR HOME? IM ASKING YOU HOME OFFICE'' IF THEY HAVE HOME' WHY ARE THEY IN TEARS DAY AND NIGHT PRAYING FOR YOU TO STOP DEPORT THEM''? SEND THEM WHERE YOU ARE TELLING THEM IS THEIR HOME'STOP THAT NOW LET THEM FREE AND CLOSE THAT YAR'S WOOD NOW''' I DO FEEL LIKE TO GO AT THE HOME OFFICE RIGHT NOW'' YANI WATU WENGINE NI MATAJIRI ALAFU HAWAJALI MASIKINI KABISA,AND KWANINI WAFE PEKE YAO AU WATESEKE PEKE YAO'? USISHANGAE KUONA NDEGE LIMEKUDONDOKEA OFISINI KWAKO UNAPOUNDA HIYO SHERIA YA WANYONGE KUZIDI KUTESEKA NA UKAFA WEWE PEKE YAKO NA HATA LIMJENGO LIKABAKIA BILA KUBOMOKA..THAT IS WHAT CAN HAPPEN WHEN' WAKATI WATU WAMEISHIWA NA KILA KITU 'HASA HAKI ZAO'' the voice of the truth''

  • Like ·  · Promote · 
    • Teddy Kaegele's Flora i am in tears reading this... its so sad kwa kweli... we all have a right to live where we like , do what we want and just be happy.... i always insist on happiness... happiness is everything that matters to all human beings... May they RIP...
    • Flora Lyimo AMEN..MY Darling Teddy Kaegele's..my eyes are filled with tears right now'' i cant even move go no where,i feel like i have family or anyone that i know in that plane'' Nalia kwa uchungu sana,jamani ROHO ,MOYO WANGU UMEUMBWA TOFAUTI '' I CANT STOP CRYING''' OH MY GOD '' WHY PEOPLE HAVE TO MAKE OTHERS GOING TO DO SUCH A THING? '' Wangekuwa na uhuru wa kupewa walicho omba na kunyimwa haya yote yasingetokea,even that september 9/11 was just like this'' WATU KUNYIMWA HAKI ZAO'' FAMILIA ZINATESEKA NA WENYE ROHO ZA HURUMA KUISHIWA NA NGUVU ZA KUFANYA WAWE HURU''BADALA YAKE'' LETS ALL DIE TOGETHER OR MAKE THEM SEE WHAT IS LIFE ''' NO LIFE WITHOUT PEACE '' LEADERS IN THE WORLD SHOULD ACT NOW'' LET PEOPLE LIVE OR GO WHERE THEY WANT TO GO OR LIVE'' JAMANIIIII''''NALIAJE'' RUWA MANGI'
    • Amfirst Ladii Kweli kabisa mungu hakuumba kabisa kusema hapa ndio home kwako pale no.... yaani ulipo ndipo mungu amekupangia unaweza kuwa na bangalow lakini kama mungu hajakupangia uishi humo linaweza kutokea mripuko likateketea na kuishia kuishi kwenye kibanda cha udongo ....kwa kweli waache kunyanyasa watu waache mtu aishi maisha anayopenda kuishi na mahala anapojisikia peace kuishi...maisha ya milele ni ya baada ya kifo na mungu ndie atakaetupangia wapi unatakiwa kuishi
    • Flora Lyimo AMEN ,MY FIRST LADIII'' Amfirst Ladii...UMEONA EEE'' ETI WARUDISHWE KWAO ,,KUNA KWAO WAPI ? WANGEKUWA WANAKWAO WANGELILIA KUISHI HAPA AU PALE WANAPOLILIA KUISHI ? YANI IS LIKE WANAWAUWA TARATIBUUUU'' I hate those HOME OFFICE'' WHO ARE THEY ? THEY ARE NOT GOD'' AND MWISHO WA SIKU NDIO WANATUSABABISHIA WENGI WETU KUPOTEZA OUR FAMILYS''WAO hawana shida ''and hawasafiri na mindege ovyo ovyo kujazwa hadi na mikago'' yani they are why Nalia na nasikia kama ROHO INAWEZA KUNISIMAMA ANYTIME'' I FEEL THOSE FAMILY WHO LOST THEIR LOVE ONE IN THAT PLANE'' Wale walioiba passport siwalaum'' nawalaum waliowanyima haki za kupata passport zao na kuishi ,kwenda wanapotaka....EE MUNGU NIEPUSHIE''' IM FEEL SO ANGRY ,AGRRRYYYYYY''''SOB SOB SOB.........
      kwakuhofia watakamatwa? Plz tell mi Flora Lyimo
      • Neema Mlengule Cjawlewa vizur inamana kuna watu walipanda na paspot za wiz?ndo wamesababisha kupotea kwa ndege?
    • Amfirst Ladii R.I.P MUNGU AWAPE MAISHA MAZURI HUKO KWAO WALIKOWAPELEKA...AMEN
    • Flora Lyimo Neema Mlengule...Yes my dear,,na kuna mengi yatajulikana tu'' hiyo ndege haikuacha njia na kufika mbali kama huko INDIA BAHARINI '' BURE'' IMEPELEKWA KWA KUKUSUHUDIA '' KWA RUBANI MWENYEWE AU WALE WATU WAWILI WALIOKUWEPO KWENYE HIYO NDEGE KWA PASSPORT FAKE'' ZA WIZI'' GOD KNOWS WHAT MAKE THEM DO THAT'' AND SOON TUTAGUNDUA MENGI'' R.I.P. HAPPY PEOPLE''