tag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post3949502593437022013..comments2023-09-23T16:07:38.085+01:00Comments on MBUTA NANGA BLOG-MAGAZINE/ SINCE 2011 TOP IN TOWN': WHATS ON ? BREAKING NEWS'' FLORA LYIMO AWAOMBA WATANZANIA WENZAKE WA ISHIO UK KUTOKUHUDHURIA KUKUTANA NA WAZIRI MKUU IN LONDON UBALOZINI'' ' HAO WATU HUKO UBALOZINI NI WANAFIKI WAKUBWA NA WANAFANYA KAZI ZAO WAKATI VIONGOZI WAMEKUJA UK TU'' WANATAKA MUENDE KWA KITU GANI WANACHO WASAIDIENI NYIE KAMA WATANZANIA WENZANGU MKIWA NA MATATIZO MKIENDA KWAO WANAWASAIDIENI ?WAO HUWAPENI KAZI ZA KUWATAFUTA VIONGOZI WETU SISI WENYEWE NA HUKU HIYO IKIWA NI KAZI ZAO TENA WAMESHAAMBIWA WAFANYE LIVE''' NA NAOMBA HII ''HAIMUHUSU BALOZI WETU UK ''INAWAHUSI WAFANYAO KAZI CHINI YAKE'''INGIENI HUM KUSOMA ZAIDI ''MBUTA NANGA' MPAKA KIELEWEKE' Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/09268742457512029265noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-82556201850603247562014-07-10T19:48:52.355+01:002014-07-10T19:48:52.355+01:00This is shocking!! I hope Mheshimiwa Waziri Mkuu P...This is shocking!! I hope Mheshimiwa Waziri Mkuu Pinda, sasa atakutafuta atakapo fika London ili akupe majibu yako japo in privet '' what a sham on that amos? surely you didn't have to tell Flora to go and Google contact za Mh.Pinda when you got them ''also you know them ''that is not the way to help Mtanzania mwenzako and that is what dada Flora Lyimo is talking about '' hamtusaidii tena kwa vitu vidogo vidogo kama hivi ? I solute you Flora Lyimo'' Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-76092328634762869752014-07-10T13:51:24.505+01:002014-07-10T13:51:24.505+01:00Amos >
Contacts za ofisi ya Waziri Mkuu unaweza...Amos >
Contacts za ofisi ya Waziri Mkuu unaweza kugoogle tu na kuzitumia, mie sina.
On 15 Feb 2014 20:35, "flo1974" wrote:
Kweli huyu jamaa hanazo kabisa'' Waziri Mkuu alikupa kazi ya kumsaidia huyu dada sasa wewe unamtuma kwenda kugoogle contacts zake na wakati unazo ?kama huu siyo uonevu anao uongelea dada flora hapa nini ? unamdanganya ili iweje sasa'' dada flora nipo pamoja na wewe kweli hakuna haja ya kwenda hiyo mikutano yao kabisa'' ukweli mtupu umesema dada na hakuna mtanzania yoyote anae weza kuwaambia ukweli wao kama wewe'' so asante sana'' uzidi kubarikiwa na kututetea watanzania wenzako huku majuu''Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-51253490648906183262014-07-10T13:39:09.404+01:002014-07-10T13:39:09.404+01:00Sema tenaaaaaaaaaaa sema kwa herufi kubwa mama wa ...Sema tenaaaaaaaaaaa sema kwa herufi kubwa mama wa kichagga london '' wakusikie..uwiii flora lyimo umeuwaa siri zote za email nnje nje...yani mimi hoi'' huyo amos anawezaje kukuambia hana contact za mheshimiwa na wakati yeye kamtumia email ya barua yako..je hiyo email alimtumia mheshimiwa Pinda kweli??? '' kiruuuu''kweli hata mimi siendiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii'''flora kapate mbege kwa mangi nitalipa mao..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-27237933359781009022014-07-10T13:20:22.867+01:002014-07-10T13:20:22.867+01:00YOU BEEN SNAP BLOG Flora Lyimo THANKS WAPENZI WANG...YOU BEEN SNAP BLOG Flora Lyimo THANKS WAPENZI WANGU NA WALE MNAO NIPIGIA SIM NA KUNIPONGEZA KWA HII MADA''ASANTENI KWA KUKUBALIANA NA MIMI '' UKWELI UTAJULIKANA TU'' MHESHIMIWA WAZIRI MKUU''TUNAKUPENDA SANA NA TUNAOMBA HII UTAISOMA NA NIMEAMBIWA UMEITUMIWA NA UMEISOMA'' SASA UTAKAPO FIKA UBALOZINI WAULIZE KAZI ULOWAPA WAMEIFANYAJE ? NA PIA WAULIZE WANAWASAIDIAJE WATANZANIA WENZAO NA MATATIZO YAO MBALI MBALI HASA KUHUSU NYUMBANI KWETU TANZANIA? MHESHIMIWA WAZIRI ''SISI TUNAPOHUDHURIA MIKUTANO YAO YAKUJA KUKUTANA NA WEWE HUKO UBALOZINI AU HATA NA MHESHIMIWA RAIS WETU WA MUUNGANO WA TANZANIA'' HATUKUBALIWI KUTOA DUKU DUKU ZETU FACE TO FACE 'NA KUPEWA MAJIBU NA NYIE VIONGOZI WETU'' WANATUNYIMA NA PIA KUWAKIMBIZENI FASTA FASTA ILI UKWELI MSIUJUE'' SASA NANYI VIONGOZI WETU '' JUENI TUNA NYANYASWA SANA SISI WATANZANIA TULIOPA HUKU UGENINI ''HASA WALE WATAFUTA MAENDELEO HUKU UGENINI NA KUTAKA KUYALETA NYUMBANI TANZANIA'' WANATUZUIA NA KUTUONEA''' NA HUKU HADI KUBAKWA NA HAO HAO VIONGOZI '' YANI WAMECHEPUKA ,WAMEKUWA WAONGO NA USHAIDI UPO '' MIMI SISEMI KITU AMBACHO SINA USHAIDI NACHO ''HATA KAMA NI MAHAKAMA KUU''TWENDENI NITAZIPANDA HIZO NGAZI FASTA FASTA KAMA RAIS WA MAREKANI MH.OBAMA'' ASANTENI NA NARUDIA TENA ..MSIENDE HUO MKUTANO NI WAKUFUNIKA MABOVU'' SISI TUNAFUNUA MABOVU'''Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/09268742457512029265noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-37392804404547748892014-07-10T13:13:49.603+01:002014-07-10T13:13:49.603+01:00My dear Anonymous hapo unaedai kwamba comments zin...My dear Anonymous hapo unaedai kwamba comments zingine nabania..kusema kweli huku nilikuwa sijainia na pole ''mkiona sijaachia comments zenu au sijawajibu ''jueni kwamba FLORA LYIMO MWENZENU NIPO BUSY SANA NA KAZI ZANGU PIA'' KAMA MLIVYO ONA JUZI JUZI NIMEANZISHA BIASHARA YANGU MPYA ..FLORA LYIMO OPPORTUNITY 2014 'AMBAYO INA NIFANYA NIWE BUSY MNO..But hata hivyo lazima nitajitahidi kuwajibuni maswali yenu'' na kuachia comments zenu..HAYA HIZO HAPO NIMEACHIA JUST NOW'' Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/09268742457512029265noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-37156657435434216692014-07-10T13:10:05.861+01:002014-07-10T13:10:05.861+01:00ahsante my dada maana huwa napendaga sana kuangali...ahsante my dada maana huwa napendaga sana kuangalia blog yako...nikiikosa huwa nahuzunikaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-24814297795447966042014-07-10T01:44:07.014+01:002014-07-10T01:44:07.014+01:00kama kweli wewe unajiamini usibanie comments za wa...kama kweli wewe unajiamini usibanie comments za watu wengine Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-24123424616197978562014-07-10T00:04:19.623+01:002014-07-10T00:04:19.623+01:00Mariam Mangula Mnafiki mkubwa. Pole sana you had t...Mariam Mangula Mnafiki mkubwa. Pole sana you had to go through this. Tunamkumbuka sana mama Majaar, alituunganisha watanzania UK. Ubalozi huu very selfish umetujengea chuki na unafaki yaani umetusambaratisha haswaa. I hope ubalozi huu wa kibaguzi utaisha soon. In Sha Allah!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-58070811289467939782014-07-09T18:48:50.772+01:002014-07-09T18:48:50.772+01:00baeleze baeleze mama maana wamezidi,na wataelewa t...baeleze baeleze mama maana wamezidi,na wataelewa tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-31069569551871559492014-07-09T18:46:33.021+01:002014-07-09T18:46:33.021+01:00Wewe nenda kwenye huo mkutano tena ukae mbele kabi...Wewe nenda kwenye huo mkutano tena ukae mbele kabisa wakuone wote na unyooshe kidole juu ukumbushie matatizo yako uliyowaambia kipindi kile ambayo mpaka leo hayajapatiwa ufumbuzi. Na kisha useme wazi haya uliyoyasema humu kuhusu kutokuwasaidia Watz na kutokutana na watu. Ukinyamaza kimya au ukisemea humu kwenye blogu hawataumbuka.

Flora mie nimekaa UK nikiwa nasoma PhD yangu miaka 4, tena mwanamke peke yangu na watoto, sijui hata ubalozini kukoje au hata kama kuna ubalozi wa TZ, ingawa nilishawahi kuwaandikia, na kujisajili online. Kuna kipindi nilijisajili kabisa kuhudhuria kikao fulani lakini nilistukia kimeshapita hata mualiko sikupata ukizingatia nilikuwa naishi nje ya London. Nafikiri huo ubalozi hapo upo kwa ajili ya watu wa London na tena watu wenyewe na marafiki na mashoga zao. Shame on them, ila msisuse hii ndio nafasi ya kujikusanya na kutoa duku duku lenu. Bahati mbaya sana nimeshajirudia zangu Bongo nakula bata langu ningekuwa bado nipo ningeenda nikamuuliza hata huyo Mheshimiwa kama kaja huko kusikiliza matatizo ya Watz au kununua matrekta mengine au spares za matrekta yake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-4532888939255521392014-07-09T18:35:16.934+01:002014-07-09T18:35:16.934+01:00yani we dada umenifurahisha kwal kwa kumpa makavu ...yani we dada umenifurahisha kwal kwa kumpa makavu hli li mtu le mutuz cjui! ubarikiwe sanaAnonymousnoreply@blogger.com