tag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post5538595082389521552..comments2023-09-23T16:07:38.085+01:00Comments on MBUTA NANGA BLOG-MAGAZINE/ SINCE 2011 TOP IN TOWN': FLORA LYIMO HOW TO LOOK SEXY AT HOME/MBUTA NANGA''PART 1 IN VIDEO''Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/09268742457512029265noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-26576391943772159522014-04-18T17:50:25.352+01:002014-04-18T17:50:25.352+01:00please dada mm nikijana wa kitanzania nina umri wa...please dada mm nikijana wa kitanzania nina umri wa miaka 23 nipo Tanga Tanzania ,nafanya muziki ila nakosa support hvyo naomba unisikilize then utajua unanisupport vp..Kiukweli dada nahitaji msaada mkubwa sana kutoka kwako ,kama ulivyosikia kazi zangu wakizisikia wasanii wakubwa huenda zikaibiwa kikubwa zaidi na hitaji hata nipewe nafasi ya kucheza kwenye radio hapa Tanzania kwani kwa kufanya hivyo nitakuwa nimrzipa ulinzi na hata Mimi pia watu watanielewa name itakuwa rahisi kupata kupata wadhamini ili niweze kuwa kama wengine.Tatizo radio ili wimbo uchezwe wanataka pesa name mimi uwezo mdogo so WHAT CAN I DO MY DEAR SISTER please help me.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-71749086784455615312014-04-18T13:02:26.118+01:002014-04-18T13:02:26.118+01:00Nakucheki happa EATV hahhaaaaa, Nimeipenda japo ha...Nakucheki happa EATV hahhaaaaa, Nimeipenda japo hajakuhoji vizuri tukujue vizuri ila was good ,Mboni haeezi hoji vizuri.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-3879200908241162012014-04-18T12:57:23.931+01:002014-04-18T12:57:23.931+01:00Nakuangalia hapa kwenye Mboni show ,you look mwaaa...Nakuangalia hapa kwenye Mboni show ,you look mwaaaa mrembo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-39059273175762752402014-04-18T12:50:22.761+01:002014-04-18T12:50:22.761+01:00 Nimependa vitu vyako unavyodesign nilikuwa na my ... Nimependa vitu vyako unavyodesign nilikuwa na my dady ameshangaa ,Tanzania kumiliki duka London yaan haijawahi kutokea maana alishakaaga UK Mbowe peke yake ndiyo anamiliki restaurant huko lent unalipaje si itakuwa gharama kubwa yaan unajitahidi sana nakypa credit zako dah. Hongera sana ni mfano wa kuigwa nakupa big up my sister yaan ukija TZ nitafute Mimi naishi DAR tena nije hata kukupokea Airport mbuta nanga!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-54226265253074795492014-04-18T12:42:51.354+01:002014-04-18T12:42:51.354+01:00Mambo vp dada angu nimeona juhudi zako nimependa s...Mambo vp dada angu nimeona juhudi zako nimependa sana ,natamani kujuwa mengi sana kutoka kwako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-61924534854489303122014-04-18T12:37:12.405+01:002014-04-18T12:37:12.405+01:00Ongera dada yetu wa kichaga nimeona vitu vyako 5EA...Ongera dada yetu wa kichaga nimeona vitu vyako 5EAT uko juuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-26678299852511328452014-04-18T12:34:13.530+01:002014-04-18T12:34:13.530+01:00Dada angu nakupenda sanakazi butu usonge mbele usi...Dada angu nakupenda sanakazi butu usonge mbele usiyasikilize maneno ya wambea wasiotaka maendeleo ya wenzao kumbuka mti wenye matunda ndio unaopigwa maweAnonymousnoreply@blogger.com