tag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post8268408244228615232..comments2023-09-23T16:07:38.085+01:00Comments on MBUTA NANGA BLOG-MAGAZINE/ SINCE 2011 TOP IN TOWN': BY :FLORA LYIMO~ MBUTA NANGA''MAJANGAA'' MANGE KIMAMBI a.k.a. BONGOLICIOUS ''V'' JESTINA GEORGE a.k.a. ZURII FASHION &BEAUTY BOUTIQUE'' WAFUNULIANA KUIGANA BIASHARA ZAO !!! WHO COPYING WHO ?? SEMENI YENU "Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/09268742457512029265noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-19099538855756927312013-08-14T20:15:32.682+01:002013-08-14T20:15:32.682+01:00Yaelekea JG anakosesha sana watu usingizi mtu kaja...Yaelekea JG anakosesha sana watu usingizi mtu kaja zake na mzigo wake kabla ya huyo Mange. Mi nilimkuta dukani kwake siku alofika na akaniambia ana MAC ila alikuwa na haraka akatuamibia ataweka tangazo na akiwa na time atatupigia tukajaribu. Sasa Mange kaweka tangzonlake kabla JG hajaweka lakini alikuwa na products before mange kwani kosa lake ni nini hadi awe topic? Kwanza naona kweli nyie ndo mnampa promo ya nguvu maana kajikalia kimya anafanya yake. Na kwanza nauuliza plus size JG ndo alianza kutangaza analeta dukani kwake mbona na mange aliweka tangazo lake analeta plus size nae tuseme kamuiga JG? Acheni roho mbaya muacheni JG na hamjui tu ni kiasi gani anabarikiwa kwa kukaa kimya nyie endeleni kumtukana mungu anampigania. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-69062586573851696872013-08-14T13:17:15.673+01:002013-08-14T13:17:15.673+01:00wewe naye huelewi, mange hajakataa kugezwa au kuwa...wewe naye huelewi, mange hajakataa kugezwa au kuwa na biashara zinazolingana, yeye amemrusha hewani huyo shakunape aliyetuma email kujifanya kukasirika 'eti mange anagezwa' washabiki maandazi kama kawa. mangee hana kosa. kosa ni la hao mashakumpe wanamtia maugomvini kila kukicha. kashtuka..rudi kaisome ile post vizuri. bloggers pendaneni..washabiki wenu kuwaridhisha ni kazi sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-43704506602621521202013-08-13T13:54:45.916+01:002013-08-13T13:54:45.916+01:00Jestina anahaki ya kutangaza na kufanya biashara a...Jestina anahaki ya kutangaza na kufanya biashara atakavyo mambo ya nani kaanza kutangaza siyo issue Mange hajiamini na anatafuta symphaty ya watu. Kila akijaribia kusafiri anazua ugomvi mbona wenzake huwa wanafanya yao yeye kutwa kugombana. Mi binafsi sijaona kosa la jestina hadi iwe topic ya kumanga mtoto wa watu. It's too much now kila mtu anahaki ya kufanya anacho taka. Mange kaiga wangapi? Na wewe Flora acha kuingilia mambo yasiyo kuhusu na kushadadia maugomvi bila sababu. Jestina do your thing kila mtu na riziki yake na wateja wake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-67035377783136103302013-08-13T13:02:04.359+01:002013-08-13T13:02:04.359+01:00KWELI KBSA MDAU HATA AUZE MAGAGULO MANGE KIMAMBI T...KWELI KBSA MDAU HATA AUZE MAGAGULO MANGE KIMAMBI TUTANUNUA SANA TU YN HATA AKIJA NA NGUO ZA KULALIA NA CHUPI TUTANUNUA HYA KAZI KWELI KUSHINDANA YN......... ILA MKUMBUKE MANGE KIMAMBI NAMBA NYINGINE ILEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA MTAISOMA HII KITU KIMYA KIMYA..............Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-34944127044787708282013-08-13T13:01:56.029+01:002013-08-13T13:01:56.029+01:00kwa upande wangu sijaona ubaya wa mange naye katum...kwa upande wangu sijaona ubaya wa mange naye katumiwa hiyo msg na mdau kama wewe Flora Lyimo ulivyotumiwa na akaeleza ukweli wake kuwa hana ubaya na mtu anyeiga maendeleo coz kila mtu mungu kamjalia kupata kile anachostahili , kaweka pale na wadau wametoa maoni yao , na kama unavyojua ma anoy sisi ndo wakuzaji wa kila kitu kionekani kikubwa hata kama kilikuwa kidogo na hili ni tatizo letu wabongo huwa hatupendi kuona watu wanapatana lazima mtu achombeze chombeze ili mradi tu mtafaruku utokeee , same to you flora umeweka hapo hiyo habari kama mdau alivyoomba umuwekee lakini belive it or not kuna watu wataongea tu kwa blog nyingine ohhh flora kaingilia bila hata ya kusoma habari yenyewe kwa kina na kuelewa, maana kuna watu akili zilishahama sikunyingi hawafikiri wala kuuliza mara mbili nikiandika hivi itanisaidia nini ? napata faida gani? hakuna ni ili mradi ameandika apate alitakalo its just my opinion any way PEACE AND LV WAPENDWAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-7934659735137257692013-08-13T10:36:44.633+01:002013-08-13T10:36:44.633+01:00Jamani hivi kwanini watu mnaishi kwa uhasama kiasi...Jamani hivi kwanini watu mnaishi kwa uhasama kiasi hiki mimi moyo wangu ulivyo mdogo nadhani ningekufa kwa mawazo. wote wajasiriamali huyu akiuza nyanya ya Iringa nawe ukiuza nyanya ya Arusha kuna ubaya gani. mbona mitandao ya simu inakuwa na promotion kila kampuni kivyake ila wote wanachouza ni airtime? si wangekuwa wanagombana kisa kuigana. haina maana yoyote eti kusema unaigwa halafu nyie wapambe mnaojipendekeza ndio sumu kubwa tena ya Cobra. unathubutu kumtumia Mange msg kumwambia fulani kakugeza kutangaza MAC. hivi hamjawahi kuona wanamuziki wa nchi mbalimbali na wala hawajuani ila mawazo yao yakagongana na wakafanya kitu kinacho shabihiana? kuweni wastaarabu mnachochea moto then nyie mnakaa pembeni kimya. ukute mtu ana chuki binafsi labda na Mange basi atakaa nyuma ya mgongo wa maadui zake kuendeleza chuki zake ni hivyo hivyo labda kwa Jestina au kwa Mbuta nanga. jamani tuwe na maendeleo tuchape kazi sio majungu ya kijinga. sipendi maugomvi ya kijinga mimi. wengine hawana kazi wamekalia umbea tu kwenye visimu vyao na vi computer vya mabosi zao kugombanisha watu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-60911137560405497132013-08-13T10:03:50.138+01:002013-08-13T10:03:50.138+01:00Kaiga kweli huyo Jestina asiambiwe? Alikuwa wapi k...Kaiga kweli huyo Jestina asiambiwe? Alikuwa wapi kutangaza hizo product za Mac? Mfyuuuuuuuuuu ..yaani mange kila anachoshika kinakuwa dhahabu..... Love her kwa kweli!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2917934340063611363.post-69256945462560979552013-08-13T08:50:41.748+01:002013-08-13T08:50:41.748+01:00Biashara imani, biashara ushindani, Betina kila ck...Biashara imani, biashara ushindani, Betina kila cku anatangaza manguo mbona Mange hakusema kamuiga kuuza nguo, wala hapo hakusema kamuiga swala linakuja alikuwa wapi kutangaza hizo MAC mpaka kuamuona Mange katangaza ndio naye kaweka, mnavyomchukia mtu ndio Mungu anambariki Mange anawateja wake hata auze nini watatnunua tuu.Anonymousnoreply@blogger.com