The Proud Angela from Mozambique her food was yummy "
This is Ugali ila wao in Mozambique cal it xima"
The Proud Tanzanian kuleni my dears mpate nguvu ya kuijenga Tanzania !!
Mahindi ya kuchemsha sweetcorn kwa mapishi ya Flora Lyimo
Picha zakupigwa bila kujua safi sana .ila camera iligoma kutoa picha vizuri haikupenda mataa ya kule ndani kabisaa"
Picha zakupigwa bila kujua ni safi sana" Mrs Joyce Kallaghe-Tanzania Fair Chairwoman" akiwa kwenye Tanzania Crafts Stall"
The Pretty Face of Tanzania Mama na Mwana!!
Nani alisema penye Wachagga Mbege inakosekana"" Happy people having Fab day out at the Tanzanian food stall ndani ya Commonwealth Fair 2012 Kensignton Town Hall London "
The Cute of Faridah Gullam" kula upate nguvu kwani mweli haujegwi kwa kokoto "na Hongera sana kwa kuja kuiwakilisha Tanzania"
How Proud !! Picha ya pamoja inayosema ,UPENDO NA UMOJA! TANZANIA OYEEEE"RUWA MANGI " Jamani nilienjoy sana hakuna kitu kinachonifurahisha kama kufanya kitu cha kujitolea hasa pale panapo husu Nchi yangu Tanzania" yani ikiwa hatutasimama na kujitokeza kwa wingi au hata kujitokeza (mmoja) ni nani atakae Isimamia Tanzania na kuifanya ihesabiwe kwenye Nchi zilizo HAI" Fikirieni jambo hili sana ndugu zangu Watanzania.hayo mambo ya UVIVU NA UZEMBE Baadhi ya Watanzania mlonayo wacheni " sasa mkisema hatuendi kwani tukienda tunafaidi nini? Jua maisha kuna wanaojiweza na wasojiweza na wapo kwa sababu za majaribu ,je wewe umepewa umetoa?kumbukeni mnapotoa ndipo mtakapo pata na kuendelea kupata zaidi " ni hayo tu" God Bless Tanzania na Dunia nzima Amen"Ruwa Aika Mbee"
















