KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 13 January 2013

HIKI NDICHO KILICHO MPELEKA FLORA LYIMO FASHION POLICE NYUMBANI KWAKE MOSHI TANZANIA .JUBILEI YA DADA YAKE MKUBWA YA MIAKA 25 YA UTAWA PAMOJA NA KULIONA NA KULIBARIKI KABURI LA BABA YAKE MPENDWA ,SO WAS FURAHA NA HUZUNI 12-12-2012 KIJIJINI KWA JEUZWA MJINI .MBUTA NANGA!!

 FLORA LYIMO FASHION POLICE ,ROCKING MY OWN DESIGN, AFRICAN PRINTS DRESS"YANI NILIENDA DUKANI PALE MOSHI MJINI NA KUNUNUA HIVYO VITAMBAA PELEKEA FUNDI NA KUMCHOREA NATAKA HIVI NA HIVI " AND I NEED IT IN TWO DAYS" SO BUNI NI HOW MUCH I PAY FOR EVERYTHING"
Uwiii niliimwagaje sasa....was like OMG " Sitaki imagikeee""



 DADA LYIMO kushoto NDO MWENYE JUBILEI YAKE 25 YEARS  YA UTAWA"AKIWA NA MKARA WAKE"


Wapendanao ndo haooo..Wapende wachukie mwisho wa siku utalala"
 Hapana chezea Mjukuu Mkubwa wa Lyimo ndo huyoo" kiupande wa Dada's"

 Mjukuu mwengine wa Lyimo na mmoja wa walochukua jina la Flora Bahati Lyimo " so huyu ndo Bahati kama Mama yake Mkubwa!!



 Masista sikujua wanaringaga hivi ,yani hapana chezea wao kabisaa,mpaka wana na mtindo wao wakunywa vinywaji vyao vyakipatipati"
 Chezea Mdogo wake na Sista Maria Caritas " Yani hawa watoto Basilei ni nomaa wapende wachukie mwisho wa siku UTALALA!!

 Vimalaika vilikuwepo pia ,yani hawa ndo mchanganyiko wa Shangazi na Mama Mkubwa wao"
 Vimalaika vikipeleka Mau kwa Shangazi na Mama Mkubwa wao ,THANKS TO MY FAB FRIEND RUTH JOHN" WE LOVE YOU SANAA!!

 My Ruth John mwenye nguo ya Brown"ndani ya Flora Lyimo Fashion Police Home.karibu sana kwa Wakolyimo my dear,"

 Vimalaika vya Wakolyimo vikaanza kucheza na kuimba ,chezea wao " so so Proud of them ,Na Sista wao anawapenda kupita maelezo!!
 Meza Kuu ndo hiyoo" si mambo ya Vijijini ni Mambo ya Mjini /vijijini" thanks to mdogo wake Sista wa Jubilei ya miaka 25 Flora Lyimo Fashion Police ,wa Ulaya!
 Flora Lyimo Fashion Police ,akionyesha mazito live kutoka Ulaya hadi kijijini kwao Kilema ,chezea yeye ,,sasa Masista walibakia kusema,Yesu na Maria" wewe siutaangusha hiyo Champagne na niya mahela mengi hivyo " hahahhahaa.." Ruwa Mangi " I have so much funny with my Family and Friends hasa Masista na Mapadri kwa mara ya kwanza Maishani mwangu" Whats a Blessing at our Home!! Ruwa Aika Mbee"
 Sasa MC kaniambia niipeleke chupa kwenye meza zote ili ikashuhudiwe sijui ndo ipewe na baraka" yani i was like mmm...sijawahi ona hii ni mpya yakupeleka champagne  kuwekewa mikono kabla haijafunguliwa" Mbuta Nanga" nilizungukaje meza karibia zote sasa!!

 Mwaiona eee,,ni Champagne ya ukwe..ila" sijaja nayo Ulaya kama wengi walivyodhania,yani Ukiwa Ulaya Kila kitu ni umekitoa Ulaya" hahahhaa!!
 MC,akitoa oda kwa Flora Lyimo Fashion Police,kabla hujaifungua naomba uipeleke kwenye meza fasta fasta waione alafu urudi uje kuifungua" I was like,,mmmm" hii mbona kazi sana bila mshahara,Mmesema hamjui kufungua Champagne ,nikajitokeza kuwasaidia na sasa nikaizungushe na meza zote pia??"  si nyie nawalipa na mimi mnanilipa"..hahhahahha!! was a joke"

 Masista wangu changamkeni leteni glasi zenu fasta fasta...Ruwa Mangi"Mbege inapokaaaa"wacha washangae!!


 Sasa hapa ni Meza Kuu ya Mapdri peke yake,,walinichekeshaje sasa..Uwii hadi nikatamani kuwa Sista nikakae nao wanichekesheee..eti,NUMUEUSI NECHA NDAO ULAKUCHUBUO "Ruwa Mangi"

 Fungua Fungua fasta fasta  ..watazinywaje leo ""hadi waziogee kabisaa"Mbuta Nanga"







Napenda kumshukuru Mungu sana na Mama Yetu Bikira Maria,jamani hakuna jambo jema huku Duniani kama Kujua Mungu anazisikia Sala zako ,kwa kukuwezesha kuyafanya mambo yako kama ulivyoyapangia..Ndiyo " nakubali kuna maadui wengi sana wapo namimi kila upande lakini  kwa sababu mimi ni Mtu wa Mungu na nina Imani hiyo yaliwashinda" yani Mpaka NDEGE ILINIACHA LAKINI NIKAKATA TIKITI NYINGINE HAPO HAPO NA NIKAENDA HOME NEXT DAY "LAZIMA NIKASHEREKEE SIKU KUU HII KUBWA NA YA KIMUNGU MUNGU NA BARAKA TELE AT OUR HOME ,AND YES SHE IS OUR ONLY BIG SIS" DADA YETU MKUBWA " AND you know what wakati Ndege ilitua nilibakia wa mwisho kushuka huku nikilia machozi ya Furaha" God is Great All the Time"" Msikose kumuomba kwa Kila jambo kwani SHETANI LAZIMA ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU !!
Narudia tena Maadui kaeni Mbali sana na hii familia ya Lyimo .Flora Lyimo Fashion Police ni Mtoto wa Mungu na Alotoka kwenye Familia inayo muomba Mungu na kumtumikia Usiku na Mchana ,na Ukiona kitu Kimenishinda jueni hakijabarikiwa" Tazameni hii ni moja ya mfano ,hapa tulipofanyia sherehe hii siyo Mjini ni Kijijini kwetu kule Kilema.Wakati huyu dada yetu mkubwa Sista ambae ndo mwenye hii Jubilei yake hapa Nyumbani kwetu ya miaka ishirini na tanu ya Utawa yani ya USISTA" watu walikuwa wanatucheka sana,tulikuwa hatuna  Nyumba ya (BLOKU)tulikuwa tuna kanyumba ka UDONGO " na tulikuwa hatujui hata Godoro nini" you know " so wakasema anasomea Usista wa kitu gani wakati wasichana wenzake wanakwenda mjini Dar ,kutafuta kazi na kuolewa na wanaume wenye hela.Lakini Dada yetu pamoja na sisi wote hatukutaka kumkatiza Imani yake ya kuwa Sista ..aliondoka nyumbani na kuishi huko uparokeani na hatukumuona tena home mpaka tukaja kuambiwa anapata Usista" Sasa wanamuona huyo hapo LEO KAWALETA MAPADRI HOME NA MASISTA WENZAKE WAKUTOSHA KUSOMA MISA NA KUSHEREKEA SIKUKUU YAKE MUHIM NA WALE WALE WALOKUWA WANATUCHEKA ,LEO HII NDO WAMEKUWA WAKWANZA KUJA KUTUPONGEZA NA WENGINE WAKAONA AIBU HATA HAWAKUDHUBUTU KUSOGELEA GETINI" NA Ile Numba ya Udongo sasa hivi haipo zipo za Bloku na siyo moja wala Room Moja " Zipo zakutosha na zakuridhisha Familia ya Lyimo na wageni wao .Jamani hakuna kama Mungu na Hakikisha unapo OMBA MUNGU AKUPE KITU FULANI " UNA MUOMBA KWA NIA NA UTAKIPATA TU"" HAKUNA ALOKUWA ANA MUOMBA MUNGU ,KULALIA MAGODORO NA NYUMBA ZA BLOKU KAMA MIMI" SASA WALAHI NA LALIA MAGODORO MAWILI IN ONE BED" RUWA MANGI  AIKAMBEE" BILA KUSAHAU ,MAJI YA BOMBA,UMEME,TV .......ETI KULE VIJIJINI WATU TUNA MPAKA TV...NA MACHOO YA NDANI TENA YAKUKALIA" KIZUNGU ZUNGU ZAIDI" HAHAA,WACHA NIISHIE HAPA JAMANI ,MIE NAJIVUNIA JASHO LANGU NA SIYO LA MWANAUME WA MTU TAJIRI ,NA KULILISHA MKE /WAKE ZAO NA WATOTO WA WATU BUREE"(Nilishaapa sitaki tena kudanganywa mie,nilishadanganywa la kutosha) I KNOW  MALIPO NI HAPA DUNIANI AISEE NDO MAANA MWAKA HUU 2013 NIKASEMA NITATENDA MEMA TU,,KWANI KUNA WENGI TUMEWAZIKA NA TULIKUWA TWALA NAO SAHANI MOJA AU KUWASIKIA MITAANI NA HATA KWENYE  MITANDAO " HAINA HAJA KABISA KULILIWA KWA SABABU YA KUMDONOA MME WA MTU /NA MME WA MTU AKIKUJIA MWAAMBIE AJE NA BARUA  YA KUTOKA KWA MKE WAKE AU MCHUMBA WAKE" ALAFU  KAMA ANAKUAMBIA HANA NA ANATAKA KUKUOWA ,ASIANZE KUKUAMBIA UMPE HELA ZA BIASHARA AU ZA KUFUNGUA OFISI" JUA HAO NDO MATAPELI WAKUBWA ,Na jua hata Kinadada wapo matapeli pia,wanavizia wanaume wenye Hela na wapo tiyari kubadili dini zao au hata kufa kwa magonjwa yoyote ili mradi KAOLEWA NA MME MWENYE HELA ,ATAMPA KILA AKITAMANICHO NA ATAMPANDISHA KWENYE NDEGE NA KUMLETA ULAYA AU KUMPELEKA POPOTE NA NDEGE,KUTOKA KWENYE KIMJINI KAKE ANAKOISHI" NANYIE WANAUME PIA MSIDANGANYIKE NA HAO KINADADA/NA SINGLE MUM'S" HASA KAMA WAPO TANZANIA NA WEWE UPO MAJUU" USIDANGANYIKEEE" NA VILE VILE JUENI HAKUNA MAPENZI YA MBALI YA UKWELI " ETI WEWE UNAISHI UK NA MWENZIO ANAISHI TZ " HAYO YATAKUWA MAPENZI YA CHUMA NILETEE"ANYWAY ,USIKOSE KURUDI APA TENA KWA MAPICHA NA MAMIPASHO YA UKWELI HAPA HAPA KWA YOUR ONLY ONE BLOG YA MAUKWELII "
*FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG*
FOUNDER"

I MISS YOU MY WAJINA ...JAMANI UKAJA LONDON NAMI NIKAWA SIPOO"STAY BLESS ALWAYS AND I KNOW MY TIME WILL COME TUTAKULA MACHALARI PAMOJA!! RUWA MANGI"

Saturday, 12 January 2013

ANGALIA NANI ANAMUIMBIA DAD WAKE HAPPY BIRTHDAY TODAY " KI MARILYN MONROE -HAPPY BIRTHDAY MR PRESEDENT .a.k.a. MR WALKER!!

HAPPY BIRTHDAY TO YOU ,HAPPY BIRTHDAY TO YOU " HAPPY BIRTHDAY MR  WALKER .a.k.a DAD" HAPPY BIRTHDAY TO YOU !!!
 Akimuimbia Dad yake Hapo juu pichani" LEO NI BIRTHDAY SIYO KIHARUSI" HAPPY BIRTHDAY SONG" FAB " SO PROUD OF HER KWA KWELI!!
HAPPY BIRTHDAY TO MY DARLING HUSBAND! LOVE YOU SO MUCH. HAPPY MANY YEARS.XXXX

 SO LOVELY ,NI TAMUJE ILIKUWAAA....WHERE IS THE PARTY TODAY MR &MRS WALKER!! LEO MWALA PEKE YENU EE,,MBUTA NANGA!! MIMI PENDA NYIE KWASABABU MNANIPENDA PIAAA"
 Mazuri hayaambiwi tizamaa!!


 Flora lazima awakilishe,au vip " Flora Lyimo Fashion Police " nami nasemaje" Shemeji yetu you are the Best" And you know That" Be Bless with your Family Always!!!
Mwenyewe" Wishing you a Very Happy Birthday Mr Walker!Flora Lyimo Fashion Police"
" FOUNDER"

FLORA LYIMO FASHION POLICE DIARY YA HOME HOLIDAY YANGU IN TANZANIA 2012 -2013 "HAPA NIPO DAR USIKU WA KWANZA!!

Siku ya Kwanza in Dar na kuingia Uwanjani na wenye Mji" Full Kujiachia Rusha Hela ,Rusha Roho ishapitwa na wakati" Ruwa Mangi"
 
Mazuri hayaambiwi tizama!! Si mwingine ni  *Flora Lyimo Fashion Police *na Ben Kinyaiya wa Ukwe"
Flora Lyimo Fashion Police with The One and Only Koffii Olomide!! yani kulikuwa na joto ni balaa..mie nilichemka haswaa"
Rusha Pesa ndo mtindo wa kileo au mwasemaje Nyota za Flora Lyimo Fashion Police""
Tulitokezaje sasa" Na niliwaachia wenye Mji kupigaje Gumzi!! Hhahahaa  Yalaaa Hebu Mfyonze niwasikie " Fyonzeni basi au mnaniogopaa" Mbuta Nanga"
Hebu ona huyu sasa sijui hapo kama kavaa chupi au vipi ,ila kamera ishasema yote!!
Hawa ndo baadhi yawalokuwepo kwa shughuli za kupata UMISS.....YOU KNOW,UMISS ni kazi kweli kweli ,ambayo unaweza ukajikuta wapanda stajini uchi uchi.Mbuta Nanga!!!
Alafu asikudanganye Mtu " Tanzania watu njaa na ujanja wa kuishi kunyemelea Wanaotoka majuu.Uwe Mwanamke au Mwanamme" kama wewe si mjanja aisee utajajikuta Unaolewa Kila kukikucha , la kushangaza ni kwamba ukisha Mkatalia ,utaona mawasiliano hamna na hata ukimpigia Sim hapokei ,Kisa umemnyima hela za Biashara au za kufungua ofisi" Hivi huwa wanadhani kila mtu ni JingaZungu la Majuu ee" Hhahahaaa yani nilirudi Moshi nikadhani nimeepuka Utapeli wa Dar ,kumbe na Moshi ndo mwanzooooo wanakotokea ,then nikasogea Arusha ndo Uwii kumbe ndo Makao makuu" Yesu na Maria " Anyway Msikose kusoma Yalonikuta na nilokutana nayo KIUTAPELI TAPELI" in my Home Holiday Tanzania 2012/2013"
By *Flora Lyimo Fashion Police Blog*
Founder"

Friday, 11 January 2013

HAPPY BIRTHDAY TO MY SHOSTITAMU RHODA " NAKUPENDAJE NA NAKUMISIJE HADI CHOZII!! ENJOY WITH TWANGA PEPETA IN BONGO ,NIKAMA NAKUONAA!!


 Uwiii TOTOZ ZA KITZUK ,TUKIWA PAMOJA NI BALAA...KILA KITU KINAWEKWA MEZANII!!
 FLORA FASHION POLICE NA SHOSTITAMU YANGU RHODA NAKUPENDAJE MPENZI ..CANT WAIT FOR THE BIG PARTY 2013 LONDON KAMA KAWA YETU"
HAPPY BIRTHDAY SHOSTITAMU YANGU RHODA" NIMEKUMISI MNO HADI CHOZIII..!!!.BE BLESS KIPENZI ,NAKUOMBEA MUNGU AKUPE YALE YOTE MEMA ULOMUOMBA MIAKA HIYO ILOPITA AYAKUJALIE MWAKA HUU" BE BLESS ALWAYS AND REMEMBER YOU ARE MY EVERYTHING AND EVERYTHING IS YOU " MWAH XXXXX

JE ..WAKUMBUKA HUYU MDADA....NA UNAJISIKIAJE ENZI ZILEE!!!

IN LOVE WITH .........JAMANIIIII MNAKUMBUKA ENZI HIZI ....NI NOMAAA!!!

FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 11-01-2013" AISEE NIMEANZA NA HAWA ,MTU NA MAMA YAKE " THE MIDDLETONS a.k.a. MAMA NA DADA YAKE MUKE YA KING MZUNGU" WAMEBEBA MABEGI YAO YAKUFANANA NA PIA YA HELA ZA KUHESABU ,CHAKUSHANGAZA NI KWAMBA WAMEPARARA HERI HATA WAMACHINGA WA MOSHI -MBUYUNI"

 

Like mother, like daughter: Carole and Pippa Middleton both carried the £195 Modalu bag when visiting the National Portrait Gallery
Like mother, like daughter: Carole and Pippa Middleton both carried the £195 Modalu bag when visiting the National Portrait Gallery"

Both carried black versions of the 'Pippa Grab' with gold detailing as they visited the National Portrait Gallery to see the unveiling of the official portrait of the Duchess of Cambridge.( Ya Mtoto mtu na Dada mtu" Anyway " sasa kuna haja gani yakununua mabegi ya hela yote hiyo na wakasahau kununua karangi kazuri cha kujipaka mdomoni na vipodozi vingine vingi mwavijua nyie Madada/Mama wa ukwe.,hebu waone hapa pichani kusema ukweli ni kama waliamka na kujikuta wanachelewa so wakavaa nguo na kuchukua mabegi yao fasta fasta" Alafu mabegi yenyewe hayajaendana na mavaazi yao " na shughuli yenyewe inavyojieleza hapo ,wangetakiwa wavae kimtoko wa Gallery kujivunia Mtoto wao ( Muke ya King Mzungu" KWELI KUVAA SIYO PESA " AU NYIE MNASEMAJE NYOTA ZA FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG*Acheni maoni yenu anytime nitayaweka bila ubaguzi "Ila msisahau Matusi ni Marufuku "

Mabegi yanafanana eee,Ila the only difference is that Pippa's bag had a mock crocodile skin effect. The bag is available to buy in various colours at a cost of £195 from Modalu's website and retailers including John Lewis. A smaller version is also available for £169.
No need to share: The other difference in the bags is the mock crocodile skin effect on Pippa's version
No need to share: The only difference in the bags is the mock crocodile skin effect on Pippa's version"


Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook OR Tell.(+44) 07787471024 " Ikiwa wahitaji Mabegi kama yao kwa bei powa"

MRS OSBOURNE a.k.a SHARON " AFUNGUKA PUBLICLY KUMTETEA MWANAE KELLY JUU YA LADY GAGA" HEBU WAANGALIE PICHANI " KILA MMOJA ANAHAKI YAKE NA KILA MMOJA AMEZALIWA NA MAMA " CHA MUHIM NI UPENDO !!



Watch out below: The singer is normally seen in towering high heels that help her appear taller than she is
Nipisheni mie ndo Yule yule wa Juu Juu leo nipo kichini chini" Your one and only Lady Gaga!! Mpendeni mchukieni yeye Hela zinaingia na Anaishi apendavyo na siyo wengi wapendavyo" Habari ndo hiyo MRS OSBORNE"
Watch out below: The singer is normally seen in towering high heels that help her appear taller than she is
Watch out below: The singer is normally seen in towering high heels that help her appear taller than she is"Lakini leo kajikuta mchinichini kinomaa"

While her Canadian fans were happy to see her, Sharon Osbourne made her feelings about the star clear in an open letter.

Sharon launched a scathing attack on Lady Gaga, accusing the singer of being desperate for attention after openly criticising her daughter, Kelly.

'I am calling you a bully because you have 32 million followers hanging on your every word and you are criticizing Kelly,' Sharon writes, asking, 'Are you so desperate that you needed to make this public?'

Airing out their laundry: Sharon Osbourne, left, took on Lady Gaga, right, with an open letter posted to her Facebook page on Thursday
Mrs Osbourne"Mama ,Mama huyoo,Mama Mama huyo Mama" yah " ndo Mamake mtu ,usiguse mwanae kwa jambo lolote baya" Kila Mama will,"Hata mwanao akiiba utamtetea hajaiba "Why ? kwasababu ya ule URAFIKI WAO AKIWA TUMBONI" "Ruwa Mangi"Baba anaweza kumtetea mwanae kama Mama?"
In the red corner:
In the red corner: Mtoto wa Sharon Osbourne " na hapo juu pichani ni Mama yake Mzazi Mrs Osbourne"publicly slated Gaga after her daughter got into an argument with her"(Lady Gaga"
Photo in question: Kelly pointed to this photo of Lady Gaga wearing a burka to a London Fashion Week, which prompted the Fashion Police correspondent to question if she was disguising a baby bump
Covered up: Kelly thinks Lady Gaga wore a burka to a London Fashion Week event to disguise a baby bump"

HAKUNA KITU KIBAYA DUNIANI KAMA UBAKAJI (RAPE) NA NAJUA KUNA WANAWAKE WENGI SANA WANABAKWA TANZANIA (PIA) NA KWA UWOGA NA TISHIO KWA WAHUSIKA BASI WAO HUJIKUTA MASHAKANI NA KUENDELEA KUBAKWA KILA KUKIKUCHA. SOMA HII HABARI UELEWE " NA KUJIUNGA " STOP RAPE NOW!!!

She was 23, with dreams of being a doctor but three weeks ago, she was gang raped by six men, savagely beaten and thrown out of a moving bus in Delhi. Last week, the still unnamed woman who has become “India’s daughter”, died of her injuries in hospital.

Namita Bhandare knows the constant fear that goes with living in Delhi, nicknamed India’s “rape capital”. Like others, she long believed that nothing would change. But the outpouring of anger and sadness now has convinced her that this could be a turning point for women like her.

The tragedy has sparked vigils and protests, and over 100,000 Indians have already signed Namita's petition to the Indian President and Government. As the story reverberates around the world, being covered by every major news outlet, there's a chance for people in the UK to stand alongside women in India and help show the Indian Government that its international reputation is on the line if it fails to act.


The story of “India’s daughter” has sparked deep grief and fury across India. Grief for her horrifying ordeal, and fury that politicians have ignored the huge problem of rape and sexual violence against women for so long.

According to crime statistics, a woman is raped every 22 minutes, and most rapists are never prosecuted. Women are often blamed for their own rapes, police refuse to hear reports from victims, and some women report being harassed by the very authorities they hope will protect them.

Politicians are being faced with some uncomfortable truths. But Namita says that unless people seize this moment of national consciousness, the chance to change anything will slip away. That’s why she’s asking for global support to show the world is watching.


Thanks for being a part of this,

Katherine and the Change.org team

*THE FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG *IS BACK "NA ANAPENDA KUWAPONGEZA WOTE KWA KUKUWEPO PAMOJA HASA KWA USHIRIKIANO NA UPENDO MLIO NAO TUZIDISHENI HAYO HAYO MAZURI DAIMA " NOW LETS SAY GIRLS WE LOVE OUR BAGS...AND THE SEXY BAGS LIKE THIS NA MENGINE MENGI KAMA HAYA YANAUZWA LONDON NA TANZANIA BY FLORA LYIMO TRADE KWA BEI POWA TENA HASA KWA JUMLA "

 

Penélope says that while she's grateful for her other fashion jobs this one is especially important to her
Penélope says that while she's grateful for her other fashion jobs this one is especially important to her"
She says she 'grew up admiring the clothes, bags and accessories'
She says she 'grew up admiring the clothes, bags and accessories'

The collection is inspired by Gala, the intellectual and wild bohemian wife and muse of Salvador Dalí
The collection is inspired by Gala, the intellectual and wild bohemian wife and muse of Salvador Dalí"
Lisa Montague, CEO of Loewe, says: 'Penélope Cruz is the perfect ambassador for Loewe, representing our values of passion, authenticity and excellence.'
Penélope Cruz says: 'Loewe is an international brand proud of its Spanish roots with a rich history behind. Its collections are made by Spanish master artisans and I have always admired their work. I feel fortunate to be a part of this project.'
'You can see the work, love and dedication in every piece'
Stuart Vevers, Loewe's Creative Director, says: 'Penélope's strong, sensual beauty has long been an inspiration for me as a designer and a constant reference for my ideal of Spanish womanhood since I came to Loewe.'
The visuals of the campaign feature two iconic Loewe bags: the Amazona and the Flamenco, and two new bags: the Paseo (inspired by the Royal Andalusian School of Equestrian Art), and the Cartero, from the Spring Summer 2013 fashion show.
Loewe, the Spanish luxury leather house founded in 1846, with 170 boutiques around the world, has been part of the LVMH group since 1996.
Penélope Cruz makes her debut appearance for Loewe as the star of its spring/summer campaign
Penélope Cruz makes her debut appearance for Loewe as the star of its spring/summer campaign"


Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook