KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 2 December 2013

BY:FLORA LYIMO ~JOY KALEMERA AWEKA TANZANIA MBELE BAADA YA KUSHINDA USA PAGEANT JUMAMOSI (ALBUM 1) ''PROUD AND PAMOJA DEAR!!


 Mlimbwende Joy Kalemera akipungia mashabiki baada ya kushinda mashindano ya Miss Tanzania USA Pageant yaliyofanyika usiku wa Jumamosi Novemba 30, 2013 kwenye ukumbi wa Hollywood Ballroom uliopo Silver Spring , Maryland na Mhe. Balozi Liberata Mulamula ndiye aliyekua mgeni rasmi. Joy Kalemera alipohojiwa na Vijimambo alikua na haya ya kusema.
 Mshindi wa Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalamera akipewa maua na aliyekua Miss District of Columbia baada ya kutangazwa mshindi kwenye Miss Tanzania USA Pageant ambapo mashindano haya ya kumtafuta Miss Tanzania USA Pageant ndiyo ya kwanza kufanyika kwenye ardhi ya Marekani. 
 Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera akiwa mwenye furaha baada ya kutangazwa mshindi wa Miss Tanzania USA Pageant.
 Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akimvisha taji Joy Kalemera baada ya kutangazwa mshindi wa Miss Tanzania Pageant''
PROUD MOMENT'' Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa mwenye furaha baada ya shindano hili kufana sana na kuandika historia iliyobeba ukurasa mpya wa kutangaza Tanzania kwenye mashindano haya ya Miss Afrika USA Pageant ambayo Tanzania ilikua na mshiriki wa kwanza mwaka huu ambae ushiriki wake haukupitia ngazi hii.
Joy Kalemera akipongezwa na washiriki wenzake waliokua nae kwenye kinyang'anyiro hiki kilichoanzia miezi miwili iliyopita.
 Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa kwanza katika historia ya Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera kulia ni Mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey.
 Joy Kalemera katika picha ya pamoja na majaji pamoja na mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Africa USA Pageant, Lady Kate (kulia)
 Kutoka kushoto ni Faith Kashaa kutoka Alabama ambaye ndiye mshindi wa tatu, Doreen Rumaya kutoka Pennsylvania mshindi wa pili, Joy Kalemera kutoka New Jersey Miss Tanzania USA Pageant, Julia Nyerere mshindi wa Tano na Namala Elias mshindi wa nne wakiwa kwenye picha ya pamoja''
 Miss Tanzania USA Pageant katika picha ya pamoja na washiriki wenzake.
picha zingine baadae'

TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA MM''

BY:FLORA LYIMO ''SO SAD ' R.I.P PAUL WALKER '' FUNDISHO KWA WALE WAENDESHA HIGH POWERD SUPER -CARS KWA MWENDO KASI ''ONA PORSCHE GT ILIVYO WA ROAST !!



x
In this tragic photograph actor Paul Walker, best known for his role in the Fast & Furious action movies, is seen stepping into his friend Roger Rodas' Porsche GT just moments before the horrendous crash in which the pair lost their lives'
MUNGU WANGU ''HII NDIYO MOJA YA SABABU SIPENDI MAGARI KABISAAA'' I LOVE HOUSE'S MIMI NIPENI NYUMBA'S MAGARI CHUKUENI NYIE''RUWA MANGI''R.I.P. HAPPY PEOPLE!! NA POLENI WAPENZI WA MOVIE NA PAUL WALKER ''


In this tragic photograph actor Paul Walker, best known for his role in the Fast & Furious action movies, is seen stepping into his friend Roger Rodas' Porsche GT just 30 minutes before the horrendous crash in which the pair lost their lives.
The high-powered super-car, which was being driven by Rodas, burst into flames after it crashed into a pole and tree in Santa Clarita, north of Los Angeles, at 3:30pm on Saturday.
The county coroner has revealed that the bodies of Walker and and his friend/business partner were so badly burned in the horrific incident that they are currently unidentifiable.
There was a post-collision fire and bodies are not visually identifiable,' said L.A. County deputy coroner Dana Bee.
The L.A. County Coroner's office has requested dental records for both victims before they can identify the bodies. Autopsies on both bodies have been delayed until later this week, reports TMZ.
Walker, 40, who appeared in five of the six films about illegal street racing and heists, had been at an event for his charity Reach Out Worldwide before deciding to take the car, a cherry-red Porsche Carrera, out for a drive with his friend. 
The fundraiser, to benefit victims of Typhoon Haiyan, had been taking place in a race car shop near the scene of the crash.

Wreckage: Actor Paul Walker died in the crash alongside his friend after they decided to take the sports car out for a spin during a charity event
Wreckage: Actor Paul Walker died in the crash alongside his friend after they decided to take the sports car out for a spin during a charity event'



Horror crash: First responders gather evidence near the wreckage of a Porsche sports car that crashed into a light pole on Hercules Street near Kelly Johnson Parkway in Valencia on Saturday, November 30, killing actor Paul Walker
Horror crash: First responders gather evidence near the wreckage of a Porsche sports car that crashed into a light pole on Hercules Street near Kelly Johnson Parkway in Valencia on Saturday, November 30, killing actor Paul Walker''
c
The remains of the Porsche that Walker and his friend died in is taken away. The L.A. County Coroner has requested dental records for both victims before they can identify the bodies''

Walker leaves behind a 15-year-old daughter, Meadow, who had recently moved to California from Hawaii to be closer to him.
The actor was also dating Jasmine Pilchard-Gosnell, 23, when he died and she is ‘broken up’ over his loss, relatives have revealed.
Her uncle Barton Bruner said that she is being comforted by her mother Julie as she struggles to cope with the ‘horrible’ news.
Bruner said: ‘Paul was a really good guy and Jasmine is broken up by this. I went to Thanksgiving with him, played golf with him.
‘They had their ups and downs but they were together and looking to spend a bright future together.
‘This is horrible news and unexpected. Her mother is with her and she is comforting her’.
x
Across social media sites, fans have been posting a quote - 'If one day the speed kills me, do not cry because I was smiling' - attributed to Walker''
KWELI KABISA 'ILA LAZIMA MACHOZI YATOKE FOR THOSE WHO LOVE YOU DEARLY'' 

x
A memorial for Paul Walker: Fans have been paying their respects to the Fast and Furious actor at the scene of the crash, he died on Saturday afternoon along with his friend Roger Rodas

Walker reportedly started dating Pilchard-Gosnell when she was just 16, meaning he would have been 33, an age gap of 17 years.
She was supposedly beginning to become the step-mother to Walker’s daughter, even though she is only 10 years older.
The star's representatives and official Facebook page have confirmed his death.
Ame Van Iden, Walker's publicist, said in an email: 'Sadly, I must confirm that Paul did pass away this afternoon in a car accident.'
The actor's official Facebook page was also updated with the message: 'It is with a truly heavy heart that we must confirm that Paul Walker passed away today in a tragic car accident while attending a charity event for his organization Reach Out Worldwide. 
'He was a passenger in a friend's car, in which both lost their lives.
'We appreciate your patience as we too are stunned and saddened beyond belief by this news.
'Thank you for keeping his family and friends in your prayers during this very difficult time. We will do our best to keep you apprised on where to send condolences. - #TeamPW.'
Since the crash, fans and people wishing to pay their respects have left messages of condolence as well as candles and flowers at the site of the crash.
Across social media sites, fans have been posting a quote - 'If one day the speed kills me, do not cry because I was smiling' - that is attributed to Walker.


TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM'

Sunday, 1 December 2013

FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 01 /12/2013 ''JESTINA GEORGE ACHAFUA (TENA??) ARUSI YA WHAT SHE CALL HER MY GIRL ISHA WE'VE COME A LONG WAY''HUKU AKIMCHAFULIA NA BLACK JUMPSUIT KAMA ANAKWENDA KUBEMBEA NA MWANAE AFTER SCHOOL '' NA BIBI ARUSI NAE KACHEMSHA NA NGUO YAKE YA KUAZIMA''MBUTA NANGA!!


 KWANZA KABISA NAPENDA KUKUPONGEZA NDUGU YETU MTANZANIA KWA YOUR BIG DAY '' PILI NAPENDA KUKUPONGEZA KWA KUWEZA KULISHIKILIA UA LAKO LA ARUSI IPASAVY ''' TATU MPIGA PICHA ALIKUWA NANI MBONA ALIKUWA HAONI VILE SHEMEJI ALIVYOKAA NA JACKET LAKE NA KUMUAMBIA ALIFUNGUE VIFUNGO MAANA NILIDOGO LINAMTOSHA ONLY ANAPOSIMAMA'' SO ANATAKIWA AKIKAA AFUNGUE VIFUNGUO 'HASA ANAPOPIGWA PICHA ZA KUSAMBAZWA ULIMWENGUNI 'NNE 'NGUO ULIAZIMA KWA NANI ..MAANA HAIKUTOSHI KIFUANI KABISA 'YANI NI KUBWA KULIKO YOUR MATITI YANI UNATAKIWA KUVAA NGUO KUENDANA NA SIZE YA MATITI YAKO '' 

WACHA NIKUPE SIRI MY DEAR''
 KAMA NGUO NI KUBWA KIFUANI VAA PUSH UP BRA'' HASA HII NGUO YA DESIGN HII SIYO YA MTU KAMA WEWE AU HATA MIMI MAANA TUWAFUPI NA MAPEGA MAFUPI PIA'' ALAFU NYWELE UMEBANA JUU NAKUKUFANYA MFUPI ZAIDI YANI UNAKUWA KAMA MTU MREFU ALIEVAA SKIRT '' DONT GET ME WRONG IS NOT JUST YOU MANY WOMAN WEAR WRONG SIZE BRA AND WRONG WEDDING DRESS KUENDANA NA SHAPE ZAO '' YOU NEED TO TAKE TIME TO LOOK AROUND FOR A PERFECT DRESS FOR YOUR WEDDING' KUMBUKA NDIYO HARUSI YAKO YA ONE DAY AND FOR LIFE'' NA HAO UNAOWAITA YOUR GIRLS AU WANAOKUITA YOUR GIRL NDIYO WAMEKUJA KUKUCHAFULIA ZAIDI ''YANI KWANI MLIKUWA HAMUONGEI MKAJIPANGA NA HATA KUSAIDIANA KUONA NGUO MTAKAZO VAA'THAT IS WHAT I WOULD CALL MY GIRLS ''YANI HAWAVAI NGUO SIJAONA NA NIKARIDHIKA NAYO 'REMEMBER IS MY WEDDING AND NOT THEIRS ''SO WANATAKIWA KUELEWA HILO WANATAKIWA KUVAA NA KUPENDEZA FOR YOU AND NOT FOR THEM ''ONA WATU KAMA SHOGA YAKO ULOMUACHA NDANI JESTINA ALIVYOKUCHAFULIA''YEYE ANAKUJA KU JUMP AT YOUR WEDDING DAY ''HANA HATA AIBUJE''
 MWANAMKE YULE 'FULL (MASHOWUZ ) YA KUJAMPU JUMPU KAMA JUMPSUIT YAKE AT THE WEDDING'' HEBU NIKUMBUSHENI TENA HARUSI YAKE KWANI ALIKUALIKA NA UKAMCHAFULIA AU ''MBUTA NANGA''MAANA NAONA HATA PICHA ALIZIFICHAJE''ADHUBUTU KUZIONYESHA DUNIA ''LOL''HAHHAAA''JAMANI MIMI NAWAAMBIENI UKWELI SIKAI VIBARAZANI NIKIWASUMANGENI WALA NIKIWASEMENI KICHINI CHINI ''MIMI NAWAAMBIENI UKWELI WENU WAZI NA NAJUA SHUGHULI ISHAFANYIKA NA ISHAPITA ILA WENGINE NI VIZURI WAJIFUNZE FROM HERE'' SASA WACHA TUENDELEE KUTIZAMA PICHA ''RUWA MANGI ''
 MBUTA NANGA'''HII ARUSI WAS LIKE  A PRACTICE WEDDING'' SASA HICHO KISU MY DEAR NIAJE'' HAHHAHAA'YANI UNACHUKUA KISU JUST LIKE THAT ''LIKE UNAKWENDA KUCHINJA KUKU'' JAMANI MLIKOSA KITCHEN FOIL HUKO JIKONI KAMA MSIMAMIZI WA ARUSI HAKUKUWEPO ? WHY KUJIAIBISHA JAMANI  KWENYEWE SHUGHULI YAKO MWENYEWE AU NDIYI UBAHIRI WA PESA? '  NA MIGLASI YA POMBE HAPO HAPO 'YANI MEZA HAMKUWEZA KUANDAA PIA?' VITAMBAA VIPO MPAKA VYA £1 POUND'' AU SIYO ARUSI DAY KWELI HII'' AIBUJE JAMANI''' KAMA ARUSI NDIYO HIVI BASI NAISHIA HUKO HUKO KANISANI AU NILIKOFUNGIA''AU NIFICHE PICHA KABISA KAMA JESTINA ALIVYOFANYA ZA ARUSI YAKE ''
 ONA MCHAFUAJI LAZIMA AJIFICHE NYUMA ANAJUA FLORA LYIMO FASHION POLICE ATAMNASA TU'' NA NIMEMNASAJE SASA'' USIENDE KUCHAFUA SHUGHULI ZA WATU WACHE WAO WENYEWE WACHAFUE''
 ONA SASA NGUO YA BI ARUSI aka ISHA 'SASA MNAONA NIKWANINI NIKASEMA KAAZIMA HII NGUO ''SIJAIMANISHA KAAZIMA KWELI ILA NDIYO MSEMO NIMEKUA NAO NANITAKOMAA NAO YA KWAMBA UNAPOVAA NGUO ISIKUTOSHE TUNASEMA UMEAZIMA'' HABARI YA MUJINI NDIYO HIYOO'' 
 ONA SASA ''FULL KUSHAFULIANA WOTE '' HUYO NAE ULIMUALIKA KUTOKA WAPI ?MBUTA NANGA'HARUSINI HATUENDI HIVI MY DEARS'' KAMA MNASOMA HAPA JIEPUSHENIIIIIIIIIIIIIII'''
 MCHAFUA SHUGULI ZA WATU MUHIM MKUBWA NDIYO HUYOOO''SASA WEWE NA KUJIITA SIJUI NINI NA NINI ''NA PAMOJA NA KUWA NA BLOG HUWA UNA POST UKIWA UMELALA AU NDIYO ZILE ZAKO ZAKUSEMA SIYO WEWE HUWA UNA POST VITU KWENYE BLOG YAKO 'MAMANA UNGEKUWA UNAIGA MAZURI YALE HUWA YANAPOSTIWA  AT BLOGS NA MITANDAONI ''WHY GO AND MAKE YOUR GIRL BIG DAY A DEPRESSED WEDDING?'' YANI I MUST SAY TO LOOK AT YOUR BLACK JUMPSUIT ETI UMEVAA AT WHO YOU CAL YOUR GIRL WEDDING ITS JUST DEPRESSING ME TOO'' I FEEL HER KWA KWELI '' YANI MLIOALIKWA NA WACHACHE ALIWAAMINIA PENGINE MNGEMSAIDIA TO MAKE HER BIG DAY A FAB WEDDING TO REMEMBER KUMBE IS JUST FULL OF SAD SAD PEOPLE LIKE THIS WINTER TIME IN ENGLAND AT THIS MOMENT OF THE YEAR '' MBUTA NANGA'' I THINK MTANISOMA NA KUNIELEWA LUGA ZOTE NAKOROGA NIKIPENDA 'ILI MUELEWE NA KUJIREKEBISHAAAAAAAA'''HAHAHA!!
 MSOSI WA HII ARUSI YA WINTER TIME NDO HUOO'''MBUTA NANGA!! 
 THIS IS WHY THEY SAY 'BLACK IS THE NEW WHITE'' BUT AFADHALI HUYU DADA ESTHER KAVAA BLACK BUT YA KIHARUSINI IS POWA JAPO NO BLACK AT THE WEDDING'' AVOID IT IF YOU CAN '' EVEN IF IS FAB DRESS'' 
 ETI WAPO KWENYE ARUSI ''MBONA VIHOJA HARUSINI '' DADA MWENYE RED HIYO NGUO ISINGE KUWA NA NYEUPE NDANI JAMANI ''NOT GOOD AT ALL'' NA HELA HIZO HIZO ULIZOTUMIA KUNUNUA HIYO NGUO YAKO YA RED NA WHITE LINING IS JUST LOOK CHEAP AND MBAYA PAMOJA''ILA PIA AFADHALI KULIKO JUMPSUIT YA MAMA IMAN HAPO'' ALL YOU NEED IS TO KNOW WHAT TO WEAR TO WHO YOU CALL YOUR GIRL WEDDING JAMANI ''MMEMFANYA HATA YEYE MWENYEWE KAONEKANA DEPRESS '' HAIJULIKANI NI HII BARIDI AU NDO NYIE'' YANI FULL MADEPRESS MATUPU''
 THIS IS AFADHALI KABISA''YANI BORA DADA YETU BEATRICE FREDERICK MWELINDE KAVAA KUIFUKUZA WINTER '' PENDEZA KWA KWELI KILA KITU ON POINT '' NA KIPOCHI CHA ARUSINI MWAKIONA LAKINI '' SASA MSIKOSE KUODA VYENU MAPEMA AT FL DESIGNS &TRADES'' 07787471024 YOU CAN ALSO WHATSAPP ANYTIME'' NAMBA HIYO HIYO ''

 MBUTA NANGA!!! ONA SASA NGUO NAYO INATAKA CAKE'' HAHHAHAA''JAMANI WAKE WA WAZUNGU WACHENI KUCHEKESHA WENYE MAPENGO NA WASO NA MENO PIA WANACHEKAJE''

 USICHEKE SANA NGUO ITADONDOKA HAIKUTOSHI MBUTA NANGA!! HONGERA KWA KUMPATA MZUNGU WAKO MWANYA NA PIA KUWATUPILIA MBALI MASHOGA WANAFIKI WAKO ''HALOOOOO'' HAHHAHHAHAHAAA'' NAJUA UNACHOCHEKA  HIVYO '' HUKUWAALIKA MAMBO KIMNYA KIMNYA HADI MAPICHAAAAAAAA''HABARI YA READING NDIYO HIYOO''


 MBUTA NANGA'''ITS LOOK LIKE WE ARE KILLING THE CHICKEN MY DARLING!! ANYONE PASS ME A SMALL KNIFE AND A KITCHEN FOIL PLEASE!!

 POLE ZAKO MY DEAR ''USIJALI WENGINE WATAJIFUNZA NOW'' KISU KIKUBWA MPAKA HATA KUKISHIKA TABU ''HUKUWEZA KUTAFUTA WATU WAKUKUSAIDIA UNAWALIPA YANI WANASHUGHULIKA NA KUKUPAMBA NA PIA KUPAMBA ARUSI YAKO ''MBONA KAMA PUB AU NI MACHO YANGU JAMANI ''HATA KAMA NI PUB BASI SIWANGEKUSAIDIA KUPAMBA MEZA HIZO KWA ONLY £1 POUND KITAMBAA CHA MEZA YA KUIKATIA HIYO KEKI (CAKE)NA KITCHEN FOIL PIA ONLY £1 POUND' ?? POLE SANA AISEE NAONA KAMA SIYO HARUSI BADO MNAFANYA MAZOEZI'' USIWACHE KUNIALIKA NIJE KUKUSAIDIA ''HATA VITAMBAA VYA MEZA NA MISOSI YA MOTO NITAKUPIKIA BETTER THAN CHIPS aka FAT CHIPS YANI KUBWA KUBWA HATAREEE IN THE WINTER '' KAMA MLIVYO AMUA KUWALISHA WAGENI WENU ON YOUR BIG DAY ON THE ENGLISH WINTER TIME''
WALIOALIKWA NDIYO HAOO''FULL DEPRESSING'' ONLY WACHACHE DADA MWENYE YELLOW HEBU SIMAMA UMEVAA VERY NICE SIMAMA UWAFUNIKE HATA WALOCHAFUA PIA JAMANI ''WAPI JESTINA NA BLACK JUMPSUIT YAKE''AU NDIYO KAJIFICHA MAANA ANAJUA KESHA HARIBU ''MBUTA NANGA!!
 DONT GO TO THE WEDDING IF YOU ARE GOING TO CHAFUA JAMANI ''KWANINI MSIVAE VIZURI NA KIHARUSI ONCE '' JUST ONE BIG DAY OF MPENZI WENU WEDDING? IKIWA KAMA KWELI MWAMPENDA NA MNATAKA AFURAHIE ARUSI YAKE'' ALAFU ISITOSHE KAOLEWA NA MZUNGU'' ??SASA HUYO MZUNGU ANAONA WATANZANIA KAMA HATUJUI SIKU INAANZIA WAPI ''KUMBE NI SIYO WATANZANIA WOTE ONLY NISEMA 70% WANAKWENDA KUCHAFULIA WATU SHUGHULI ZAO ..THAT BIG?? ''YES'' I TELL YOU ''SIJUI WATANZANIA WENGI KWANINI HAMJIPENDI KUJIFANYIA YENU MPENDEZE ,YANI SIKU MOJA UHAKIKISHE UNATOKA KUFUNIKA HASWAAA PIA MNASHIDWA??ONLY ONE DAY NA TENA KAMA UNABAHATI UKAALIKWA '' LET ALONG OTHERS'' RUWA MANGI '' ILA FLORA LYIMO FASHION POLICE 'HATOCHOKA KUWANASA NA KUWAAMBIENI UKWELI WENU '' 

BY:FLORA LYIMO ~ HABARI MBAYA!! AMA KWELI TWATEMBEA NA VIFO VYETU POPOTE TUENDAPO..ONA HELICOPTER ILIVYO ANGUKIA PUB JUMBA LA POMBE LILILOKUWA LIMEJAA WATU WANA ENJOY BLACK FRIDAY JANA 'SO SAD ''


Recovery: Emergency workers take out parts of the helicopter as they try and find those who are trapped
Recovery: Emergency workers take out parts of the helicopter as they try and find those who are trapped''
At least eight people died when a police helicopter fell out of the sky ‘like a stone’ and crashed through the roof of one of Glasgow’s best known pubs.
The fatalities included everyone in the aircraft – two police officers and a civilian pilot.
One of them was named last night as PC Kirsty Nelis. In 2003, Mrs Nelis received a bravery award after overpowering a hammer- wielding thug.
In a terrible coincidence, her brother-in-law, Paul Nelis, is a fire service commander who was among the first on the scene – and learned of her death as he arrived.
The pilot of the helicopter, who is believed to be among the dead, was identified as former RAF flight lieutenant David Traill, 51.
Police also named Gary Arthur, 48, from Paisley,  as another casualty, after his body was recovered from the scene on the banks of the River Clyde.  

Operation: Emergency services battled through the Friday and Saturday night to find anyone still alive and to stabilise the building which was close to collapse
Operation: Emergency services battled through the Friday and Saturday night to find anyone still alive and to stabilise the building which was close to collapse''

Crash site: The helicopter's yellow-tipped rota blade blade and it's police logo can be seen jutting through the roof
Crash site: The helicopter's yellow-tipped rota blade blade and it's police logo can be seen jutting through the roof''
Mark O'Prey, 44, and poet John McGarrigle have both been reported missing by friends and family and are also feared dead. 
Mr McGarrigle's son, also John, said his father was sat in his usual seat in the venue, which was directly below the point where the aircraft hit. His friend, Sammy McGhee, is also thought to have died, 
according to The Sun.
Police admitted last night that there might still be bodies inside the pub, called The Clutha, though they have ruled out finding any more survivors. ‘The helicopter is in there and it is dominating the whole space within the building,’ said Chief Constable Sir Stephen House.

Five people inside the pub who had been listening to a live band were also among the dead. A total of 32 people were injured, 14 of them seriously – they were still being treated in hospitals across the city last night.
The tragedy cast a pall over Scotland’s St Andrew’s Day celebrations yesterday.
Police and Scottish Fire and Rescue services at the scene of a helicopter crash at the Clutha Bar in Glasgow
Tragic: Kirsty Nelis was one of eight people who died as the helicopter she was in crashed into a Glasgow pub''





Service: One of the victims PC Kirsty Nelis (far right) in flight
Service: One of the victims PC Kirsty Nelis (far right) in flight''

‘I think it will become apparent later that the brave pilot averted an even bigger tragedy,’ said Grace Maclean, a 22-year-old marketing assistant, who was in the bar but escaped uninjured.  
‘I believe there are many, many people who owe their lives to him – me included.’
She added: ‘I just feel numb. Looking at pictures of the scene, it just seems so surreal.
Tragedy: Group Commander Paul Nelis from Strathclyde Fire and Rescue found out his sister was dead when he arrived at the scene
Tragedy: Group Commander Paul Nelis from Strathclyde Fire and Rescue found out his sister was dead when he arrived at the scene''

‘Obviously I am distraught that people have died at a place I went to for a fun night out. My thoughts are with their families. I was so lucky.
‘If that helicopter had landed a few feet the other way, or landed heavier and gone through the roof with its rotors spinning, or exploded – well, it doesn’t bear thinking about.’
The crash happened while local ska band Esperanza were playing in the pub, which stands on bank of the Clyde in the city centre and is named after the river’s Latin name.
At first, there was bemusement, and some even laughed as a panel fell down behind the stage. ‘Looks like we’re bringing the roof down,’ joked the singer as the band carried on playing.
Yet seconds later, as dust clouds swirled through the bar, it became abundantly clear that something horrifying had happened. Slowly at first, part of the roof began caving in. Then it gave way completely, trapping a number of people directly beneath it.
Robert Kennedy, whose daughter Anne Marie was working behind the bar at the time of the incident,  said she suffered a broken leg but was relieved she was alive.
Mr McGarrigle, 59, a regular, is thought to have died because he was sitting in his ‘favourite seat’ which was directly under the point where the helicopter struck the roof.
His son John spent half the night frantically trying to contact him until he finally became convinced he was dead and ‘probably lying underneath the helicopter’.
He added: ‘He sat in the same spot all the time... a woman called Fiona said she walked into the toilet and, bang, the ’copter came in. When she came running out the door, my dad and Sammy [his friend] were gone.’
By this point, there was shouting and screaming and a thick cloud of black dust had swept over everyone inside. ‘I could barely see a few inches in front of me,’ said Ms Maclean.
‘I could feel hands grabbing me and people shouting: “Get out.”’
What happened at The Clutha
What happened at The Clutha'Yani hebu fikiria unakunywa mbege zako mara unasikia mdondoko wa embe mbichi mtini '' yani what the chance of that to happen pale unaambiwa Helikopter inaweza kudondokea kwenye hiyo pub au nyumba ?si utakataa'Ruwa Manga!!

Bleak scene: rescue workers haul tarpaulins over The Clutha pub's shattered roof, covering the carnage
Bleak scene: rescue workers haul tarpaulins over The Clutha pub's shattered roof, covering the carnage'
Access: The recovery operation saw firefighters trying to get into the pub from the roof
Access: The recovery operation saw firefighters trying to get into the pub from the roof'''

Reaction: Paul Watt, a regular at the Clutha pub, breaks down in tears as the police corden on Stockwell Street in Glasgow
Reaction: Paul Watt, a regular at the Clutha pub, breaks down in tears as the police corden on Stockwell Street in Glasgow''

Response: Scottish Fire and Rescue firefighters and USAR (Urban Search and Rescue) teams use ropes to stabilise a ladder as they stand on the roof of the pub
Response: Scottish Fire and Rescue firefighters and USAR (Urban Search and Rescue) teams use ropes to stabilise a ladder as they stand on the roof of the pub''

Map

Boundary: An officer walks walks past the metal barrier which has been set up around the pub
Boundary: An officer walks walks past the metal barrier which has been set up around the pub''

Concerned: Police officers speak to two women at a hotel adjacent to the pub
Concerned: Police officers speak to two women at a hotel adjacent to the pub'

He said: ‘It wasn’t a screaming, shouting match – and bear in mind that I ran over seconds after it happened, so people were coming out – and I think their reaction was “What’s happened?” because people didn’t seem to be in a state of complete panic.
‘Everybody was doing their best to try to get inside that pub and get people out of it.
‘I was very aware of how people were totally unconcerned about their own safety and just trying to get people out. I was right at the front door and initially there were a couple of people lying there and one lad who looked particularly badly injured; we got him out.
‘He was completely covered in dust and looked as though he was struggling to breathe. He was uncommunicative, so I established that he was breathing and he had a pulse and I got other people to help me to take him away from the front of the building, because at this point other people were being literally pulled out on top of us.’
Another witness in the pub, Fraser Gibson, 34, described hearing a ‘giant explosion’.
‘Part of the room was covered in dust,’ he recalled. ‘We didn’t know what had happened. We froze for a second, there was panic and then people tried to get out the door. I would say there were maybe 120 people inside the pub. A lot managed to get out straight away, but it was hard to tell how many were actually trapped in the other half of the bar.’
Another reveller in the bar, Ã…sa Gunnarsson, said: ‘I was standing in front of the stage when there was a loud bang – then I couldn’t see anything because of the dust.
‘Everyone tried to help each other and make sure that everyone got out.’
Brave: Labour MP Jim Murphy rushed from a nearby hospital to rescue the wounded from the pub
Brave: Labour MP Jim Murphy rushed from a nearby hospital to rescue the wounded from the pub

Esperanza bassist Jessica Combe told The Mail on Sunday yesterday: ‘Despite the situation everyone was so helpful and caring of each other.
‘The police, ambulances, firefighters all did a stellar job and continue to  do so today in extremely difficult  conditions.  
‘Our biggest concern is that everyone is found and can get the care and help they need. We were meant to play a gig tomorrow but due to last night’s events we will not be there. Our main concern is the safety of everyone who has not yet been rescued.’
For much of yesterday, it was unclear if anyone alive was still inside the building. Chief Constable Sir Stephen House said: ‘We are still in what we are determining as a rescue and recovery situation. Until it [the helicopter] is out of the way, we won’t know everything that is going on underneath the helicopter. We simply can’t say what the situation is at this moment definitively.’
Chief fire officer Alasdair Hay added: ‘This is a very challenging,  very complex and very difficult  rescue situation.’
Prime Minister David Cameron  paid tribute to the bravery of the  ‘ordinary Glaswegians’ who rushed to help and the Queen said her thoughts and prayers were with the victims  of crash.
Yesterday an inquiry involving the Air Accidents Investigation Branch and the emergency services was launched.
The probe will focus on mechanical faults within the aircraft and a potential failure in the fuel supply.
There is a chance the fuel could have been contaminated while the engine could also have lost power.
It comes after witnesses described the engine 'spluttering' as it fell from the sky onto the roof of the pub.
Sources close to the investigation said the pilot was 'as experienced as you could possible get', according to The Sunday Times.
Perspective: An overview of the scene at The Clutha on the other side of the River Clyde
Perspective: An overview of the scene at The Clutha on the other side of the River Clyde

A large section of the city centre, which was thronged with Christmas shoppers yesterday, was cordoned off. The Archbishop of Glasgow, Philip Tartaglia, who held at special Mass at St Andrew’s Cathedral near the scene, said: ‘My heart goes out to all those who have been affected by this tragic accident.
‘Prayers will be offered for everyone, especially for those who have died, for the injured and for the bereaved . . . Saint Andrew, patron of Scotland, pray for us.’
It emerged yesterday that the model of helicopter which crashed – the Eurocopter EC135 – was grounded last year amid safety concerns after a fault was found with one of the  two aircraft used by the Scottish Ambulance Service. They were later cleared to fly.
Cover: Workers drag a tarpaulin sheet over the yellow-tipped rota blades of the crashed helicopter
WAZIMA MOTO WAKIONEKANA WAKIFANYA KAZI YAO IPASAVYO 'HAPA WANAJARIBU KUFUNIKA HELICOPTER HIYO ILIYO ANGUKA JUU YA BAA HUKO GLASGOW'
YANI IT IS SO SAD 'DAKIKA MOJA UNAKUNYWA POMBE ZAKO NA KUFURAHIA MAISHA ,DAKIKA MOJA UNALIA KWA HUZUNI HUKU UKIKATA ROHO AU UKIWA NA MAJERUHI MAKUBWA''AMA KWELI JAMANI KIFO TWATEMBEA NA CHO POPOTE PALE TUENDAPO ''

 ''R.I.P . HAPPY PEOPLE"