KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 2 April 2014

BY FLORA LYIMO~ MAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA NA KUWAPA MAKAVU LIVE ' WANAWAKE MSICHUKULIANE WANAUME' KINA MAMA WALIGEUKIANAJE SASA'' MBUTA NANGA!! INGIA HAPA KUSOMA YOTE''

Mama Salma Kikwete akisimama na kuanza kuwapa kina Mama Watanzania Waishio Uingereza Yote aliyokuwa amewaandalia siku ya leo 31/03/2014 hapa Ubalozini London ' Mama Salma Anaambatana na Mme wake kama kawaida Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Mwaaliko wake na Mheshiwa David Cameron wa Siku tatu hapa Nchini Uingereza ' Siku hii Ya Jumatatu Mama Salma kagawanyika na Mme wake Ili aweze kukutana na Kina Mama wenzake Waishio hapa Uingereza ,ambapo ni kitu cha Kuheshim sana ,kwani anaonyesha ni jinsi gani anajali Kina Mama wenzake.Kwani Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete nae Leo yupo kwenye Hizi shughuli maalum zilizomfanya akaalikwa kuja hapa Uk kuhudhuria'' 

Mama Salma akiendelea Kuhutubia Kina Mama jambo la kwanza na La kuliza ni Lile la shughuli zake anazozifanya ambazo alikuja na Video haswa kwa malengo yakuonyesha kina Mama Umuhim wa kufanya kazi ,kupendana na kuwasomesha watoto hasa wale wasiojiweza ' na Huku wengi wao wakiwa ni waambukizwaji wa maradhi ya HIV huku wengine wakiwa hawana Wazazi hata Mmoja.
Salutiiiiiii kwa Mama yetu mpendwa Mama Salma Kikwete ,tunakupendaje sasa!!

Flora Lyimo Fashion Police with her Big Nyota'' Yani I love you my Girl and thank you kwa yote uloniambia '' I will Always zidishieni nyie maukweli at Top blog yenu ya maukweee''I promise Mbuta Nanga!!






mbuta nanga''This is Anastasia the Tanzania super Model kanifanyaje mfupi 'Uwii jamani mdogo wangu siunigawie kadogo hata nikufikie bega to bega basi ''hahhahaa''I wish you all the Best with your Modeling Kipenzi''






Mwaona Jinsi ya kukaa eee'' yani Mrembo mwenye Blue Moshi Shoes'' Anakuonyesha how to seat like a Lady''Siyo Mtu unakaa umejiachia kama Mwanamme vile' Mbuta Nanga''

Mitambooooooooooooooooo''''Mbuta Nanga" Shidaaaaaaaaaa!!
Ms .Francia Chengula /All ' Akijiandaa kwa Wimbo wake ,ila alikuta Mitambo imeganda na kuisubiria iyeyuke'Mbuta Nanga'' Kweli Watanzania hata tupelekwe wapi Ni Shidaaaaaaaa''Yani sioni ni kwanini wasingeijaribu hiyo mitambo yao kabla ya shughuli kuanza ili kila kitu kiwe tiyari na kuepuka aibu '' Anyway ''She did sing Baada ya Kusubiri hadi kikaeleweka''
















Hapa ndiyo usipimeeeeee''Kabla ya Yooooo''was Aibuuuu''yani kwa kweli nilitamani kulia'' baada ya Mama Salma kutoa Video ya kazi zake anazozifanya ambazo alitaka tuonyeshwa which this one was soo Special to her and to us,soShe wanted All Kina Mama wa Kitanzania UK Diaspora Community kujionea yani MUST SEE.I CAN SAY''' Ila aisee haikuweza kutizamwa na Sauti yake tatizo sijui lilikuwa nini haswa'' ,sasa watu tukabakia tukitizama Picha bila sound'' Yani Mama Salma alibakia akishangaaaa'Uwii 'Huwezi kuamini kabisa hapa ni UK utadhani ni kule Vijijini Tanzania maana hata kule Mijini kama Dar wanatushinda kabisa now days'' Na tatizo la Watu wengi wanaohusika na Mambo kama haya ya kusimamia Shughuli huwa hawajipangi na pia wengi wao wakiwepo ni wavivu,yani wewe ukitaka kuwajua ni wavuvi watizame wanapotembea,yani huwa hawana habari kabisa'' 
Mimi I can give you advice kidogo tu Ndugu zangu Watanzania wenzangu '' Kuweni mnafika mapema panapo shughuli hizo na kuvijaribia vyombo vitakavyotumika hasa vya sauti ambavyo vinaweza vikawa havitoe sauti au pia vikawa vimeharibika ,na vile vile  kuviweka mahala pake ambapo watu wanaweza kutizama vizuri bila usumbufu kwa kuketi mwisho wa viti vyote na kona kona zote ili muweze kuona ni jinsi gani watakao kuwepo hapo wanaweza kuona mbele au mahali hapo mlipopaandalia pa kusimamia Viongozi au TV na vyote vitakavyo husika kwa ajili ya shughuli hizo, Siyo msubirie on time of kuvitumia ndipo muanza kuitana na kujeukiana huku Waheshimiwa wakiwashangaeni''that is how they do it in here UK haswa 'ndiyo maana mnaona wanamaendeleo walionayo sasa hivi ,so msikae hapa UK bure bure ,Jifunzeni bure bure,maana huhitaji kwenda shule unahitaji kuiga mazuri tu'' How like I said''' JARIBUNI VYOMBO VYA SHUGHULINI KABLA HAVIJAANZA KUTUMIKA'' NA PIA UKUMBI ''JAMANI TULIBANANAJE HAPA'' Uwiii ,Mimi nilishindwa hata kupiga Picha kabisa ndiyo maana mnaona Nyingi sijaweka kulikuwa na mambo mengi sana na mimi hupenda kukamata yale yalosahaulika lakini 'Hapa palikuwa hapatoshii'' Na nachukia sana kukwaruzana kwaruzana na Watu hasa ambao hata usingependa kabisa kukwaruzana nao'' But unajikuta huna jinsi'' I do think Shughuli kama hizi zinafaa Zifanyike kwenye Hotel za Bei za chini ambazo hizi Hotel zinakuwaga na sehem za mikutano mikutana na bei zake ni powa sana,kama hii sioni kwanini kufanyika hapa Ubalozini wakati kuna Hotel za kule nnje ya Mtaa huu wa Mapesa ''Barking London ,yani pale kuna Hotel Mbili ambazo hizi shughuli zingefaa sana pale na hata watu wasingelalamika How to get there by Magari yao ''maana wengi hawakudhubutu kuendesha Mjini hapa kabisa'' Yani Walioendesha ni wale wanaojiamini haswa na wanaojua magari yao yapo na hali inayoridhisha Police wa Mji mkuu''maana hawa hawabahatishi kukunasa ni sekunde moja tu'' Mbuta Nanga'wacha niachie hapa Next time pia ukitaka mpate sehem huko Mahotelini na mpewe bei powa nijulisheni ''Nitawaelekeza wakuwapeni kwa bei powa''

Pole sana our first Lady 'Jamani Mama Salma Kikwete bado anabakia akitizama kwa masikitiko sauti hakuna kabisa'' Uwiii''SHIDAAAAAAAAAAAAAAAA"MBUTA NANGA!! Wasamehe bure Mama''Nadhani wamenisoma na kujirekebisha next time wajifunze kuijaribu mitambo hiyo kabla ya kutumika Live''
Flora Lyimo Fashion Police ''Akiwa kwenye Kijibajaji cha Mtaa wa Mahela 'London ''Yani hivi ndivyo Furaha ya huu Mji mkuu ''Usifike ukaacha kutembezwa navyo ''ili kujionea maduka yetu na Mtaa wote kwa ujumla ''
Kiatu mwakiona ee,,Kinauzwa kipo Dar na Tanga'' Hapa London vimekwisha'' Na Pia gauni na jacket nauza vimebakia vichache Only hapa London '' Magauni yatakuwa Dar mwisho wa Mwizi huu'' Ila majacket situmi na pia yamebakia machache so only for London au UK people'' Karibuni Whatsapp +44 7787471024

I love Usafiri huu kinoma,Yani huu ndio usafiri wa Flora Lyimo Fashion Police in London ''


In a London Black cab time to go home''You cant go home with kijibajaji''Mbuta nanga'hata ningependa haviruhusiwi kwenda mbali 'chezea London sheria weweeee'Itakukomeshaje''




I love Usafiri huu kinoma,Yani huu ndio usafiri wa Flora Lyimo Fashion Police in London and Yes for Life''

Yooooo''Baada ya Programme kubadilika na kuendelea na mambo mengine hasa yale ya makavu live ' Ndiyo na Sauti ikakubaliii''sasa ona Watu wakishangilia''Yooooo''And thanks God Mama Salma aliweza kurudi Home na amani ,kwani tuliweza kuangalia alichotaka tuone''na tuliliaje sasa Wengine kama Flora Lyimo '' Uwiii''kweli I do think wangetuuzia hiyo Video tununua na vile vile hizo hela zikaenda kuwasaidia hao watoto kule Shuleni'' Mama una Fanya kazi nziri Mno '' IM SO PROUD OF YOU ''NA NIMEKUIGA VIBAYA SANA NA NITAZIDI KUKUIGA'' PAMOJA SANA AND GOD BLESS YOU ALWAYS MAMA SALMA KIKWETE''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

BY FLORA LYIMO ~ BREAKING NEWS.. YASHIKA BAGEERATHI LEFT UK ,SHE IS ON PLANE JUST NOW ''I FEEL SAD'' SHIDAAAA''MBUTA NANGA!!


IM SO SORRY MY OUR GIRL..FLORA LYIMO AND ALL YOUR TEAM  YASHIKA WE DID ALL WE CAN''
HOPE YOU OK '' BE BLESS ALWAYS!
An A-level student's last-ditch bid to delay her deportation so that she could appeal her case has been denied.
A judge at London's Law Courts refused to grant an emergency injunction to block the removal of Mauritian teenager Yashika Bageerathi from Britain.
The 19-year-old will now be sent back alone to her home country, separated from her mother and her siblings, after immigration authorities refused her claim for asylum.
The decision slaps down a high-profile campaign which had sought to reverse the decision to deport Ms Bageerathi, a promising student, before she was able to take her A-level exams.
The teenager had been held at Yarl's Wood Immigration Removal Detention Centre in Hertfordshire since March 19, and is due to board an Air Mauritius flight back to Port Louis, the Mauritian capital, tonight.
A spokesman for the Oasis Academy Hadley in Enfield, north London, where Ms Bageerathi was a student, earlier said that the youngster was 'very distressed and worried' at the prospect of her deportation.
'We’re encouraging everyone to tweet Air Mauritius and to phone them to stop this,' he added, speaking as Ms Bageerathi was being transported to Heathrow by immigration officials.
Ms Bageerathi has earlier sobbed as she told her school friends she 'feared for her life' when she was suddenly told at 3.30pm that she was due to board a plane in less than six hours.
Two previous attempts to deport her were stopped when airlines reportedly refused to let her board their aircraft.
Her deportation was branded 'outrageous' by her headteacher who said Ms Bageerathi was an 'exceptional' case that should stop her being kicked out of the country.
The teenager fled from Mauritius in 2011 and claimed asylum last summer alleging she suffered physical abuse from a relative. She was living in the UK with her mother, younger sister and brother.
The 'gifted' schoolgirl was due to take her A levels next month.
Ms Bageerathi was allowed one phone call before being made to leave and broke down as she told her teacher at Oasis Academy in Enfield, north London what was going on.
Lynne Dawes, headteacher of the school, said: 'She was crying and just doesn't know what to do. She's scared for her life right now.
'It's outrageous to send a young girl back to a really dangerous situation. It's not even common sense. People are rightly outraged.
'We are absolutely devastated at this news. We have not been given any notice that this was going to happen.'
Demonstrators gather in London, to protest against student Yashika Bageerathi being deported
Demonstrators gather in London, to protest against student Yashika Bageerathi being deported'
The move comes after a long campaign by teacher, students and politicians to try and convince the Home Office that Ms Bageerathi should be able to stay here with her family.
A petition calling for her deportation to be blocked attracted around 175,000 signatures.
'We are devastated, the students are devastated,' Ms Dawes said. 'They have all have worked really hard to keep their friend with them here in the community and we have supported them.'
Yashika was due to take maths, further maths, chemistry and French in her A levels in May and was predicted As or A*s.
'She's very gifted. She teaches the younger students and she teaches her peers. She did lots of fund raising for the school and helped out at out community events.
'She was very much involved in our school community,' Ms Dawes added.
Demonstrators with banners gather in Parliament Square, London, to protest against the deportation of student Yashika Bageerathi
Demonstrators with banners gather in Parliament Square, London, to protest against the deportation of student Yashika Bageerathi''
Despite the widely supported campaign, Immigration Minister James Brokenshire told a Commons Home Affairs select committee yesterday Ms Bageerathi must be deported.
The Conservative said all the facts of the case involving Ms Bageerathi had been considered but were not deemed to be of the 'exceptional nature' required for intervention.
She was due to be deported on Mother’s Day but her removal was deferred.
Mr Brokenshire remained steadfast on the controversial decision despite pleas from fellow MPs to show 'compassion' as he appeared before the committee.
Her tearful mother Sowbhagyawatee Bageerathi appeared briefly before the committee with David Burrowes MP and headteacher of Oasis Academy Hadley, Lynne Dawes, breaking down as she told the committee: 'I saw her (on) Mother’s Day.'
Support: The case sparked a petition which attracted 175,000 signatures but Ms Bageerathi was detained
Support: The case sparked a petition which attracted 175,000 signatures but Ms Bageerathi was detained'
She called for the minister to free her daughter from Yarl’s Wood, adding 'it’s not a place for her, it’s a place that is cruel'.
Mr Burrowes, Tory MP for Enfield Southgate, had tweeted earlier today that Mr Brokenshire 'just replied to my reps and says he “can find no compelling and compassionate circumstances (in her case)'.
Mr Burrowes said the Home Office was in contact with the British Council, the UK's international organisation for educational opportunities and cultural relations, and told him Ms Bageerathi could complete her A-levels in Mauritius. 
He added the department said there were good universities in Mauritius for the student to attend.
But the MP said: 'Yashika needs to be able to finish with the support of her family and friends. The Home Office has ignored their own policy. 
Demonstrators gather in Parliament Square, London, to protest against the deportation of Yashika Bageerathi
Demonstrators gather in Parliament Square, London, to protest against the deportation of Yashika Bageerathi'
Students at Oasis Academy Hadley, in Enfield, demonstrate against the deportation of their friend Yashika Bageerathi
Students at Oasis Academy Hadley, in Enfield, demonstrate against the deportation of their friend Yashika Bageerathi
'As her headteacher said, 80 per cent are over 18 when they take A-levels. The guidelines apply to people taking A-levels.'
Mr Burrowes said the options to stop the deportation were limited unless the teenager's lawyers get a last-minute injunction to stop it.
He condemned today's actions as 'far from compassionate' and that it was 'compelling she should stay'.
Immigration Minister James Brokenshire told a Commons Home Affairs select committee yesterday Ms Bageerathi must be deported
Immigration Minister James Brokenshire told a Commons Home Affairs select committee yesterday Ms Bageerathi must be deported
But a Home Office spokeswoman disputed Mr Burrowes' claims and said guidelines regarding deportation after examinations apply only to under-18s taking GCSEs and A-levels.
She added: 'We consider every claim for asylum on its individual merits and in this case the applicant was not considered to be in need of protection. 
'The case has gone through the proper legal process and our decision has been supported by the courts on five separate occasions.'
Promising student Yashika came to the UK with her mother, sister and brother in 2011 to escape a relative who was physically abusive and claimed asylum last summer.
She was due to take her A-level exams next month, with the first on May 14 and the final one will be held on June 23.
The committee heard that her age means she is not protected by deportation rules that protect children sitting examinations.
But lawyers for Ms Bageerathi had hoped to make an application to the High Court today for the student to be given an interim period to stay in the UK to complete her A-levels, Ms Dawes said.
The headteacher said they were now trying to lobby support to stop tonight’s deportation and get 'the message as far as we can' that she should stay.
Ms Dawes said she had spoken to the student less than an hour before and that Ms Bageerathi was 'really upset and absolutely devastated'. 

TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM'

BY:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG