ALL WELCOME KWA JUMLA AU REJA REJA" ILA JUA BEI YA JUMALA SIYO SAWA NA BEI YA REJA REJA"
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Wednesday, 27 March 2013
PARISH OF OUR LADY AND SAINT JOSEPH 24/03/2013 ON PALM SUNDAY"
I Love this Church yani linanikumbusha sana kanisa letu kule Kilema 'Uchaggani" ambapo nilikuwa ninasali kila Jumapili na Shughuli zote kufanyikia hapo kwa full miaka kumi na tano"
Jumapili hii ilikuwa nikuomba tu" kwani nivema kabisa kuja hata kama kwa juma Pili moja kuja kujumuika na walimwengu kusali pamoja na kumuwaza Mungu kiundani na kivingine"
Maji ya Baraka Mlangoni,hutumiwa wakati unapoingia Kanisani na unapotoka "
Flora Lyimo akisali Rozari yake" Salam Maria umejaa Neema ,Bwana yuu nawe ,Umebarikiwa kuliko wanawake wote na Yesu mzao watumbo lako amebarikiwa"
Flora Lyimo a.k.a. Muke ya African King'Akisali Rozari yake"Maria Mtakatifu Mama wa Mungu ,utuombee sisi ni wakosefu 'sasa na saa ya kufa kwetu Amina"
Mbele ya Altare ya Bwana" Nitajongea Altare ya Bwana,na kumtolea sadaka ya shangwe"
Padri wetu akitoka Misa baada ya kumalizika" Neendeni na Amani" Tumshukuru Mungu"
Na usisahau kuisali Rozari yako na Kuiweka kwenye Beg lako ili unapokwenda popote inakuwa ipo nawe na kukulinda" kwani pia huo ndiyo Ufunguo wetu wakuingia Mbinguni~Mama Bikira Maria"
THE SNOW ON THE FLOWER " JIONEE VILIVYO UMBWA NA MUNGU"
Utazani ni Chumvi vile" au sukari nyeupe'Mbuta Nanja!
Mambo ya Mungu ndo haya..hutokea na kujilinda vyenywe"
By: Your Photographer Flora Lyimo"
EXCLUSIVE:MY WEDDING DRESS & VEIL DESIGN BY:FLORA LYIMO" MBUTA NANGA!!
Proud Flora Lyimo Fashion Police" my Hand-crochet wedding dress and veil "Mbuta Nanga"
The work of my Hand" Mbuta Nanga Flora Lyimo Knit &crochet wear "More to come !
The Handbag" Design by:Flora Lyimo"
ENJOY THE SONG " I LOVE IT WAKATI NAFANYA MY WORK AT HOME I LOVE TO GO WITH MY MOOD..SO MY MOOD SONG WHEN I WAS FINISHING MY CROCHET BRIDAL WEAR TODAY WAS HUU" Let Me know what you think of my Design " Thanks for your Support"
The work of my Hand" Mbuta Nanga Flora Lyimo Knit &crochet wear "More to come !
The Handbag" Design by:Flora Lyimo"
Tuesday, 26 March 2013
IN VIDEO FLORA LYIMO DESIGNER WA HOUSE OF FLORA " SHOW TIME FOR HER NEW BUTTERFLY PRINT HANDBAG!!
And for more of Flora Lyimo Design and Hot Trade go to her Facebook page" kupitia mwisho wa picha ifuatayo hapa chini"
| In Yellow and Red Butterfly!! |
IT WAS THE WEEK THAT MISSY TEMEKE OF KWETU FASHION DESIGN ALITINGISHA HILTON HOTEL ROCKVILLE MD KWA BIRTHDAY DINNER YAKE" KATA MGOMBA PATA NDIZI HASWAA!!
![]() |
| Wapendanao wa Ukweli MME NA MKE " IGA MAPOZI UTAJIRIKE 'MBUTA NANGA!! |
![]() |
| Waonyesheni waonyesheni jamani hapa nafasi hamna kapisaa" |
Suburi kwanza ,hujaona mambo shuka picha za chini fastaaaa!!
![]() |
| Mbuta Nanga" my Kitchen party lazima nikutafute Missy Temeke maana Mfundo huu si mchezo" |
The Msosiii,,sasa ndo nafanya kupost fastaaaaaaaaaaaa,,nasikiaje njaa" Kudadadeki patam hapa"
The Proud Kids " so happy on their Mama's Birthday dinner"
![]() |
| Chezea Wapendanao Kicheko cha Shemeji na Kaka letu la Ukweli kinasema yote" mwenye macho haambiwi tizama'Na hapa ndo kabisaa hamna nafasi" |
Sasa shuka chini kwa kula Cake" Birthday cake kwani huoni Imeandikwa ,Eti Hii siyo Cake ni Gauni la Miss Temeke",Mbuta Nanga"
![]() |
| Endelea kushuka chini ukijilamba Cakeeeee" |
Zuia mali yako Dada tena zuia kwa Mikono miwili haswaaa"Mbuta Nanga" I love it" and your one of those 10 top Flora Lyimo Fashion Police Tanzanian Stars that I love to post Picha zenu hapa" Full kucheka na kuzifurahiaje"Proud of you my Girl you do just like Hollywood do" wenye kuiga Igeni Mambo mazuri ndo haya" si mna macho na yanaona eee"kazi kwenu " katesa Leo na wewe hakikisha zamu yako ikifika ''tu''unatesa kwa kwenda mbele" na usisahau kunitumia picha zako" flo1974@btinternet.com
![]() |
| You did it Mume wangu I AM SO PROUD OF YOU" YOU KNOW ,,''I JUST WANT TO TAKE YOU HOME RIGHT NOW' 'Kweli Mke wangu " YESS BABY""Mbuta Nanga" |
Hapa ndo Cake yaanza kutiwa Kisu "ile Birthday cake maana kuna wale bado wanaishangaa siyo cake hiyo bwana ni Missy Temeke's Dress" Hahhahaa,I love to Blog na Vijimaneno vyangu jamani" Life is maji kupanda Mlima"Mbuta Nanga!!
Ohh,My HEART ......WAIT KIDOGO" Hahahhahaha"
Hhahahaa look at the kid on the right...what is your Mum and Dad doing?? Ohh,,not sure really!!
Ukiwa nae hakikisha Ulimwengu umejua Upo naee'safi sana!!
![]() |
| Hili pozi hili" mie sisemi" Nyota zangu mnaliona lakini" |
WIMBO HUU WA Cake ,cake cake'NA KAMA HUJATOSHEKA KAMTEMBELEE Miss Temeke She is in FACEBOOK MISSY TEMEKE (KIMORA LEE) Wahi usichelewe nami nitakukuta huko huko"
Missy Temeke wa kwetu Fashion Design 'Wimbo huu post here kwa ajili yako leo Much love From >FLFP na NYOTA ZANGU"
Subscribe to:
Posts (Atom)


























