KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 24 June 2011

* YOU BEEN SNAP * HABARI ZA MSIBA..KIFO KWELI HAKINA HURUMA" R.I.P. AMEN"


MSIBA LEICESTER UK...!!!

Marehemu Edgar enzi za uhai wake
Ndugu, Jamaa, na Marafiki, Watanzania wote;Kwa masikitiko makubwa tunawataarifu ya kwamba, tumepokea habari za msiba wa mwenzetu EDGAR KILEKE (KAKA DICK). Msiba umetokea leo huko Leicester Uingereza. Marehemu Edgar amefariki baada ya kuugua cancer ya Ini.
Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kueleke anyumbani kwa mazishi inafanyika. Tunawaomba wote, kwa moyo wa upendo na utoaji, tusaidiane ili tukamilishe maandalizi haya na mwenzetu ili aweze kwenda kupumzishwa kwenye makao yake ya milele huko nyumbani Tanzania. Tunatanguliza shukurani za dhati kwa michango yenu.



Wanaoweza kuwatembelea wafiwa na kutoa pole mnakaribishwa na msiba upo kwenye address hapo chini:



89 Stevenson Drive

LE3 9AD

Leicester



Kwa maelezo ya ziada wasiliana na:



Asaa Ali 07951644936 au Fauzia Musa 07943962628



Kama hutaweza kufika Leicester, unaweza kutuma mchango wako kwa:



A A KAKOZI

Account Number: 85065992

Sort Code: 09-01-27

Bank: Santander


Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe.
Asanteni.


R.I.P EDGAR!!

No comments:

Post a Comment