| aa, eti nani atanipikia na kunifulia nguo zangu sasa,uwii"Pole sana dear, ila ndo kuolewa hivyo , usilie sana,hajafa mwenzio" |
| alojishindia mke, bibi harusi mwaonaje Kiatu hichoo" |
| Ndugu ,jamaa na marafiki wakishangaa mbona bi harusi alia sana kwa masikitiko makubwa gafla" |
| Kids walikuwa na furaha kuingia ndani ya Limo.wengi wao hawajawahi kuiona, licha yakuingia ndani" |
| The happy Bwana Harusi " ndani ya Limo tiyari kumchukua Mke wake nyumbani " this time for GOOD" |
| Kiatu cha Bwana Harusi ,si mchezo "mwakiona lakini Wadau" |
| BWANA NA BIBI HARUSI..full kuhuzunika Mdada wa watu" pole sana,kuolewa ndo hivyo , ila I HOPE HUKULAZIMISHWA KUOLEWA ,ULIPENDA MWENYEWE" |
| LIMO tiyari kuwapeleka Maharusi Kula ndafu na mengineo sisemi"" |
No comments:
Post a Comment