| HAPPY BIRTHDAY CUTE BABY ABU" GOD BLESS YOU ALWAYS,KISS KISS ! |
| BABA AKIMLISHA MWANAE CAKE " LOVELY ,THANKS DAD" |
| SI MCHEZO ,HII MISOSI YA NGUVU ..KARIBUNI NYOTE , FUTARI'S" |
| MISOSI YA NGUVU YA KILA AINA, BILA KUSAHAU , UJI'S" |
| I LOVE THE CAKE NA RANGI ZAKE" |
| MAMA WADOGO WAKIONYESHA MAPENZI YAO " |
| WATOTO WENZAKE WAKISHUHUDIA CAKE ,KABLA YA KUTATWA" |
| HAHHAHAHAAA, HAYA NIMEKUPATA MY DEAR"" |
| WATOTO WAKIFURAHI SWEET BAGS ZAO" |
| FAMILY IKIWAKILISHA KWA KUPIGA PICHA YA PAMOJA NA BIRTHDAY BOY ! |
| ZAWADI ZILIKUWA NYINGI MPAKA WIVU ULIPANDA NA KUSHUKA" MTOTO MWENZIE ATOA ZAWADI YAKE, ILA BABY ABU , YEYE MACHO YAKE YOTE YAPO KWENYE CAKE.. WHO DONT LIKE THERE BIRTHDAY CAKE" |
| ANGALIENI ZAWADI MOJA WAPO YA BABY ABU" HATA MIMI NATAKA KAMA HILI ON MY BIRTHDAY " |
| HOW LOVELY ,, MTOTO MWENZIE AKIPELEKA ZAWADI YAKE" |
| TAYARI KUENDESHA ,, ZAWADI YAKE YA NGUVU KUTOKA KWA MAMA NA BABA YAKE " |
| HAHAHAA, WHERE IS MY CAKE MAMA! BABY ABU > ABAKIA AKIJUULIZA CAKE IMEENDA WAPI GAFLA, BAADA YAKUPELEKWA KUANDALIWA KWA KILA MMOJA KUPATA KIPANDE" |
| THE HUG OF LOVE ..LOVE YOU LOTS HUN.GOD BLESS PENDO LETU LISIJE KUSINYAA KAMWE" |
| SO CUTE , BLESS YOU MY DEARS. |
| MTAJUAJE NILIKUWA NI MEVAA VIATU, MMEVIONA LAKINI !! |
No comments:
Post a Comment