KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 12 September 2011

* YOU BEEN SNAP* kupiga picha nnje ya Hotel, ALBUM (2) YA MISS FB " aka " FLORA BAHATI LYIMO WEEKEND HOLIDAY & TECLA CHITAMBO WEDDING DAY 10-09-2011" IN WALES" KATA MGOMBA PATA NDIZI HASWAA"WASOKUWEPO NA LAO HALIPO"

EXCLUSIVE- THE WORK OF MY CAMERA BY MISS FB"
Tuwapigieni vigelegele wadau ,hawa ndo MR & MRS Capener WAULAYA"
"PENDEZA SANA MY DEARS"

MR CHITAMBO & MISS FB" nimempenda sana Teclas dad, anafanana sana na my dad. R.I.P. MISS FB DAD"MR LYIMO"

kuanzia kushoto. MRS LIBE , MAMA TECLA & MISS FB"






Happy people wakionyesha mapenzi yao"

SO LOVELY MTU NA WAZAZI WAKE WAPYA"









Happy people na mapoz yetu ,lazima maua ya bebwe kiharusi ndo maanake "yani nakumbuka uchagani kwetu ,mtu anapoolewa tunavyopamba na kumrushia maua bibi na bwana harusi, alafu bila kusahau kutaniwa, (kutukamnwa) yani mpaka unakoma kuowa au kuolewa, but this days hawafanyi tena wanafanya NDAFU"
"mbuzi akila majani yake na mbege kwa wingi..
"MBUTA NANGA" 


Happy MR & MRS.pichani ni dada yake
" Mr Capener & Mme wake"

looking so lovely na rangi zake !love the dress"


happy people ,chezea nyieeee!!


happy people tukipoz na kujichanganya ,now we are one family "
Tecla wifi na mme wake" kati pichani"

Miss FB akibuni mapoz yake , ndo manake , mpaka chini"

udongo ulolowa ulitutesaje ? full kuharibu viatu !! ila ndo manake full raha"








Miss FB ,mapoz ya kwenye kuni ,si mchezo ,
"wish you were in my mind ,dont you"




Miss FB na mapoz yake ya kitandani ndani ya my hotel room.
"dont you wish "

mapoz ya kitandani ni nomaa" MRS LIBE mwenyewe"

happy MAMA & BABA wakimrushia maua mwanae mpenzi na Mme wake"


happy Family ya pande zote ,imekamilika"


Mapoz ya viatuuuuu""



THIS IS IT" happy people walofika bila kujali umbali na kuonyesha mapenzi yao kwa TECLA & CHRIS,
IS always nice to LOVE AND BELOVED. ni muhim sana kukuwepo na kuwa na wenzetu kwa wakati wa shida na raha, maisha ni mafupi, do it now kabla hujafa, usije ukasema hujapewa ruksa , ni ruksa kufanya yote uwezayo;
; TODAY AND NOT TOMORROW;,
ANYWAY ,WHAT A LOVELY WEDDING " TULI ENJOY SANA NA  MIMI MISS FB ,NAWATAKIENI
 "MR & MRS CAPENER "
ALL THE BEST KATIKA MAISHA YENU YA NDOA"

No comments:

Post a Comment