EXCLUSIVE BY MISS FB"
SWALI KWA VIONGOZI WETU TANZANIA & ZANZIBAR, MPAKA SASA NAFIKIRI WAMESHATAMBUA KISA NA MKASA WA AJALI HIYO YA KUZAMA KWA MELI YA SPICE ISLAND * ( 1) kama ni kweli ilizama kwa kusababishwa na ujazaji wa ABIRIA? serekali hizo hazina kiwango na mwiko kwa kadiri ya uzito na kiasi cha abiria kubebwa kwa meli hiyo na vile vile vyombo vyote vya kusafirishia wananchi ?.
(2) je vyombo hivyo huwa vyakaguliwa mara kwa mara na( BILA HONGO ) kuhakikisha kwamba vipo katika hali ya usalama kwa manufaa ya wananchi ?.
( 3) kama ni kweli MELI HIYO ILICHUKUA MUDA WA MASAA MASABA ,7 GOOD HOURS KUZAMA? JE HAMNA VYOMBA VYA KUOKOA WATU HARAKA VILIVYOPO TAYARI KWA AJILI YA AJALI MBAYA KAMA HIYO?
na kama vipo nikwanini vikachukua masaa yote hayo kwa kufika na kuwaokoa hao wananchi wenzetu ? mimi kama hayo yote niliyoyaandika hapa ni yakweli kama nilivyoyasoma kwa watu wengi wenye hasira na vile vile kwenye baadhi ya vyombo vya habari , BASI HAO MARAISI WETU, HUU NDO MUDA WAKUTUAMBIA SISI WANANCHI TULIWACHAGUENI KUTUFANYIA NINI ,NA VILE VILE KUTUONGOZA VIPI ? NI AIBU KUBWA SANA KUONA WENZETU WANAKUFA KWA VIFO AMBAVYO VINGEWEZA KUZUILIWA.
WANACHI WOTE NI WAKATI WETU WAKUTO KUOGOPA KUULIZA MASWALI YETU NOW.MAANA HAKUNA NINACHOKIONA KINAENDELEA HUKO TANZANIA/ZANZIBAR .INGAWA NIPO UK ,SIYO ETI YAKWAMBA SIWAZINGATII WANACHI WENZANGU NA VILE VILE FAMILIA YANGU NA NCHI YANGU TANZANIA. NAIPENDA SANA NA NAPENDA KUWE NA MAENDELEO ,YASOKUWA YA KIZEMBE.
KAMA MARAISI WAMESHINDWA KAZI YAO .BASI WATUACHIE WANANCHI .ILI KIELEWEKE .ANYWAY NI HAYO TU KABLA SIJALALA NA KUWAOMBEA HAO NDUGU ZETU . NA KAMA UNA MAONI YAKO PIA MDAU YATOE HAPA ,WACHA COMMENT YAKO NA NITAIWEKA, MAANA HII BLOG,NA NET ZOTE " MARAIS NA VIONGOZI WOTE WAPENDE WASIPENDE HABARI WANAZIPATA NA KAMA SIYO KUZISOMA WENYEWE ,BASI KUAMBIWA ,JAPO KIMNYA KIMNYA"
R.I.P. HAPPY PEOPLE " AND GOD BLESS THE WORLD .AMEN"
chaggas>"RUWA LUIKANIE SHIWANA SHAPFO MBEE!
No comments:
Post a Comment