Miss FB-kikazi zaidi ,yani kwa kweli ukiwa umejipanga hakuna kitakacho haribika .labda kiwe hakijabarikiwa"nami kwa kujipanga ndo my DNA"
NOW THEN "
machache kuhusu the poppy and why tumezivaa na tunazivaa kila mwaka.for life"HASA HAPA UK -LONDON "
WEAR POPPY SHOW YOUR GRATITUDE, why the red poppy ?
OK. the flowears brilliant red colour symbolizes the blood which was shed by many during World war 1 and ones war ended ,the barren fields and Soldiers graves ( in Flanders,France ) be come field's of Crimson Flowear's.
NA inapofika saa.time:11.day 11.month .11 kila mwaka,ndo makumbusho na sherehe muhim hufanyika kama nikufika makaburini na kuwaombea kamisa au kuweka mau kwa walotupigania kwa mambo mengi .huu ndo wakati wake. na hiyo siku ndo walitangaza kumalizika kwa mapigano hayo. WHICH COME TO AN END NOVEMBER 1918 R.I.P. WAPENZI " HAMTOKAA MSAHAULIKE .
AMEN" |
No comments:
Post a Comment