The Xmas wanted zawadi. Red hand-knit "Pear hat" |
MISS FB -FLORA BAHATI the DESIGNER HERSELF .
Hayo ndo mambo yangu nayoyafanya right now nipo on my sofa nipo busy na SCARFS ZA UHURU WA TANZANIA ON 10-12-2011. NITAKUWA NAWAPA BURE KWA WALE WATAKAO FIKA BAADA YANGU ..KWASABABU NITAZITOA MWENYEWE..(POLENI) SIYO NYINGI ZIPO CHACHE WILL GIVE THEM OUT KWA LISAA LIMOJA.SO UKIFIKA KWA MUDA HUO ,UTAJISHINDIA FLORA LYIMO KNITWEAR.
TANZANIAN SCARF.
SEE YOU THERE AND GOD BLESS TANZANIA NA WATU WAKE NA VILE VILE VITU VYOTE VINAVYOISHI NJE AU NDANI YAKE.
KWA MAELEZO ZAIDI KUNIHUSU >TEL: 07787471024.EMAIL: flo1974@btinternet.com
AMEN. RUWA AIKA MBEE!!
No comments:
Post a Comment