Ali Kiba akiitangaza scarf hii na ipo kwa niaba gani" WELDONE TO MISS FB FLORA BAHATI LYIMO (DESIGNER) |
Huyu ni mwenzetu Mkenya ambaye nae alijinunulia scarf hii and proud with the work of my hands and IM SO SO PROUD KWA MCHANGO WAKE" |
PROUD NDUGU ZETU NA WADOGO ZANGU " THANKS SO MUCH FOR YOUR LOVE & SUPPORT" UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU "NAWAPENDAJE! |
wanyosheee..waeleweeeeeeeee!! hahahaa.nice one mann" |
ALI KIBA akiwaambia wadau kuhusu scarf hii ..inunue kwa ajili ya kuwasaidia ndugu zetu waloadhiriwa na mafuriko Dar Es Salam. sasa huyo kijana pichani na Ali Kiba ni Mkenya ,na alikuwa hajui Bendera ya Tanzania ina rangi zipi na ngapi. basi aliinunua scarf hiyo na vile vile nikamuelezea Bendera yetu INA RANGI NNE .NAZO .NI BLUU, NYEUSI ,MANJANO NA KIJANI. na rangi hizi zina maana yake kubwa sana kwetu sisi Watanzania. > NYEUSI YATUWAKILISHA SISI , BLUU >MAJI , MANJANO >MADINI .KIJANI >MIMEA. yani he was so happy kuyasikiana kuelewa Bendera yetu na rangi zake" nilipomuuliza kuhusu ya kwao .he was like .aaaaa!!sijui " But mpigieni mpongezeni kwa msaada wake jamani .Mungu ambariki na awabariki wote walochangia na wanaozidi kuchangia .this CHARITY .THE YOUTH FAUNDATION " Email. progresstheyouth@gmail.com Tel: +255712328862 BANK DQA-00002319 POSTAL BANK TPB BARUA P.O BOX 10768 UPANGA EAST,SEA VIEW ,RUHINDA STREET PLOT NO:2109/5003 DAE ES SALAM TANZANIA |
No comments:
Post a Comment