KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 26 December 2011

* YOU BEEN SNAP BLOG * (ALBUM 1) OF THE FAKE -FARIDA MATATA XMAS EVE PARTY 24-12-2011. NILIENJOY KWA HELA ZANGU MWENYEWE ,MNAONIJUA YOU KNOW HOW I DO IT" FULL STORY SOON "KAENI MKAO WAKUCHEKA WADAU "ILA NI AIBU MNO .TO FAKE THINGS LIKE SHE DID"

FARIDA MATATA (mwenye hii shughuli ya KI FAKE ) & MISS FB -MWENYE KUTAKA WATANZANIA KUWA KWENYE MISTARI YA MBELE NA 100%FULL KUWAPEPERUSHIENI MISHAPO NA PICHA ZA UKWEEE.



THE £60 CHAMPAGNE ..AND CHUPA MBILI ON MISS FB -FLORA  BAHATI LYIMO.
KWA RAHA ZANGU ,RAHA NAJIPA MWENYEWE NA SITEGEMEI MTU WALA VYA BUREE."ILA VIKIWEPO KWANGU NI TOP UP"









FAB -10/10












MISS FB-aka THE LADY GAGA OF TANZANIA.. FULL KUJIACHIA NA NILIENJOY SANA,
YOTE KWA AJILI YANGU MWENYEWE"
NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIONYESHA HII SIKU YA XMAS EVE.KUNA WENGI SANA AMBAO HAWAKUWEZA KUIONA.SO EVERYDAY NAISHI KAMA NDO MWISHO WA DUNIA"
NANYI IGENI WADAU .MAISHA NI MAFUPI SANA SIKU IZI.NA DHANI MNAYAONA"
STAY BLESS NA KARIBU KUSOMA FULL STORY YA HII FAKE XMAS EVE PARTY ILOANDALIWA NA FARIDA (FASHION )MATATA"
WHAT A DISAPPOINT KWA WATANZANIA WAISHIO LONDON AGAIN ??

9 comments:

  1. Kweli Flo, watu wanapenda mambo makubwa pesa zenyewe hawana. Na utakuta wanachuki sana na watu wenye pesa zao. Yote haya ni donge tuu kuona dolla anafanya. nyoooooo hawa matata ni maloser kama huna habari huyo mama matata kafanya harusi MJINI chakula ovyoo alafu cha baridii na wine lambrini nyumba zao chafuuuuuuu kwa mamii ndio usipime. mapoda na malipstick ndani kunanukaa oyoooooo wasikushughulishe hao flora dear

    ReplyDelete
  2. big up miss fb ,you are our tanzania super star .

    ReplyDelete
  3. labda zaomba ndio kapendeza angeshinda yeye bwahahahahahaha

    ReplyDelete
  4. wooow mbona lisa kanenepa hivyo kama tembo au mimba hiyo?

    ReplyDelete
  5. haya sasa hyo mamii anasema huko facebook kuwa watu wanamuonea uwivu wakuonee uwivu kwa lipi hasa? mtu mwenyewe mfupiii mneneeee mweusiiii huna kazi ya maana mmachinga tuu wewe muuza nguo huna hata mwanaume wa maana kazi wanaijeria kwa lipi hasa?

    ReplyDelete
  6. hii another utamu usipoangalia Flo itafungwablog yako nzuri watu wasitumie hii blog takatifu kutukania wakitaka wafungue yao kwa mambo hayo

    ReplyDelete
  7. ANONYMOUS OF 14:27
    shaka ondoa HAIWEZIKUWA KAMA UTAMU ..HAPA NI KWA AJILI YA WALE WANAWAKE WANAOINGIA VYOO VYA KIUME NA WANAUME KUINGIA VYOO VYA WANAWAKE"..NA WALE WANAO WADHULUM WATANZANIA KWA PARTY FAKE ZAO.....LA SIVYO WEWE USHAONA WATU WANGAPI WAMETUKANWA HUM ? NIMESHAWEKA PICHA ZA WATU WENGI SANA HUM NA NAWEZA NIKAKUHESABIA NILOWARUHUSU KUTUKANWA AU KUPEWA UKWELI WAO...SO THIS WILL NEVER BE LIKE UTAMU ..SITOIRUHUSU ANYWAY... UNAKUMBUKA MAPICHA YA ZEUTAM, MAMAAA YANI SI MCHEZO MIE SINA ROHO HIYO YA KINYAMA KUWEKA MIUCHI YA WATU KAMA WALIVYOKUWA WANAWEKWA !! ILA WAKILETA UFAKE WAO ..MIE NAO ..MPAKA WAJULIKANE..AU VIP..THANKS NA KARIBU SANA...

    ReplyDelete
  8. ALAFU LINGINE NI KWAMBA ,KUNA WATU WANA MTUKANA TITI NA ZAOMBA..NA SIZIWEKI COMMENT HIZO ,,KWANI HAZIHUUU HAPA KABISAAA..KAMA WANAMAUGOMVI NAO WAKAWAFUNGULIE BLOG AU WAKAWATUKANIE PENGINE...THEY HAVE NOTHING TO DO WITH THIS FAKE PARTY OF AUNT FARIDA MATATA....SO COMMENT ZOTE ZINATAKIWA KUMHUSI YEYE NA HUYO MTOTO WAKE LISA NAZIRUHUSU COMENT MAANA KANIPIGIA SIM NAKUJIFANYA MJANJA ..MAUWONGO CHUNGU NZIMA...KABLA HAJAJA KUNIDANGANYA ,ANGELIMUULIZA MAMA YAKE NA (MARIA KIMANZI ) ALINIAMBIAJE KUMUHUSU KWANZA...MAMA AMSEMA MABAYA NAE AJARIBU KUSEMA MAMA NAMPENDA..WAMPENDA KWA LIPI HUKU WAMKIMBIA HATA AIBU HUONI ..LISA PLS ..NAKUOMBA ,USINIWASHE NIKIWASHIKA SIZIMIKI HATA KWA KITU GANI ""

    ReplyDelete
  9. Anonymous of 19:02. una bahati hii comment yako imenifikia ikiwa peke yake..kwa hiyo nimeweza kuisoma.. CHA KWANZA KABISA..HEBU JISOME HAPO..MAANA MIMI SIJAKUELEWA KABISA..wamzungumzia nani ?? MIMI SIJASEMA NIME IBIWA GARI ..NIMESEMA NIMEMETAPELIWA HAKI YANGU ...NA KAMA KUNA MWENGINE ALALISHINDA HILO GALI ..AMUWEKE UWAZI KALISHINDA NA KALISHINDA KWA NGUO IPI ?? NA ON TOP OF THAT ..SHE TOLD ME HERSELF THAT I WAS THE WINNER....SO usisikize maneno ya kuambiwa na watu ...uliza walokuwepo au ona picha za walokuwepo na MAVAAZI YAO ..GAUNI NZURI LA KUWA MSHINDI...UPOOO..HAPO ??

    ReplyDelete