MY XMAS MESSAGE:
KWANZA KABISA .
Napenda kumshukuru Mungu kwa miaka yote alonipa mpaka na mwaka huu ,kwani kuna wengi ambao hawakuweza kuiona siku ya leo .
GOD I LOVE YOU .YOU ARE MY EVERYTHING"
PILI
Napenda kuwa shukuru NDUGU ZANGU WOTE WAKIWA HAPO KILEMA MOSHI TANZANIA NA MAMA YANGU MPENDWA AUGUSTINA .I LOVE YOU MAMA ,MORE THAN ANYTHING . & TO MY DAD BASILEI NA MY DEAR KAKA JOSEPH MSAWARO (KANJE) NA WALE WOTE WALOKWISHA AGA DUNIA HII"WE MISS YOU WITH ALL YOUR THING YOU EVER DONE ,GOOD OR BAD. R.I.P AMEN
TATU
Napenda kuwapongeza Wadau wangu wote wa BLOG YANGU HII .YOU BEEN SNAP BLOG OF THE YEAR JANUARY 2011. na FACEBOOK . KAMA SIYO NYIE BLOG HII ISINGEKUWA YAJULIKANA NA VILE VILE KUWA NA MILLIONS OF WADAU SEHEM MBALI MBALI ZA ULIMWENGU HUU. YOTE MYAONAYO NI YA UKWELI NA KWASABABU BINADAM WA KILEO NI YULE MSEMA KWELI NA MPENDA YA UKWELI ,NITAZIDI KUWAPEPERUSHIENI MAPICHA NA MISHAPO YA UKWELI MTUPU TU. ASANTENI SANA NA MUNGU AZIDI KUTUBARIKI PENDO LETU LIDUM MILELE .AMEN"
NNE
Napenda kuwaambia wale wote wenye chuki na ugonjwa wakutokunipenda au kutokuwapenda watu na mashughuli yao . TUOMBEANA MUNGU ILI MWAKANI AWEZE KUWAONDOLEA UGONJWA HUO NA TUPENDANE ,TUSAMEHEANE ,KAMA VILE MIMI NIMESHAWASAMEHE NA KUENDELEA KUWAPENDA ZAIDI.
GOD BLESS YOU ALWAYS. YES HE CAN "
TANO
Na penda kuwaambia wale wote walopatwa na mafuriko huko Dar er saalam ,msijali hamko peke yenu na mpaka sasa hivi nimeshajitahidi kupata £153 pound na zitawafikieni msiwe na wasi wasi , na pia wale WAGONJWA WOTE NA WAOMBEA MUNGU AWAPONYE .KWANI HAKUNA KAMA MUNGU.
Ni hayo tu mkutoka kwangu ,ONES AGAIN ASANTENI SANA WADAU WOTE NA WANABLOGGER WOTE ,WANAVYOMBO WOTE VYA KURUSHA MISHAPO YA UKWELI .PAMOJA MY DEARS.
HAPPY XMAS HAPPY NEW YEAR . TUFURAHI KATIKA BWANA ,NA TUSALINI ROZARI KILA SIKU NA KUZIBABA POPOTE PALE.
LOVE YOU WOTE SANAA.
RUWA MANGI "
No comments:
Post a Comment