Rais akiongea na waadhirika wa mafuriko hayo waliohifhadhiwa kwenye shule ya msingi ya Mchikichini. |
Hapa wakaaji wakipiga makofi na kufurahia kwa kuahidiwa misaada pamoja na maeneo mapya ya makazi! |
Poleni sana.Hapa angalia pichani chini kabisa kuna mtoto hapo hana ham kabisa kajilalia weee.." |
Rais akisalimiana na waathirika " |
Chasikitisha mno..wenzetu hapa bado wapo kwenye mapaa katika eneo la Bonde la mto wa Msimbazi maeneo ya Jangwani" |
karibu chakula Rais ..asante dada ,naona chakula kitam hichi ILA NAOMBA CHAKWANGU WAONGEZEE WALIOKUMBWA NA MAFURIKO HAYA" |
Dada utanifanya nile hiki chakula wakati ni cha walokumbwa na mafuriko haya. SAFI SANA . VYAKULA HIVI VILIKAGULIWA NA RAIS KIKWETE. |
No comments:
Post a Comment