KUDADADEKI AISEE ..NIMEJUTA KUINGIA KWA WALL YA WINNIE KALINGA NOW MAREHEM.!!
YANI NILIKUWA NAENDA OUT MIGUU YOTE IMELEGEA ..MACHOZI YANANITOKA .IKABIDI NICHUKUE ROZARI NA KUANZA KUMSALIA...
YANI KINASIKITISHA SANA KIFO CHAKE NA ALIVYO UP DATE HER STATUS YAKE . KWAMBA ..oh Lord nitie nguvu Im so afraid I dont know what will happen to me today .Friends I need ur prayers.
SHE WAS NOT MY FRIEND. BUT NOW I WANT TO BE MORE THAN A FRIEND TO HER.. BY DOING SOMETHING " ALL IM ASKING IS ALL HER FAMILY AND WALE MARAFIKI ZAKE.SHE NOW HAVE 419 FRIENDS" TUUNGANE TUMFANYIE KITU CHA UKUMBUSHO WAKE..I THINK TUNAWEZA KUCHANGIA NA KUPATA KINA MAMA CLINIC ..HOSPITAL BORA KWA AJILI YA KINA MAMA WAJAWAZITO KUJIFUNZIA AU KUJIFUNGULIA" MIMI NITAANZA NA POUND £100.00. KWA MAELEZO ZAIDI NA KAMA UNATAKA KUSHIRIKI PLS NIJULISHE KWA SIM .07787471024 EMAEL: flo1974@btinternet.com KWANI NAONA COMMENTS TUPU HAZITOREKEBISHA AU KUWAREGESHA WOTE WANAOFARIKI KWA KUTOKUPATA MATIBABU AU MAELEZO BORA"WANAPO KUWA WAJAWAZITO AU KUJIFUNGUA.GOD BLESS ,AND PLS WATANZANIA TUWENI PAMOJA ,TUPENDANE ZAIDI,UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU "AND R.I.P. WINNIE KALINGA.AMEN" RUWA NAIYO UKUICHIE"
"WADAU NA NDUGU ZANGU WATANZANIA habari nilizozipata jumapili ya leo 04-12-2011 za kilichosababisha kifo cha MPENDWA WETU WINNIE KALINGA NI KAMA ILIVYO HAPA : INAVYOSEMEKANA NI KWAMBA MAREHEM NOW> Winnie Alifariki a day after
delivery..NA haya maneno yanatoka kwa Mdau hataki kutajwa jina"na HIVI NDIVYO ALIVYOTUAMBIA . MIMI BINAUSI NI MPAKA NIPATA YALOANDIKWA NA MADAKTARI KUHUSU KIFO CHAKE NDO NITAWEZA KUWEKA SAINI NA MIMI" BUT YAH .SO SAD IN ANYHOW"
What happened is. She was two weeks past her due date,so on saturday.
alienda graduation ya mtoto wake,na Sunday ndio akaenda hospital kuwa
enduced..Unfortunately,ali popewa dawa ya uchungu hakusikia kabisa
uchungu,ikabidi dawa iongezwe,still uchungu hakuusikia..Akapewa drip ya
uchungu,nayo haikuwa successful..Ikabidi apewe epidural,na kufanyiwa
c-section.Still during the entire surgery alikua anasikia maumivu..Ganzi
ikaongezwa,napo haikusaidia kihivyo,coz alisikia maumivu still..Baada ya surgery
aliongea na rafiki zake akawaambia ana maumivu makali sana..Alifariki on
monday...Rafiki zake hao wa karibu,wanasema Doctors waliwaambia cause of her
death ni blood clotting..Damu iliganda ikaenda kuziba mishipa kwenye moyo..MAY
THE SOUL OF THIS GORGEOUS LADY REST IN PEACE..Amen
"WADAU NA NDUGU ZANGU WATANZANIA habari nilizozipata jumapili ya leo 04-12-2011 za kilichosababisha kifo cha MPENDWA WETU WINNIE KALINGA NI KAMA ILIVYO HAPA : INAVYOSEMEKANA NI KWAMBA MAREHEM NOW> Winnie Alifariki a day after
delivery..NA haya maneno yanatoka kwa Mdau hataki kutajwa jina"na HIVI NDIVYO ALIVYOTUAMBIA . MIMI BINAUSI NI MPAKA NIPATA YALOANDIKWA NA MADAKTARI KUHUSU KIFO CHAKE NDO NITAWEZA KUWEKA SAINI NA MIMI" BUT YAH .SO SAD IN ANYHOW"
What happened is. She was two weeks past her due date,so on saturday.
alienda graduation ya mtoto wake,na Sunday ndio akaenda hospital kuwa
enduced..Unfortunately,ali
uchungu,ikabidi dawa iongezwe,still uchungu hakuusikia..Akapewa drip ya
uchungu,nayo haikuwa successful..Ikabidi apewe epidural,na kufanyiwa
c-section.Still during the entire surgery alikua anasikia maumivu..Ganzi
ikaongezwa,napo haikusaidia kihivyo,coz alisikia maumivu still..Baada ya surgery
aliongea na rafiki zake akawaambia ana maumivu makali sana..Alifariki on
monday...Rafiki zake hao wa karibu,wanasema Doctors waliwaambia cause of her
death ni blood clotting..Damu iliganda ikaenda kuziba mishipa kwenye moyo..MAY
THE SOUL OF THIS GORGEOUS LADY REST IN PEACE..Amen
No comments:
Post a Comment