*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO*
|
Gorgeous Kerry with her cute Brother" |
|
Kerry's shoes so pretty ,nimevipenda sana na vyanikumbusha wakati wangu wakupokea komunyo ,yani nilipokea na kiatu changu cha kimoka nilicholetewa kutoka Dar na Dada yangu mkubwa Blandina",aniguse nani .hahahhaaa,jamani mwakumbuka VIMOKA! NA MACHACHACHA kutoka kenye" |
|
The blessing cake! |
Watoto walokomunyika wakipigwa picha ya pamoja huku wakijiandaa kuikata cake yao "
Bora huku Ulaya kanisani wanawapa cake ,kule Moshi Kilema sijawahi kuona yani mnatoka kanisani na njaa zenu mkikimbilia nyumbani kwa aliye wakwanza kula kwake katika kundi lenu mlojichagua kusherekea pamoja siku hiyo"Kwani sisi tulikuwa tunajichagua kimakundi basi tulikuwa tunajichagua wale wenye uwezo uwezo "Ama kweli yawezakuwa (dhambi) kwani wale wenyeuwezo kwao ndo tulikuwa tunajichagua tukijua huko tutakula ,kunywa masoda na kuzawadiwa kwa hali ya juu"nakumba miaka ya 80 ndiyo mimi nilipata komunyo ya kwanza na tulikuwa kundi la watoto 6 yani tulikula mpaka tukataapika ,tukachangiwa mahela bila kusahau soda,yani unapata soda siku hiyo mpaka unatamani siku zigandee,uendelee kunywa soda tu,si mwajua enzi zile kupata soda kwa watoto vijijini ni kama ndoto "
|
So Pretty Christina Malongo" jamani kapendezaje.siamini vile nilivyokumbuka wakati wangu wakukomunyika na kupokea kipaimara,yani naandika hapa najiona kabisa vile tulivyokuwa tunasimama kanisani pale Kilema Parokeani na kupiga mapicha kibao huku tukiimba nyimba za Bikira Maria tukiingia kanisani" wimbo" Tumsifu mwanao Yesu Maria ,asamehe makosa yetu ,atuondoe mashaka yote Maria" yaliyomo moyoni mwetu" x2 |
|
The prettys of Mr Malongo " alokomunyika Christina na dada yake mkubwa Cherelle" |
thanks for wishing kerry well on her day x
ReplyDeletethanks for wishing kerry well on her day x
ReplyDeleteYour welcome my dear..stay bless always xx
ReplyDelete