The mama to be " kwa Rangi zake kazipangiliaje si mchezo na zimekolea fresh of English summer" |
Hapa picha ya pamoja ili kumpata au kuwapata walofika kuchafua shughuli hii" haya kaeni mkao wakuletewa ambao hawakufaham nini maana ya Dress code hii.SUMMER COLOURS" |
Dada yetu hapa wa mbele ,chezea yeye,,yani hapa alijiachia mpaka hata siri zake za ndani alizimwaga uwanjani ..ngoma ilikuwa imenogaa"...CHAI ILIKOLEAJE SUKARI" |
Cake yenyewe on point inasema SUMMER COLOURS!! |
Kama mwakumbuka huko nyuma Miss FB Fashion Police niliwahi kuwaambieni wakati unapokwenda kuchafua shughuli za watu yani kutokuvaa dress code hiyo ,usipige picha ya pamoja na walovaa dress code hizo maana utakuwa unawakatia mstari wao ulonyoooka" ona sasa hapa kwenye picha hii...SEMENI YENU WADAU " HAKUNA MATUSI LAKINI ..HAPA SIYO KUMTUKANA MTU ,BALI KUELIMISHANA KIMAVAAZI KWENYE SHUGHULI ZA WATU ZENYE DRESS CODE"
!!COMING SOON JUBILEE BABY SHOWER IN LONDON!!
heheee,leo umetuletea jg, wewe kiboko miss fb , mimi ushauri wangu wa bure kwake ni hayo minyole yake ambayo anaganda nayo kama utazani gundi walomuwekea nayo imegoma kutoka nyooo,
ReplyDeleteflora jubilee baby shower ni ya nani hatualikani ....na watu ndo wavaeje,mimi nasubiria picha mama wa fashion police, na huyo jestina jamani kwani hizo hair zake hajiangalii kwenye kiyoo,.mwenyewe zimemchokesha "
ReplyDeleteuwiii yamekuwa haya ,kweli wabongo ndo maana hatuendelei ,mtu unaalikwa shughuli za watu alafu unataka iwi kivyako vyako ,si ufanye yako au kaa nyumbani usubirie wanao wakue nawe uwafanyie harusi ...nimewaimnd sana hao walokuja kukupa umbea huu flora"
ReplyDeletejestina g,badilisha nywele angalia wenzio kila wiki wame look fab sasa wewe mama iman tukuelewe vip in fashion ? you realy look old with that hair"
ReplyDeletenice, hongera ray, all the best for new babe
ReplyDeleteby faridah gullam