Hapa ni mambo ya vichwani zaidi mwaona tunavyowakilisha lakini " Rose Kiando (kulia) kapendezaje na kofia!! |
Hapa soma Kofia yasema yote!! |
Hapa tupo tayari kabisaaaa ni wewe tu uje na hela yako!! |
Kuanzia kushoto ni Our Lady Mrs .Joyce D.Kallaghe (Spouse of the High Commissioner"
Wapili kushoto ni Mariam Kilumanga ( TAWA Tanzania Women's Association "
Watatu kushoto ni Flora Bahati Lyimo (Fashion Designer and Trader)
Wanne kushoto ni Rose Kiando" Wengi wenu mnamfaham anavyotuwakilisha"
Mwisho na watanu kushoto ni Mary Machaga" Nae kwakuiwakilisha Tanzania huwa halali kabisa"
Our Lady Joyce awatembelea Brazil na jirani wetu Kenya hapo mbele yake " |
The spice of Tanzania ,mwaviona eeee" full kuwakilisha Nchi yetu"
hongereni sana Watanzania wa ukweli yani dada flora bahati lyimo hao ndo watanzania walofika london nzima na bila kusahau uk yote ,? ama kweli kazi ipo wabongo wacheni unafiki ,utengano ni mbaya sana msikilizeni mtanzania wa ukweli miss fb ,yani yeye bless her she love tz hadi mpaka her hair kasuka kitanzania flag ..kweli unafaa uwe rais mbuta nanga!!
ReplyDeletejob well done ,we love you and please give your lady Joyce big kiss from USA
ReplyDeletekusema kweli na nyie watangazaji wenye mablog mnafanya makosa ,mbona hamtutangazii mapema kuhusu mambo kama haya hii event mimi ningelijua ipo ningekuja,mimi huwa naingia kwenye blog ya jestina george mara kwa mara na sikuona matangazo haya yeye hutuwekea matangazo ya vitu vinavyofanyika mbogo alafu ndo tuende na ungo kama yeye wenzio hatuna vikaratasi kama yeye ,ni bora atutangazie vitu vya hapa hapa uk hasa london ,na sasa sitoingia kule kwake tena bora niwe naingia hum maana nimeingia you been snap blog kwa mara ya kwanza leo baada yakuambiwa picha zangu zimo hum na nimezipenda na nimeipenda sana weldone miss fb flora bahati lyimo .endelea kuipenda Tanzania na kututangazia matangazo ya vitu vinavyofanyika hapa uk london mamii,na hasa fashion police yako ,full kuwafundisha wabongo london kuvaa na kutokuchafua shughuli za watu ,wachana na wale watafuta makaratasi watakuharibia tabia yako bure na heshima tunayo kupa" God bless you and i will be back here soon ..
ReplyDeletenami nakuunga mkono anonymous wa 19:00 blog ya jg ni ovyo kabisa " big up miss fb kama leo umeona alopost mle.mambo ya bongo na yeye mwenyewe hata kumfuata mme wa watu alokimbilia kumzalia hawezi
ReplyDelete