Mwili wa marehemu Partrick Mafisango ukiwasili viwanja vya TCC Chang'ombe mapema leo"
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa, Juma Nyoso (kushoto) na John Boko, wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mafisango kuupeleka sehemu iliyopangwa.
Jeneza likiwa na kombe la ubigwa wa Ligi Kuu ya Vodacom
Tanzania lililotwaliwa na Simba mwaka huu.
Mdogo wa marehemu akisaidiwa baada ya kuishiwa
nguvu"
Kutoka kushoto ni msemaji wa Simba Ezekiel Kamwaga,
Kocha wa Simba Milovan Cirkovic na goalkeeper wa Simba Juma Kaseja wakilia kwa
uchungu"
Baadhi ya waombolezaji msibani hapo"
Mwili wa Marehemu kwa sasa uko njiani kuelekea
nyumbani kwao, Kinshasa Congo ambako ndipo atakapo zikwa.
*You Been Snap Blog* kupitia Globalpublishers*
Inapenda kutoa pole kwa Club ya Simba, wapenzi wote wa michezo na familia ya marehemu.
"Picha zote kwa hisani ya
Globalpublishers"
No comments:
Post a Comment