HE Peter Kallaghe Balozi wa Tanzania UK akiambatana na mkewe Joyce Kallaghe" walikuwa ni miongoni mwa wageni waheshimiwa wa Queen hivi ikidhibitisha kwamba Balozi wetu halali anaifanya kazi yake ipasavyo na kuhakikisha kwamba nasi Watanzania tunahesabika na kuwa katika mistari ilonyoooka kwenye CV ya Nchi zilizopo ndani ya Uingereza"IM SO PROUD "
HE Peter Kallaghe wakiwa wamesimama Imara huku wakionyesha nyuso zao za furaha at Mecuria Vessel ambazo hata Queen akiona picha zao atasema YES IM SO PROUD OF TANZANIA AND IT'S PEOPLE"
Wanao wakilisha Nchi zao hapa Uingereza wakiwa kwenye picha ya pamoja inayosema YES "YOU DID IT HER MAJESTY THE QUEEN AND HERE WE STAND FOR YOU " GOD BLESS YOU AND GOD BLESS THE WORLD "
How Proud is this" Tanzania Bendera ileeee ikijitambulisha kwa rangi zake muhim sana kwa Watanzania Green,Yellow ,Black and Blue!!!!
Hapa ndo vile Tanzania inavyojionyesha hadharani kwa matendo na siyo kwa maneno " kuona Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zilizo uwasha moto juu ya maji haya na kuwaka on Queen Diamond Jubilee inawafanya Watanzania wengi popote pale walipo kujisikia Proud na vile vile kutambua kwamba Balozi wa Tanzania hapa Nchini Uingereza Halali anaifanya kazi yake ipasavyo na hata kama kalala usiku mchana keshaifanya kazi yake na kazi ya mtu huonekana kwa matendo zaidi hasa ile iliyovyema na huonekana penye umati wa watu au vitu " GOD BLESS YOU ALL AND GOD BLESS THE WORLD AMEN" Kweli nimejisikia sipo hapa Uingereza peke yangu nipo na Nchi yangu Tanzania"
By:Miss FB Flora Bahati Lyimo"Nikimalizia nakusema asante kwa mpiga picha hizi " tuzidisheni upendo na ushirikiano zaidi" Weldone"
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment