Jamani yani mie nimeangalia mara sijui ngapi nabaki nikishangaa, huyu Bi arusi wetu ni wa Ukwe au ndo wanaigiza igiza kiuchekeshaji chekeshaji ? yani hapo kifuani ni Nyele hizo au ndo urembo umemrembua badala ya yeye kurembuka, Alafu jamani hiyo nguo yenye shingo debe ni yanini haijampendeza kabisa na imekaa kama imepitishiwa uzi tu upesi upesi na kitambaa kichwani cha kufanana"kweli walikuangusha walokushagulia au sijui ndo umejichagulia mwenyewe"Anyway nguo ya shingo debe ziepuke kabisaa"
Alafu hapa ndo siku ya harusi babu ee, ilofungiwa Jijini Dar Es Salam Tanzania" Mjini haswaa"jamani hata kama ni hinna za nini hivyo kifuani unabakia kama Dume (niseme mwanaume)" na walompaka hawajamuona au ndo walikuwa vipofu " jamani zingatieni hili, siyo vipodozi vyote vya kupakwa kila mahali sehemu zingine msipake na pia mkizipaka basi zingatieni Rangi " ni hayo tu kwa leo nawaachieni na nyie Nyota zangu mseme ya kwenu" na kama una picha zingine nyie endeleeni kunitumia japo nipo busy nitajitahidi kuwapeperushieni"
tumeni kwa hii Email: flo1974@btinternet.com
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ndo kashaolewa, kwako iko wapi?
ReplyDeleteCatrina Wa Siena SAY:ukweli amechukiza sana.......kwani alipokuwa anapambwa hakuwa anaijiangalia kwa kioo....yani hakuwa na uamuzi na uso wake na kichwa??jamani kwani wanawake wengine hatujijuliiiiii.......yani kwa sababu ni harusi yangu ndo uje ujifunzie usoni mwangu.......bora angepaka poda ya johnson tu......na si kila style ya weaving unamwona mtu kasukwa na wewe unaiga.....khaa jamani
ReplyDeleteViolet Gerlad SAY: too much green...eye shadow too much....weaving hilo limeshuka sana...kwakuwa uso wake mdogo.wangemuweka kastyle simple tu...all in all mungu awatangulie.
ReplyDeleteZalishy Epi James SAY: salon za uswazi sijui namna hii kuharibiana tu siku yenyewe haijirudii mtu anataka kujifunzia kazi usoni kwa mtu
ReplyDeleteNate R. Mallya SAY:HAJAPENDEZA.
ReplyDeleteDorah Kylie SAY:Mambo ya make up hayooooo..... Duuuu,mi nahic huyu dada hajawah hta kujipamba uson so ndo maana kaona kapendeza!
ReplyDelete