Mungu ni mwema sana na siku zote za maisha yangu nitamtumikia na hasa kutokukosa Kanisani kwa kukusuudia" Ruwa Mangi 'Aika Mbee Kanyi"
The Look of Palm Sunday" |
Karibu kiti ukae ''Mbuta Nanga"
Happy Churchgoers Rocking African Print kama kawa' at outside Flora Lyimo Blessing Home 'Hackney Mji wa wa Safi'Mnayaona Mambo ya Waste Household on the left eee"
Hapa pananifurahishagaje" napenda sana Kuutizama na kuupiga picha huu Mnara wa Kanisani mnaouona paleee"
Viti vyangu navyo vimepata mkaliaji (Snow) maana havijakaliwa kwa siku nyingi"
Mambo ya Snow ,yani mimi ndo wa kwanza kutoka huku nnje leo kwa sie tunaotumia hii njia"
Hivi ndivyo nilivyopakuta asubuhi hii nikienda Kanisani" |
Ndifo za nani hizi" hhehee Kichagga hicho ,Kiswahili nauliza nyayo za nani hizi"must be za Flora Lyimo akienda church leo"
No comments:
Post a Comment