MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Monday, 22 April 2013
SAD SAD NEW'S..R.I.P. PETER LAZARUS ......NIMEISHIWA NA LAKUSEMA EEE MUNGU WAZURI NDO WANAKUFA.KWELI AMEKUFA HEARTBROKEN'NA HATUJUI VILE KINAVYOUMA WAKATI UNANYIMWA HAKI YAKO..GOD KNOW'S...ILA MUNGU AWAPE NGUVU ZA UVUMILIVU NDUGU ZAKE PETER NA WATOTO WAKE.AMEN"
NAPIGIA SIMU JANA USIKU SAA SITA ,,NIKASHINDWA KUAMINI ..HADI LEO HII BADO SIJAAMINI' JAMANI BABA IMAN" SIJUI LAKUSEMA KWASASA HIVI ..ILA NITAZIDI KUWAPENI HABARI KUENDANA NASI MARAFIKI WAKE AMBAO TUSHAWAHI KUWA NA PETER NA KUONA ALIVYONA ROHO NZURU..KWELI SHETANI NI MBAYA DUNIANI HATARI...RUWA MANGI..BADO SIJAAMINI...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Flora Lyimo 'this is why we love you and your blog,umesema ukweli mtupu...yule jestina George mama iman ,hata hajaandika chochote kwenye liblog lake alafu eti watu wasomjua alivyomdanganya marehemu Peter kwamba atamuowa na kuishia kuwa mke wa tatu wanampa pole..pole my.s' Upumzike kwa amani Peter tutakukumbuka kwa wema na upole wako milele'
ReplyDeletefala wa mwisho huna haya kabisa chezea utaishia kuusambaza mdomo usio na faida
ReplyDeleteits so sad the bitch is busy posting about choir she cant even acknowledge the father of her daughter passing
ReplyDelete
ReplyDeleteFeel free to visit my website: site
Haki gani kwani alinyimwa? Kutokupost facebook au kwenye blog lakini haimaanishi kuwa hakuwa effected jamani. Mke wa tatu? Hata mimi ningekataa mambo ya uke wenza. Mungu amlaze mahali pema.
ReplyDeleteNdio kazi yake kula hela za wanaum zake huyo jetina, hana roho kama ya ubinadamu kuwa ni mzazi mwenzake yeye anajali kabaa nini dunia tunapita utamkumbuka baba imani
ReplyDeleteGuys...stop bitching..Hivi si huyu kaka amefariki?Sasa mbona mnaanza zogo na umbeya.Kwani mnajua anazungumzia nani kamnyima haki yake?Mmeanza kumuhukumu mama mtoto kama mnajua ni yeye anaongelewa.Halafu hata kama ningekua mie...baba mtoto wangu afariki mie huyo kwenye blogu...haaa...Nna wazimu.?Mkumbuke hawa watu walishawahi kuwa pamoja...si kwamba hatahuzunika kwa vile tu hawako pamoja.!Ila na wewe mwenye blogu umetaka tu kulianzisha...hasa hicho ulichokichomekea cha, "KWELI AMEKUFA HEARTBROKEN'NA HATUJUI VILE KINAVYOUMA WAKATI UNANYIMWA HAKI YAKO".May his soul Rest in Peace.Poleni wafiwa
ReplyDeleteWe nawe kama umepandwa na uchizi kha? Hivi kuna mtu asiyesikitika kwa hiki alichokifanya Jestina George aka BETINA? Ukweli lazima aambiwe Peter ni mzazi mwenzie alitakiwa kumuenzi ukizingatia wana mtoto, hebu koma na domo lako au na wewe una tabia kama za Jestina? Tupishe kule, msonyooooooooooooo
ReplyDeleteHilo liJESTINA bora lilivyoolewa mitala limepata laana na litaendelea kupata laana kwa roho mbaya yake
ReplyDelete"MAZISHI YA MAREHEMU PETER LAZARUS, YATAFANYIKA KESHOKUTWA SIKU YA ALHAMIS KWENYE MAKABURI YA KINONDONI KUANZIA SAA 8.00 MCHANA.
ReplyDeleteMISA YA KUMUAGA ITAFANYIKA HAPO HAPO KWENYE MSIBA, MBEZI BEACH NYUMBANI KWA MCHUMBA WAKE BABES FAIZA"
Jamani ni kosa gani Jestina amefanya alipoamua kuendelea na maisha yake ikiwa marehemu alikuwa na mchumba? wanawake tupendane.
Hi Anonymous of 14:51. ASANTE KWA KUINGIA HUM,, SASA WACHA NIKUJIBU HILI SWALI LAKO,,MAANA NAONA WENGI NI KAMA WEWE HAWAJAELEWA NI KWANINI WATU 'HASA NIKIWEPO MIMI FLORA LYIMO ..NIME MIND SANA JESTINA...TUME MIND JESTINA a.k.a. MAMA IMAN, KWA KITENDO CHA KUMDHARAU PETER SASA KAFARIKI NA NI BABA WA MTOTO WAKE ,BILA KUMTANGAZA KWA BLOG YAKE NA WAKATI YEYE HUKESHA KWA KUTANGAZA MATANGAZO YA VIFO VYA WENGINE''' KWA HIYO HTA KAMA PETER ALIKUWA NA MCHUMBA MWENGINE ,WHICH NAONA NA WENGINE WANA MUANDIKA MKE WAKE,SIJUI HIYO NDOA ILIFUNGWA LINI ,LABDA NDO PETER MWENYEWE HAKUNIAMBIA,ILA KUMLILIA JESTINA ..ALL THE TIME ANANIPIGIA SIM WAS ABOUT JESTINA NA HASA KWA KUMNYIMA KUMUONA IMAN NA PIA KUDAI KWAMBA KAMPELEKA MTOTO IMAN BONGO NA HATA HAJAMUAMBIA,NA HASA HASA KUMNYIMA KUMUONA,SASA KAMA NDO HIVYO SI NIAIBU KUMPELEKA KUMZIKA BABA YAKE WAKATI ULIMNYIMA KUMUONA AKIWA HAI'KWELI FIMBO YA MUNGU INAMSUBIRI YEYE NA WALE WOTE WANAOWAKATAZA WATOTO KUWAONA BABA YAO,KAMA SIYO HUYO BABA UNGELIWAZAA?? SHIKENI ADABU NA WACHENI KUWAONEA WATOTO WENU MLOWAZAA WENYEWE WIVU'NAWAONA WACHENZI WOTE MNAOFANYA HIVYO'MBUTA NANGA..SO SAD...ALI LIA NA NIKALIA, MSIMNYIME MTU HAKI YAKE...SO MY DEAR ..NDO MAANA JESTINA HATUTAKAA TUMSAMEHE NEVER KWA ALICHOKIMFANYIA PETER MAREHEM...HUYU ALONAE ALIMKUTA PETER AND HE HIT IT FIRST....NA AMPE HESHIMA ZAKE NAE APEWE ZAKE...NI HAYO TU,,,,BUT GOD KNOWS WHATS NEXT''''
ReplyDeletemmmmmh basi hapo makubwa ,kumyima baba haki ya kumuona mtoto ,kwa hilo hakumtendea haki marehemu. RIP Peter.
Delete