FINALLY ''FLORA LYIMO APATA KUMPA POLE KWA KUMPOTEZA MWANAE MPENZI AMMY WINEHOUSE DAD MITCH WINEHOUSE MWAKA HUU''
POLE WITH BUSU '' HATA AMMY ANGEKUBUSU LEO NA KILA AKUONAPO MAANA YOU ARE THE BEST DAD EVER'' NAPENDA SANA WANAUME WANAO WAJALI WATOTO WAO HATA KAMA WAMEACHANA NA MAMA ZAO'' |
Flora Bahati Lyimo mwenyewe ,nikiwa tiyari na Rozari yangu kwenda kuiweka nyumbani kwa marehem Amy Winehouse" Camden 24/07/2011 kweli namsalia sana huyu Mdada wa watu nasijui ni kwanini"
Hapa ndo nje ya Nyumbani kwake in Camden London " hapo pichani nimeshaiweka Rozari yangu kwenye picha yake Amy "na kuiacha hapo kwani hivyo naamini kama Mama Bikira Maria alivyotuambia tusali sana Rozari na kuzibeba kwenye Mabegi yetu na niufunguo wetu wa kuingia Mbinguni basi niliona na hivyo ataenda na hiyo Rozari na kuingia nayo Mbinguni.I hope jamani R.I.P. Amy " Uliipa Roho yako ile kitu inapenda na mwisho wa siku haya ndo matokeo yake(KIFO) hatuna lakusema bali kukuombea ufike salama na Asante sana kwa Miziki yako mizuri na vile vile yenye kutufunza moja au hata mengi"FLFP"
SO SO SAD!! NIKIONA HIYO ROZARI YANGU HAPO PICHANI ,YANI NAKUMBUKA NIKAMA NDO LEO HII UMETUAGA AMY "
Amy ,akiipatia Roho yake ile kitu inapendaaa!! why not" Ruwa Mangi"
Hapa nikisali kidogo kama sijaiweka Rozari yangu kwenye picha yake" yani niliona hamna namna nyingine yakuweza kuimvalisha na kuhakikisha kaibeba" Ruwa Mangi"
Baba na Mwanae,,enzi za uhai wake Amy!!
Wakati wa kifo chake habari na picha zilikuwa kila mahali ambapo waliguswa na kifo chake Amy" |
Baba yake Amy pichani hapo akimuwakilisha marehemu mwanae kwenye Brits 2013" kwa kusema ukweli Im so so Proud of Him kwa kila kitu anachofanya kuhakikisha mwanae anasikika na anakumbukwa Daima" |
No comments:
Post a Comment