LOVE IS IN THE AIR '''MTASOMA SOMA SANA CHUPI ZA FLORA LYIMO YANI MPAKA MKOME KUMTUKANA ..SASA MATUSI YENU YAMEMNG'ARISHAJE''' NA MAMBO BADOO'' MBUTA NANGA!!
FL DESIGNS & TRADES SHOWS NA CHUPI VYOTE VYAUZWA SO USIKOSE KUMNUNULIA MPENZI WAKO KITU CHA KUSHINDIA HOME FEELING SEXY AND LOOKING SEXY '' WAHI KABLA YA IJUMAA YA HII WEEK MAANA NDIYO MWISHO WA KUTUMA MZIGO WANGU WA XMAS KWENDA BONGO NA IKIWA UNATAKA KUMTUMIA YOUR NDUGU AND LOVE ONE ANYTHING FOR XMAS WASILIANA NA MIMI ''MIZIGO YAKO ITAWAFIKIA IN DAR ONLY IN TEN DAYS ''VIKICHELEWA 12 DAYS'' KARIBU WHATSAPP +44 7787471024'''
HOT LOVE CHUPI YANI KWA BEI POWA SANA NA UNALETEWA HADI TANZANIA '' NA WALE WAKUTAKA MKOPO EXPRESS PIA UNAWEZA KUPATA 'BUT KUMBUKA TUNAVIGEZO VYETU VYA KUKUPA KIDOGO KIDOGO UNAUZA UKIMALIZA UNARUDISHA HELA ZA MAUZO NA UNACHUKUA VINGINE 'HIVYO HIVYO 'UKIWA MJANJA WA MUJINI BASI UTATAJIRIKAJE FASTA 'NA USINISAHAU UTAKAPO NIPITA UKIPANDA MATAWI YA JUU''
MAMBO YA LOVE NDIYO HAYOOO'' NOW LETS MOVE TO MAMBO YA I'VE BEEN GOOD ALL YEAR !! MBUTA NANGA!! SANTA KWELI JAMANI MIMI TOTO ZURI LA KICHAGGA ULAYA LISILOKWISHA MAUTAMU NA LIFANYALO YAKE ''LITAMUJE HILI HOT TOTOZ SASA''RUWA MANGI!!
I'VE BEEN GOOD ALL YEAR '' SI NDIYO WATANZANIA WENZANGU EEEE!!
HAPO KWAKEEEEEEEEEEEE''HAHHAHAA SIKU NITADONDOKA NDIYO NITAKOMAA''ILA SASA NAKOMAA NA CAMERA!!!
FLORA LYIMO DESIGNER ,TRADER ,FASHION POLICE ,PHOTOGRAPHER AND BLOGGER'' ANAJIPENDAJE SASA!!
WATANZANI MTAZOEA TUU''MAANA FLORA LYIMO SASA HII NI KAWAIDA YAKE AND SHE DID SAY THAT MTAMTUKANA LAKINI ATAHAKIKISHA KILA WEEK ANA WAWEKEENI HOT SEXY PHOTO'S OF FLORA LYIMO HOW TO LOOK SEXY AT HOME 'MPAKA VIDOLE VIWAVIMBE NA ALL HER HATER'S KUANGAMIA KABISA''SO ARE YOU HER HATER'' ? DON'T HATE HER 'SHE IS DOING HER THING''GO DO YOURS!!
HABAREE NDIYO HIYOOO''NOW DONT MISS THE SHILOLE SHOW ''YANI 30/11/2013 WAS SHILOLE AND AT MAUNO NA MDUARA NDANI YA MK ''BUT ANYWAY FOLLOW THIS BLOG AND MAKE SURE YOU COME BACK 'KUPATA MAPOCHOPOCHO YA WHAT WENT ON '''
No comments:
Post a Comment