MSAFARA UKIANZA ''WATU WALIANZA KUMIMINIKA HAPA WEMBLY KUANZIA SAA SABA MCHANA'' WENGINE LABDA MAPEMA ZAIDI ,MAANA HATA SISI TULINUSIRIKA FUJO YA WATU WALIOTOKA MPIRANI AT WEMBLY STADIUM YANI TUNGESHELEWA KWA DAKIKA TANO TU'' SIJUI TUNGEPITAJE AISEE'' SHUKA CHINI TIZAMA MAFURIKO YA WAPENZI WA MPIRA HUKU UKIONA WAPENZI WA HM RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE WAKIELEKEA SEHEM ILIYOANDALIWA RASMI KWA SHUGHULI HIZI ZA JIONI HII'' MBUTA NANGA!!
YANI THIS IS WHAT YOU CALL LOVE''' WATU TULIANDAMANAJE KWENDA KUKAA KIKAO NA RAIS WETU''SI WATOTO ,VIJANA NA HADI WAZEE''WE WENT TO SHOW HOW MUCH WE CARE,,TUKIITWA TUNAITIKA'MHESHIMIWA RAIS ''TUNAKUPENDAJE''
AND THE FLORA LYIMO FASHION POLICE HAKUBAKIA NYUMA KABISA''ALIKUWA MSTARI WA MBELE TIYARI KWA LOLOTE NA CAMERA ZAKE ZAKUTOSHA''FANYA FUJO UONE (AMOSI WA UBALOZINI) MBUTA NANGA!! UPO HAPO EEEE''
WAREMBO WAKIENDELEA NA SAFARI''NDIYO PALEEEEEE''MNAPAONA EEEE''
FANYA FUJO POMBE MLIZOLEWA KABLA YA KUINGIA UWANJANI KUTIZAMA MPIRA HUU''ZIWATOKEENI PUANI'' AISEEE'POLICE HAWA WAPO JUU YA HILI DARAJA LA KUVUKIA WATU NA MAGARI '' ILI KUCHUNGA USALAMA''YANI UKIWA HUKO CHINI HUNA HABARI HUKU JUU UNAMULIKWAAAA''
ONA SASA ALAFU HAPA NDIYO BADO YANI HAWA NI WA KWANZA KWANZA KUTOKA''
HAPA NDIPO WANAPOLEWA POMBE ZAO KABLA YA KUINGIA KUTIZAMA GAME YA MPIRA''YANI HAWA WATU WANAPATA HELA SANA AISEE''MAANA HAPA HUWA HAPATOSHI KABLA YA GAME'' SEHEM YOYOTE YENYE BAA KARIBU NA UWANJA WA MPIRA YANI NI DILIIII''HUWA WANAJAZA SANA NA PIA KUNA HASARA ZAKE PIA,,MAANA UNAKUTA UNAWATEJA WA PANDE ZOTE NA UNAKUTA HAWAPENDANI ILA LAZIMA WAPATE VINYWAJI KWA PAMOJA HAWANA NAMNA''
HAPA NDIYO PENYEWE KUTOKA NA KUINGIA KWA NJIA ZA TRAIN '' MAGARI MOSHI'
HAWA WAREMBO NDIO WALIHUSIKA KWA KUHAKIKISHA JINA LAKO LIPO AU HALIPO ON HIZO LIST ZAO WALIZO PRINT OUT ''NA KAMA HALIPO DONT PANIC''''YOU DONT NEED YOUR PASSPORT ALSO (HOME OFFICE HAWAHUSIKI HAPA) MBUTA NANGA!! JUST ANZA KUANDIKA MAJINA YAKO HAPA NA KUINGIA NDANI KUJISHINDIA KITI CHAKO''
BASI IKAFIKA ZAM YANGU '' JINA LANGU HALIKUWEPO JAPO NILIJIANDIKISHA ''SO MREMBO WETU HAPO AKANIULIZA JINA LANGU ,NIKAMPA FLORA LYIMO .BASI WAO WANATAFUTA WATU KWA JINA LA UKOO'' SIR NAME'S'' SASA KUMBE KUNA LYIMO WENGINE WAWILI AMBAO HAWAKUWA NI MIMI..KWA SABABU HIYO THEN SHE ASK ME JINA LA KWANZA ,THEN NIKAMWAMBIA FLORA .SHE THEN SAY .OMG'' WEWE NDIYO FLORA LYIMO MWENYE BLOG? I WAS LIKE ,YES'' OHH!!SO NICE NAFURAHI KUKUONA DADA FLORA ,KARIBU SANA , SHE WAS SO FRIENDLY AND I WAS SO HAPPY KUMFAHAM PIA.
YANI HUWA NAFARAJIKA SANA NAPOKUTANA NA NYOTA ZANGU ,WAPENZI WANGU WA UKWEE NA KUANZA KUJITAMBULISHA KWANGU AU KUNIULIZA KAMA NI MIMI THE ONE AND ONLY SUPER STAR WAO WA UKWEE...I LOVE YOU GIRL I LOVE NYIE THE WAY MNAVYONIPENDA MIMI PIA''
PLEASE KEEP UP WITH FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'' ALWAYS MSEMA KWELI WENU'' GOD BLESS!!
THANKS GOD ''KULIKUWA KUNA NGOMA YA KUWABURUDISHA WATU NA KUJISIKIA KAMA TUPO TANZANIA'' NADHANI WENGI WENU MNAIFAHAM HII NGOMA YETU HAPA UK'' I WAS HAPPY KUONA HAWA WAREMBO WAKICHEZA BILA WOGA ''MAANA I DID BURUDISHA WATU KWA MY CHAKACHA DANCE PIA''AND I KNOW IF YOU DOING IT FOR THE LOVE HUWEZI KUWA NA WOGA WOWOTE'' NICE ONE MY DEARS''
HAPA NDIYO MAANDALIZI YAKIWA TIYARI SEHEM YAKUKAA WAKUBWA ZETU ''
Usikose kurudi kutizama Album zifuatazo maana nakuletea kila kitu kilivyokuwa na kilivyojipanga bila kuchanganya changanya na bila kusema Uwongo ''maukweli yote Flora Lyimo anayamwaga hadharanii''Picha zote pia ni kazi za mikono ya Msema kweli wenu Flora Lyimo Fashion Police,Photographer,Fashion Designer ,Market trader and Blogger'
Follow this blog so usikosee anything soon as I post them''
Flora Lyimo Fashion Police Blog
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment