MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Friday, 1 June 2012
* IN YOU BEEN SN AP BLOG * JUBILEE WENGINE TUNAIANZA HIVI NA KUISHEREKEA KWA NYIMBO KAMA HUU WA Diamond - Mawazo (Official Video)" MAMBO YOTE HAYA NA MENGINE MENGI YAPO HUKO MILTON KEYNES SAT 02/06/2012" SWAGGA NIGHT SPECIAL. SEE YOU THERE !!
INFINITY ENTS' pres ,SWAGGA NIGHT SPECIAL, Sat 02 June 2012 @ The SLUG AND LETTUCE, 1 Savoy Crescent, MILTON KEYNES, MK9 3PU. MUSIC: R&B,BONGO FLAVA,REGGAE,KWAITO & many more,Dj Josh & Dj Shahim will make it happen.
Come and join us for glamorous @ our SWAGGA NIGHT.A truly sparking event for the glam and the chic to party the night away and see the SWGGA in decade style.******
*IN YOU BEEN SNAP BLOG * SUMMER JAM WHITE PARTY YA NGUVU SATURDAY 2/06/2012 FREE ENTRY AND A FREE BOTTLE OF CHAMPAGNE FOR THE BEST DRESSED COUPLE! HII SIYO YAKUKOSA KABISAAA!!!
It's another Summer bank holiday weekend...make the most of it @ Pit Stop (uwanja wa nyumbani) starting with a all WHITE PARTY on saturday 2nd June and a kids Party on Sunday 3rd June....opening till 5am all weekend.....
Delicious choma, grilled chicken, soup and various drinks to your own taste in da house....can't afford to miss!
See you all there......Karibuni-Welcom e all.
Delicious choma, grilled chicken, soup and various drinks to your own taste in da house....can't afford to miss!
See you all there......Karibuni-Welcom
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * HAPPY BIRTHDAY MY GIRL RUTH JOHN 01/06/2012 " WIMBO WETU NDO HUU ENJOY YOUR DAY MAE NA WIMBO HUU WA 50 Cent - Best Friend ft. Olivia" I WISH WAS THERE KUKULISHA HII CAKE.BUT SOON!!
*IN YOU BEEN SNAP BLOG * TODAY IS THE BIRTHDAY OF TANZANIA QUEEN OF MAISHA YA NDOA" MRS FLORA MBASHA " SIKILIZA WIMBO HUU WA Flora Mbasha - Maisha ya Ndoa HUKU UKIZITAZAMA PICHA ZA SURPRISED BIRTHDAY CAKE YAKE"
I LOVE THIS SONG SO MUCH MY WAJINA" GOD BLESS YOU BOTH ALWAYS"
![]() |
| My love and I, on my birthday! Tulikuwa tumeishalala saa sita usiku, tukaamshwa na surprised birthday cake kutoka kwa sister wa ukweli sis P.
— with happy birthday at Our USA home."
|
Miss FB Flora Bahati Lyimo" say:
" HAPPY BIRTHDAY WAJINA WANGU "
"Yani nimefurahi sana kuona jinsi mnavyoishi maisha yenu " YA NDOA kwa kweli sidhani kama kuna yoyote Tanzania hata Ulimwenguni nae mzimia kama wewe na Familia yako. Mungu azidi kuwabariki na mzidi kutuletea nyimbo nyingi na zuri kama hizi mlishawahi kututangulishia .kwani zinafudnisha mengi kwa wale wanaopenda kujifunza!! Love you and i cant wait the day tutakayo onana hope very soon" mwahxx"
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * MWANGALIENI KANUMBA AKIWA KWENYE UHAI WAKE NA AKIWA KWENYE KIFO CHAKE NDANI YA SANDUKU" JE ULIJIFUNZA NINI WAKATI WA KIFO CHAKE NA MPAKA SASA HIVI UNAMPANGO GANI WA VILE YAKUISHI MAISHA YAKO? WACHA MAONI YENU ANYTIME" KWELI WENGI WAMEKUMISI KANUMBA" HASA MAMA YAKO MZAZI "
LALA SALAMA DEAR KANUMBA THE CUTE ONE"
Hivi ndivyo Successor alivyo andika kwenye wall ya Steven Kanumba Marehu leo"
marafiki wote 3647 ulionao kwa fb, leo hawana wa kustori nae, kuktania na kucheka nae..... Do u know km umeacha pengo kubwa sana??? Go braza, Rest In Peace we gon remember u all the times... Bt 4 the one having ya password aendelee kutuasist....
Flora Bahati Lyimo
MUNGU WANGU ,,NA WALIDHUBUTU KUMZIKA.YANI MIMI NAWEZA NIKAKIMBIA NA NISIRUDI ,,,,,ONA ALIVYO HAPA UTADHANI KALALA ..AMA KWELI KIFO NI KITU CHA AJABU MNO NA CHAKUSIKITISHA MNOO...KANUMBA I WISH NINGEKUFAHAM VIZURI UKIWA HAI KULIKO NAVYOKUFAHAM NOW UKIWA UMELALA KABURINI"
HIVI NI KWANINI UMATI ULE WOTEEE,ULOFIKA KUMZIKA HAUKUWA UKIMUWAKILISHA KILA PANDE ZOTE WAKATI AKIWA NA UHAI WAKE?? YANI WENGINE HATA FILM ZAKE HATUKUZIJUA ,WHY .KWA SABABU YAKUTOKUPEPERUSHIANA MATANGAZO NA KUUZA CD KAMA WANAVYO PEPERUSHA PICHA ZAKE ZA MAUTI NA KUUZA CD ZA MAISHA YAKE SASA HIVI???TUPENDANENI JAMANI WATANZANIA NA TUUNGANE ...MWENZIO AKIFANYA KITU MUUNGENI MKONO HATA KUJITAG KWENYE MAWALL YENU ....R.I.P THE CUTE ONE."
Mimi Tangu hiki kifo cha Kanumba nimeongezea yale nilokuwa na yafaham zaidi..KUWAAMBIA WATU UKWELI WAO ,WAPENDE WASIPENDE.,KUWATANGAZIA WATU VITU VYAO ,VYA BIASHARA VYA STAREHE HATA VYA AINA YOYOTE WAPENDE WASIPENDE. KWANI HIVYO NDO NJIA MOJA AU MBILI YAKUWAWEZESHA WATU HAO KUTAMBULIKANA KWA YALE WANAYO YAFANYA..HATA KAMA NI MABAYA TENA NDO MMFAHAM VIZURI ZAIDI NA KAMA NI MAZURI BASI MUENDELEE KUMFAHAM VIZURI KUPITA MAELEZO"
Cha pili Hapa Dunianai tunapita hatujui siku yetu lini wakati twawazika wenzetu wanaotutangulia" Sasa basi ishi maisha yako kama ndo mwisho wa Dunia kijacho kwako usikizuie kwa pazia"
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * MAMBO YA KWENYE JUA. MISS FB -FLORA BAHATI LYIMO AJIULIZA HIVI KAMA WAZUNGU NDO WANANCHI WA TANZANIA .KUNGEKUWA NA MAVAAZI YA AINA GANI ?TIZAMA MDADA HUYU NA BIKINI YAKE" MBUTA NANGA!!
*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO*
Taking a dip: Billi Mucklow hams it up for the cameras as
she soaks up the sunshine in Marbella"
Relaxing: The blonde beauty salon owner was seen lying by
the side of the pool"
Deep in thought: Billi positioned herself by the edge of
the pool and was seen smiling to herself"
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * MUARABU -ULAYA AFANYA KWELI " KABANDIKA PICHA ZA QUEEN KWENYE GARI LAKE" MBELE NA MLANGONI" WHAT A WEALTH ARAB AND A TOUCH OF JUBILEE!! JE WEWE UMEJIANDAAJE ??
*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO*
The photo plastered on the car is from 2010 when Her Majesty travelled to the Gulf state to celebrate the 40th year of the Sultan's reign.
The vehicle, which was being driven in convoy with a garish Hummer and Bentley, was seen travelling around Kensington, Knightsbridge and Chelsea in west London.
All three cars had Oman flags on them and it is thought they could be owned by close associates to the Sultan.
Jubilee celebrations: The Lamborghini LP640, emblazoned
with the Omani flag on the roof and side, has a picture of the Queen on the
front in honour of the monarch's 60 years on the throne"
The photo plastered on the car is from 2010 when Her Majesty travelled to the Gulf state to celebrate the 40th year of the Sultan's reign.
The vehicle, which was being driven in convoy with a garish Hummer and Bentley, was seen travelling around Kensington, Knightsbridge and Chelsea in west London.
All three cars had Oman flags on them and it is thought they could be owned by close associates to the Sultan.
Supercar image: The Queen with the Sultan of Oman Qaboos
bin Said Al Said. The Picture appears on the front of the Lamborghini"
Oman Jubilee celebrations: This picture of the Queen and
Prince Philip in Oman appears on the side of the bright yellow vehicle"
Convoy: The Lamborghini - with a picture of the Queen on
the bonnet - travels through west London followed by a Bentley emblazoned with
the Omani flag"
* IN YOU BEEN SNAP BLOG * IGA KIM KARDASHIAN MVALIE MMEO /MPENZI WAKO HIVI USIACHIKE AU MWASEMAJE NYIE WADAU.JE UNGEPENDA KUMVALIA HIVI KITANDANI AU KINA KAKA MNGEPENDA MVALIWE HIVI KITANDANI !! FLORA BAHATI LYIMO AWAAMBIENI UWAZI""
Like what you see? Kim Kardashian posted a picture of
herself wearing lingerie and leather on her Instagram account today thanking the
two million plus fans who are following her on the social networking
site"
Miss FB Flora Lyimo say: hii ni nomaa kwa kweli walokuacha au ulowaacha wanajutaje" anyway we like what tunaona nje ,ya ndani hatuyajui yanaweza kuwa mengine ndo maana ndoa kuvunjika na mwanamme kuachwa au kuacha" haya Wadau igeni hapa kama wewe ni mwanamke na hujawahi mvalia mmeo /mpenzi wako hivi aisee alafu mmvalie walahi jiandae kwa long long time mchezo ..maana atakuwa hatamani kumaliza mchezo kwa hiyo atakuwa anajifanya yeye sii mwingizaji wa goli ila mkipizaji wa mpira,,,!!Anakwenda ,anakwenda na mpira ,anapiga chenga ,anakata kulia,anakata kushoto ,anapiga anapiga anapiga chenga ,anapigaa goooooooooo'laaaaaaa;""" ahhahaaa mpira unaendelea na bado ni bila bila""""nadhani utaenda kwenye extra time..thanks to KK"
Subscribe to:
Posts (Atom)











