Hapa ni baada ya kuambiwa sina hata Dam ya kutosha Mwilini '' Ruwa Mangi'''Jamani kuleni vitu vya kukupatia Dam mwilini '' Mimi sina habariiiiiiiii''nakulaga ile kitu Roho inapenda''Ila sasa nikutafuta na viburutisha vya kuengeza dam Mwilini''I think Vitumbua na Chai will do''mbuta nanga!!
Hapa ni Diary ya mpango mzima wa Flora Lyimo on 14/7/2014 'akijiandaa kutoka akiwa at her London Home na akiwa Hospitali ''Kabla haja ambiwa atalazwa''
Flora Lyimo at her London Home'' this day Monday 14.7.14 was the day of kwenda kuwafundisha kina mama wa tatu walioniomba nikawafundishe leo how to knit loom necklaces and pia nikiwa na nia ya kutaka Watanzania wenzangu wajifunze how to knit them alafu wanipe niuze hiyo hela tuwasaidie Watoto wetu wa Tanzania wanaoishi hoi hoi mitaani ''so that is what i want Watanzania wenzangu to do ''what you think ? whatsapp +44 7787471024 if you want to do that ''pia ikiwa una wazo lingine bora zaidi '' CCM OYEE''TANZANIA MOJA!!
FLORA LYIMO THE PROUD TANZANIAN UK '' YANI I LOVE TANZANIA YANGU SANA''
My Dada my Angel ''alipokuja kunitembelea Hospital kusikiza majibu ya Dactari mkuu kuhusu kansa ya kichwa ''yani kweli Sala ni mambo yote'' na She did Pray for me sana yani sana na zaidi ya walioniombea'' But hata wale mlioniombea Kidogo Mungu aliwasikilizeni sala zenu ''na ndiyo maana akanirudisha Home fasta fasta ili nije kupambana na all my haters on time'' Yani Hakuna kama kumcha Mungu siku zote'' I thnk you so much my dears ''Da'Elie'' I love you so much '' Be Bless Always ''THANK YOU ''
Hapa macho baada ya kutoka kwenye lile limachine bomba lao ''yani was hatareee''sikutaka kuona mwanga kabisa'' nilikuwa naona kama nitachanganyikiwa ''yani jamani Kichwa kinauma sijawahi ona'' Alafu hakiumi kote kote,,ni upande mmoja tu''
Kwa wale wataalamu wa kupaka wanja 'msinicheke na wanja wangu ''napenda hivi sipendi makubwa kubwa'' hahhaaa'' I love my Tanzanian Rangi ''ni nzurije sasa'' mwaona hiyo loom cheni ''nimeifuma mwenyewe only in dakika's'''
The Hotel a.k.a. The Hospital ndani 'hapa ndiyo chooni na bafuni ''yani hakuna to share ''I love it '''
Najikaza kwa maumivu ya Kichwa na jicho ''Ila Mungu ndie aliekuwa ananilinda''
THE CANCER WAS CLEAR'''BWANA YESU ASIFIWE SANA'' RUWA AIKA MBEE'' NA MLIONITAKIA MABAYA 'JUENI MMESHINDWA KATIKA JINA LA YESU NA MLIYONITUMIA YAMERUDI KWENU KAMA MLIVYO YATUMA KWANGU'' BWANA YESU ASIFIWE SANA'' LEO ,JANA NA HATA MILELE'' AMEN'''
Ahhhhhh''Look who is here too'' Yani was so Happy kumuona my shostitamu wangu Aisha'' alivyoingia to my Room wala sikujua'' maana sim yangu ilikufa betri sasa akawa masikini ananijulisha she was coming lakini sikumjibu and she did come anyway and japo alisumbuka kidogo kunipata'' she find me at the end'' Jamani ndiyo mnaambiwa tumieni majina yenu ya ukweli popote mwendapo mtu akitaka kukutafuta ili akupata'' hasa mitandaoni kama Facebook na hata Instagram'' mimi nawashangaa wale hutumia majina yasiyo yao na hapa isitoshe wana weka na picha za vituko kama panya na hata machuma fulani fulani '' sasa inakuwaje ukiumwa galfa au hata ndugu zako wakiwa wanashida na wewe kukutafuta ? tumieni akili ''ona Mimi ikiwa hapa Hospital sikuwa na tumia majina yangu ya ukweli Flora Lyimo kama navyo yatumia popote ''Da Aisha asingeweza kunipata na angerudi na misosi yake''Alafu ilikuwa ni misosi yangu ya nguvu na yoipenda .uwii ''Ningeliaje kama Mtoto sasa'' angerudi Home baadae aniambie alikuja akanikosa '' so jamani ndugu zangu jirekebisheni ''tumieni majina yenu ya tangu shule tangu kuzaliwa''THANK YOU SO MUCH AISHA'' Be Bless Always my shostitamu wangu ''
Si mwingie ni Mwanamke Jiko ''Da Aisha'' I penda yeye sanaaaaaaa''
My hospital bed'' Tiyari kuondoka ''was so lovely to sleep on top of your '''But not again mara moja hii inatosha''
Hahhaa Mchagga ni Mchagga tu aisee'' Basi Da Elie 'akaja kuniona hapa Hospital akaja na haya makopo kadhaa mnayo yaona hapa''si mimi nikafurahi kweli nikadhani kaniletea Mbege? Pombe kumbe hapana kaniletea vya kuengeza dama mwilini ''mbuta nanga'' hahahhahaa'' Alafu aliniletea vinywaji vingi na Biskuti Im so loved'' huo ndiyo Umoja wa Watanzania wenzangu '' na Wale WA CCM 'wenzangu ''Mlio nipigia sim kunipa pole pia Asnteni sana najua wengi tuna majukum na sijakaa hospital kwa Muda mrefu ''lakini hizo sim zenu kwangu was more like kuja kuniona'' CCM OYEEEEEE''TANAZANIA MOJA!!
Hapa ndiyo penyewe yani unaweza kusema hivi upo Hospitali ? Yani misosi ni kama upo 5star Hotel '' sitaki kusema i cant wait to be back ''maana siyo pakuchezea kiugonjwa '' but yes is the Best Posh Hospital in London '' Alafu hapa unajichagulia unachotaka wanakuletea na menu kabisa kabisa'' asubuhi unachagua lunch na jioni '' so lovely ''
Flora Lyimo was here on 14.7.2014 na hata kaa asahau how every one in UCL Hospital is Friendly ''na how the Hospital is more like a 5 star Hotel''mbuta nanga!!
MY SHOSTITAMU AKIFANYA YAKE'' |
Yani mpaka Redio mbao ipo '' hakuna mtu kupitwa maumbea kabisa'' |
THE VIE FROM WODI YANGU ''MWAONA MAMBO YA HII POSH LONDON HOSPITAL EEE''UKI UMWA WAHI HAPA JAMANI UTAPONA GAFLA '' TIRIRIKA NAZO MPAKA MWISHO NI PICHA NILIZOPIGA NIKIWA NDANI YA CHUMBA CHANU aka WODINI KWANU''
ON MY WAY HOME''' HAKUNA KAMA MUNGU ''ONA THAT VIEW''
HAPA NDIYO NASEMA KWA HERI MY WODI '' NITAKWENDA KUKUADISIA DUNIA IKUJUE'' HAHAHHAAA'KANITANGAZEEEEE'''
SIYO YAKUSAHAU KABISAAA'' HIYO PIA NI SAA YA UKUTANI WODINI KWANGU ''
THE MAN WHO MAKE IT HAPPEN ''YANI NDIYO UNA AMBIWA SIR ROBERT NAYLOR'' ASANTE SANA KWA KILA KITU SIR'' SOON UTAPATA MY FEEDBACK FOR SURE''
UNAPEWA NA WELCOME PACK ''HAHHAHAA''YANI HAWA WANACHEZA AU NINI ''UTAZANI HOTELINI JAMANI ''HATA HOTELI ZINGINE NI OVYOO''UWIII'' SUPERB'''
MY DEARS'' THIS HOSPITAL USIKOSE KWENDA IKIWA UNA UMWA'' IS THE POSH HOSPITAL IN LONDON ''
UNIVERSITY COLEGE HOSPITAL
235 EUSTON ROAD
LONDON
Pole na kuumwa mpenzi Flora wadau wako tumefarijika umepata nafuu na kutoka hospitali, sasa ule vizuri vyakula vya kujenga na kuongeza damu, mpenzi unafanya sana kazi mpaka unajisahau mwili wako unajua we mchaga ukiambiwa pound hata kula unaacha nakushauri ufanye vyote kwa pamoja kula ushibe ndio uikimbize pound. Pole sana Flora
ReplyDeleteTeheeee mgonjwa kakumbuka kwao na mbege ya kopo kwanza ya baridiiii. kwikwikwiiii
ReplyDeleteHii hospital kiboko. i wish kungekuwepo na hospital kama hii Tz
ReplyDeleteNimependa hiyo radio mbao. inanikumbusha mbali enzi za kuchuma kawaha kule mndenyi ila hii inaonekana zuri zaidi. Vipi inatumia batteries?? teheee
ReplyDeleteMimi ndiyo nimesituka kuona ulikuwa mgonjwaa...sijuii mamii wangu poleee Mungu atakuondoshea maradhi inshaallah. AMEN..
ReplyDeleteanonymous of 12.26...HAHAHAHAA ,YANI UMEONA EEE''HATA MIMI ILINIKUMBUSHA HOME TUKICHUMA KAHAWA TUNAIWEKA JUU YA MTU WA KAHAWA'' HHAHAHHAA..NA INATUMIA BETRI NA UMEME PIA...YANI NI NOMAAA....
ReplyDeletewe ni mshamba kwa kweli ndio mara ya kwanza kwenda hosptal kama hizo nini?? ulitamani usiondoke maana ni pazuri kuliko kwako
ReplyDeleteim glad you are well miss Lyimo...aka mrs Ezden mbuta nanga..
ReplyDeletethanks God you are well miss lyimo aka mrs Ezden mbuta nanga..
ReplyDeleteMungu awe pamoja n ww uponeeeeee.yaaani kimaombi tupo pamoja..wewe ni mkombozi wetu kiuchumi.
ReplyDeleteUwii Flora nimesahauje kukupa feedback.I got the bags,thanks a lot.Everyone of my friends and sisters wants them and they can't believe the price! Get ready for some orders .Haiye sana na kuumwa.
ReplyDeleteFlora Lyimo kweli wewe ni mwanamke JEMBE LA WATANZANIA'' sikuzingatia kupokea mzigo wangu wa mabegi na kumalizika in 2 days'' Mungu akuponye na kukuepusha na wenye chuki na maendeleo yako '' NA WAKEMEA KATIKA JINA LA YESU''
ReplyDeleteMamaaaaaaaaaaaaa''Nimepata mzigo nimefurah mpk kichwa kinauma,hofu yangu wateja zangu watanibemendaaaaaaaaaaa.sijui nimuonyeshe nani nani nimwache.
ReplyDelete