KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 2 July 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * HIVI NI KWANINI BAADHI YAWANAWAKE WANAFIKIRI KUMZALIA MWANAUME TAJIRI HATA AWE KIBABU NDO KUTAJIRIKA ? HEBU MWANGALIENI HUYU SASA ANADAI ANA MIMBA NA MKAKA WA WATU NA HUKU WAMEACHANA NA HAMTAKI !! MBUTA NANGA"

*MKILETEWA HAPA NA FLORA BAHATI LYIMO*

The daddy: Hapa akilia baada ya kushidwa mpira wajana"
Baby bump: Mario Balotelli's ex-girlfriend Raffaella Fico has sparked rumours she's pregnant with his child after showing off her baby bump
Baby bump: Mario's ex-girlfriend Raffaella Fico showed off her bump last week, in Rome
She told the website: 'I went to a pharmacy outside Milan to buy a pregnancy test and I found I was pregnant. But I only told my mother and my brother.'
Balotelli's? The Italian model, who split up with the striker two months ago, was at a charity event when she showed off her bump and has reportedly said it is Mario's
Baby Mario: Fico told the striker ahead of the Italy versus Germany semi-final"
She said: 'Last Christmas, he told me, 'let's get married and make a son', and I accepted.' KUDADADEKI KWANI WEWE NI MUNGU NDO UNAJIPANGIA NA MTOTO UNAYEPENDA KUZAA...KITOMBI TOMBI NI KITOMBI TOMBI TUUUU"
Unfortunately the couple broke up after his numerous alleged affairs, but Fico, who was spotted showing off her bump last week in Rome, is certain things will be different this time.
She insists that she does not need money and never intended to trap a rich footballer,
As they were: Mario and Raffaella dated for a year until they broke up two months ago

As they were: Mario and Raffaella dated for a year until they broke up two months ago"

MISS FB FLORA BAHATI LYIMO SAY: This is so sad kwa kweli kuona WANAWAKE WENGI KUJIRUSHA kwaWanaume MATAJIRI" Wengine mijibaba mizee eti wakizaa nao basi watawaowa au watapata hela kupitia kwa watoto au mtoto watakae zaa nao ..kweli kumbukeni kuna Mungu hakuna haja kabisa kama hujampenda mtu na kuhakikisha pia kakupenda na kujidanganya kuzaa nae kwa njia yakumtega TRAP" ndo umefika..AND NYIE WANAUME UTOMBI TOMBI WENU NDO UTAWAFANYA MUELEKEE KUSIKO MAPEMA KABLA YA MIPANGO MLOPANGILIWA NA MUNGU" Na kuwafanya kina mama/dada kuchunana ngozi 'kwa kupigana na kudaiana wameibiwa waume /mabwana"Jueni kwamba siku yoyote Mwanamke anaweza kukutenda yani balaa..kuna kina dada wengi wapo  KI TRAP TRAP " anyway mie yangu macho "
Photos na mail online" Click order posts kwa habari zaidi"

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * FLORA BAHATI LYIMO FASHION POLICE OF 02/07/2012" THIS IS MORE LIKE IT "MADADAS WAKITANZANIA KWA MTAMBO HUU SOON HOLLYWOOD WILL BE IN TANZANIA " KEEP MAVAAZI UP KAMA HIVI NA WALE WALOCHAFUA MSIOGOPE KURUSHA PICHA ZAO ANYTIME TO flo1974@btinternet.com

Jamani nothing make me PROUD kama kuona my Tanzania Woman wakiwa kwenye mistari ilonyoooka hata kama siyo ya mbele"" and you my Dadas you have Prove to me and wale wote wanaokwenda kuchafua Chughulini kwamba wanafanyaga MAKUSUDI" JUST LOOK HOW YOU ALL LOOK LIKE MASTAR WA HOLLYWOOD" AND IM SURE MNAJISIKIA VIZURI NDANI YENU PIA"  AND KULIKUWA NA SHEREHE  NYINGI SANA MWISHO WA MWEZI HUU WA SITA..SO MORE PICHA TO COME FOR FLORA LYIMO FASHION POLICE" HASA WALOCHAFUA NI LAZIMA WACHAMBULIWE KAMA MCHICHA" MBUTA NANGA!! ILI NEXT TIME WASIMAME KAMA NYIE""AU NISEMA KAMA WALE WOTE WANAJISIKIA KAMA MASTAR WA HOLLYWOOD" NA KUTIMIZA DRESS CODE ZA SHUGHULINI AU HATA BILA DRESS CODE BUT KUVAA IPASAVYO"MONEY WILL NEVER MAKE YOU HAPPY .WHAT MAKE YOU HAPPY IS THE THING'S YOU DO WITH THE MONEY JUST LIKE MAVAAZI YENU HAPA.Miss FB"

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * MATOKEO YA BIRTHDAY YA OUR GORGEOUS BABY ROSHELLE ILOFUNGA MWEZI WA SITA" 30/6/2012 HII NI (ALBUM 1) CAKE TIME"KATA MGOMBA PATA NDIZI HASWAA!!

 MWANGA WA AFYA NJEMA,UPENDO NA MAISHA MAREFU !!BLESS YOU ALWAYS MY DEARS"


MAMA NA MWANA WAKI WISH WALONAYO MOYONI " HEBU SEMENI KWA NGUVU HATUWASIKIENI !!






AUNT SCHOLA WACHA KUMUUMA BIRTHDAY GIRL SIKIO " MBUTA NANGA!!!



PROUD MOMENT BIRTHDAY GIRL NA SHANGAZI YAKE"SI MWINGNE NI AUNT PILI"


PROUD MOMENT BIRTHDAY GIRLNA AUNT YAKE "
" SI MWINGINE NI MISS FB FLORA BAHATI LYIMO"TULICHEZAJE!!

kamalizwa kupambwa na kutoa shukrani "heshima yenu nyote kwa kunipamba  na kuja kwa my birthday party" I LOVE YOU  !!

Meza tiyari for the Birthday Girl Cake!!








Birthday Girl mmemuona kucha zake chezea yeye the lil Queen of Fashion "


 Hapa mapewi mtu cake " yani alinichekesha sana watu twamuimbia yeye anakula cake yake mwenyewe bila wasi wasi "

Hhahahaa hapa anafungua mdomo yeye mwenyewe utadhani yeye ndo anaeilishwa" huku Dad akihakikisha snap zinafetuliwa"

 MAANDALIZI YA CAKE YA GORGEOUS ROSHELLE YAENDELEA !!WATU WAMEKAAJE MKAO WAKUILAMBISHWA"





THANK YOU  MAMA ROSHELLE LOVE YOU SANA 'YOU ARE MY BEST FRIEND AND MY EVERYTHING "

 THANK YOU DAD ROSHELLE"YOU ARE MY BESTFREND AND MY EVERYTHING !!
 HAPA HAPAKUTOSHA KABISAAA...WATOTO WALOJAZWA NA FURAHA NA WAPOTAYARI KUIONJA CAKE YA BABY ROSHELLE" SO PROUD OF THEM "

 PROUD SHANGAZ MTU IN BLUE AND BLACK .. HAPPY BIRTHDAY SHANGAZI "
SNAP TIME MABLOGGER'S WANAFACEBOOK KWA SANA WAKIHAKIKISHA WAMEPATA KUMBUSHO HILI LA NGUVU"


 HII ILIKUWA NDO KAZI YA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO KUHAKIKISHA MBEGE HAZIPUNGUI ..NILIKUWA NA ZIJAZAJE KILA ZINAPOPUNGUA!! .USIMPE MCHAGA KAZI YA MBEGE JAMANI " NDO FULL KURIA RIA" MBUTA NANGA"  MY GIRL RHODA HABAHATISHI KAMA MISS FB MWENYEWE"
"SO PROUD OF MAMA & BABA ROSHELLE"

 MOTO UNAOSEMA NYAMA CHOMA ZA NGUVUUUUUUUUU!!
 TANZANIAN -LONDON VIJANA WANAO ONGOZA KWA JINZI " WAMETOKAJE!

PROUD MOMENT MBELE YA NYAMA CHOMA FROM (L) MISS FB & PILI a.k.a CHANGAZI YAKE ROSHELLE" SHE IS SO LOVELY  WHATS A FAB BIRTHDAY PARTY WITH FAB PEOPLE!!!
Photos na habari by:Miss FB Flora Bahati Lyimo "
" FOR MORE NEWS & PHOTO'S CLICK ON OLDER POSTS"

*IN YOU BEEN SNAP BLOG* LOOK OF 02/07/2012" FAB MADADA'S KATA MGOMBA PATA NDIZI HASWA" PICHA ZA EVENT HII YA BRIDAL SHOWER YA TAREHE 30/6/2012 ZAJA MSISAHAU KURUDI HAPA NYOTA ZANGU"

FROM (L) B "HARUSI MTARAJIWA DA'RAYA NA  MDOGO WAKE JACKY"
MY DEARS SASA MMEPENDEZA HIV  NA HII NDO KIONJO CHA HARUSI" NA HARUSI MTAPENDEZAJE"  CANT WAIT SIKU ZINAGANDAJE!!

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * TANZANIAN -LONDON TOTOZ ZISIZOISHA MAUTAMU " FULL KUPENDEZA 0N 30/6/2012 " AT BABY ROSHELLE NA MAMA BEE BIRTHDAY PARTY " MORE 300 PHOTOS TO COME!!

CHEZEA SIE HATUBAHATISHII" MY DDF " FROM (L) SCHOLA MISS FB AND RHODA"