KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 1 April 2014

BY FLORA LYIMO ~ ALBAM (1) ONA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA WALIVYOMIMINIKA KUKUTANA NA RAIS WAO WA JAMHURI YA MUUNANO WA TANZANIA MHESHIMIWA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ON 30/03/2014 AT WEMBLY PARK LONDON UK'

MSAFARA UKIANZA ''WATU WALIANZA KUMIMINIKA HAPA WEMBLY KUANZIA SAA SABA MCHANA'' WENGINE LABDA MAPEMA ZAIDI ,MAANA HATA SISI TULINUSIRIKA FUJO YA WATU WALIOTOKA MPIRANI AT WEMBLY STADIUM YANI TUNGESHELEWA KWA DAKIKA TANO TU''  SIJUI TUNGEPITAJE AISEE'' SHUKA CHINI TIZAMA MAFURIKO YA WAPENZI WA MPIRA HUKU UKIONA WAPENZI WA HM RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE WAKIELEKEA SEHEM ILIYOANDALIWA RASMI KWA SHUGHULI HIZI ZA JIONI HII'' MBUTA NANGA!!



YANI THIS IS WHAT YOU CALL LOVE''' WATU TULIANDAMANAJE KWENDA KUKAA KIKAO NA RAIS WETU''SI WATOTO ,VIJANA NA HADI WAZEE''WE WENT TO SHOW HOW MUCH WE CARE,,TUKIITWA TUNAITIKA'MHESHIMIWA RAIS ''TUNAKUPENDAJE''


AND THE FLORA LYIMO FASHION POLICE HAKUBAKIA NYUMA KABISA''ALIKUWA MSTARI WA MBELE TIYARI KWA LOLOTE NA CAMERA ZAKE ZAKUTOSHA''FANYA FUJO UONE (AMOSI WA UBALOZINI) MBUTA NANGA!! UPO HAPO EEEE''

WAREMBO WAKIENDELEA NA SAFARI''NDIYO PALEEEEEE''MNAPAONA EEEE''

FANYA FUJO POMBE MLIZOLEWA KABLA YA KUINGIA UWANJANI KUTIZAMA MPIRA HUU''ZIWATOKEENI PUANI'' AISEEE'POLICE HAWA WAPO JUU YA HILI DARAJA LA KUVUKIA WATU  NA MAGARI '' ILI KUCHUNGA USALAMA''YANI UKIWA HUKO CHINI HUNA HABARI HUKU JUU UNAMULIKWAAAA''


ONA SASA ALAFU HAPA NDIYO BADO YANI HAWA NI WA KWANZA KWANZA KUTOKA''
HAPA NDIPO WANAPOLEWA POMBE ZAO KABLA YA KUINGIA KUTIZAMA GAME YA MPIRA''YANI HAWA WATU WANAPATA HELA SANA AISEE''MAANA HAPA HUWA HAPATOSHI KABLA YA GAME'' SEHEM YOYOTE YENYE BAA KARIBU NA UWANJA WA MPIRA YANI NI DILIIII''HUWA WANAJAZA SANA NA PIA KUNA HASARA ZAKE PIA,,MAANA UNAKUTA UNAWATEJA WA PANDE ZOTE NA UNAKUTA HAWAPENDANI ILA LAZIMA WAPATE VINYWAJI KWA PAMOJA HAWANA NAMNA''

HAPA NDIYO PENYEWE KUTOKA NA KUINGIA KWA NJIA ZA TRAIN '' MAGARI MOSHI'

HAWA WAREMBO NDIO WALIHUSIKA KWA KUHAKIKISHA JINA LAKO LIPO AU HALIPO ON HIZO LIST ZAO WALIZO PRINT OUT ''NA KAMA HALIPO DONT PANIC''''YOU DONT NEED YOUR PASSPORT ALSO (HOME OFFICE HAWAHUSIKI HAPA) MBUTA NANGA!! JUST ANZA KUANDIKA MAJINA YAKO HAPA NA KUINGIA NDANI KUJISHINDIA KITI CHAKO''
BASI IKAFIKA ZAM YANGU '' JINA LANGU HALIKUWEPO JAPO NILIJIANDIKISHA ''SO MREMBO WETU HAPO AKANIULIZA JINA LANGU ,NIKAMPA FLORA LYIMO .BASI WAO WANATAFUTA WATU KWA JINA LA UKOO'' SIR NAME'S'' SASA KUMBE KUNA LYIMO WENGINE WAWILI AMBAO HAWAKUWA NI MIMI..KWA SABABU HIYO THEN SHE ASK ME JINA LA KWANZA ,THEN NIKAMWAMBIA FLORA .SHE THEN SAY .OMG'' WEWE NDIYO FLORA LYIMO MWENYE BLOG? I WAS LIKE ,YES'' OHH!!SO NICE NAFURAHI KUKUONA DADA FLORA ,KARIBU SANA , SHE WAS SO FRIENDLY AND I WAS SO HAPPY KUMFAHAM PIA.
 YANI HUWA NAFARAJIKA SANA NAPOKUTANA NA NYOTA ZANGU ,WAPENZI WANGU WA UKWEE NA KUANZA KUJITAMBULISHA KWANGU AU KUNIULIZA KAMA NI MIMI THE ONE AND ONLY SUPER STAR WAO WA UKWEE...I LOVE YOU GIRL I LOVE NYIE THE WAY MNAVYONIPENDA MIMI PIA''
PLEASE KEEP UP WITH FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'' ALWAYS MSEMA KWELI WENU'' GOD BLESS!!





THANKS GOD ''KULIKUWA KUNA NGOMA YA KUWABURUDISHA WATU NA KUJISIKIA KAMA TUPO TANZANIA'' NADHANI WENGI WENU MNAIFAHAM HII NGOMA YETU HAPA UK'' I WAS HAPPY KUONA HAWA WAREMBO WAKICHEZA BILA WOGA ''MAANA I DID BURUDISHA WATU KWA MY CHAKACHA DANCE PIA''AND I KNOW IF YOU DOING IT FOR THE LOVE HUWEZI KUWA NA WOGA WOWOTE'' NICE ONE MY DEARS''








HAPA NDIYO MAANDALIZI YAKIWA TIYARI SEHEM YAKUKAA WAKUBWA ZETU ''
Usikose kurudi kutizama Album zifuatazo maana nakuletea kila kitu kilivyokuwa na kilivyojipanga bila kuchanganya changanya na bila kusema Uwongo ''maukweli yote Flora Lyimo anayamwaga hadharanii''Picha zote pia ni kazi za mikono ya Msema kweli wenu   Flora Lyimo Fashion Police,Photographer,Fashion Designer ,Market trader and Blogger'
Follow this blog so usikosee anything soon as I post them''
Flora Lyimo Fashion Police Blog

BY FLORA LYIMO~ MATOKEO YA RED CARPET YA THE LAUNCH OF ZANZIBALICIOUS WOMEN GROUP' WALOCHAFUA WAMO NA WALOFANYA KWELI WAMO''' MBUTA NANGA!



Hii ni kuonyesha wazi kwamba Kina Mama tuna we--tunawezaaaa!! In Mama Salma Kikwete's sauti'' Flora Lyimo anasema Hongereni sana wote mlioifanya Shughuli hii kwendana na Hali iliyotakiwa ' Stay Bless always na wacha kazi ziendelee''
DSC_0243
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi. Mwanaidi Salehe (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Uwezeshaji, Bi. Fatma Gharib Bilal wakati wa sherehe za uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious uliofanyika mwishoni mwa juma ndani ya Zanzibar Ocean View.(Picha na Zainul Mzige).
DSC_0058
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious, Bi. Umul-kulthum Ansel (kulia) akipozi na MC wa shughuli Bi. Fauziat Abood (katikati) pamoja na mjumbe mmoja wa wajumbe Mariam Yusuph Otembo.
DSC_0063
Pichani juu na chini ni wageni waalikwa wakipata Ukodak kabla ya shughuli kuanza kwenye Red carpet.
DSC_0064
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0181
Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious Bi. Evelyne Wilson.
DSC_0185
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0027
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0028
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0190
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0194
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0199
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0031
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0085
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0094
Mtajuaje 'Anaga-Anagariiii? Mbuta Nanga ''pamoja na Funguo wake wa Gari mkonono 
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0095
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0100
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0107
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0110
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0113
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0150
mtajuaje anavaa Cheni za Miguu-miguuniiiiiii? Mbuta Nanga! Pandicha pandisha juu utuonyeshe na shaaa-shangaa',za Kiuno-Kiunoniii'hahhaaaa''
DSC_0161
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0163
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0155
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0233
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0239
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0238
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0168
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0170
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0178
Huyo wa katikati vipi,,mbona anatuchafulia shughuli yetu naona alidhani anakwenda kuota jua baharini kakosea njia jamani ''next time mvisheni ipasavyo kabla ya kumuongoza kwenye Red Ca-carpet Mbuta nanga!
DSC_0205
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0209
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0121
Wanaume pia walikuwe-walikuwepo na Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0165
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0071
Hivi huko Zanzibar kuonye funguo za magari ni dili eee'' naona baadhi yenu hapa mmepigwa picha mpo na funguo za magari mikononi''mbuta nanga!!
DSC_0075
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0226
Ukijua unakwenda kuchafua shughulini piga picha ukiwa peke yako kama huyu Kaka''Epuka kuwachafulia wenzako Picha zao''
DSC_0255
Sasa Kaka wa Kushoto vipi''Unaona unavyomchafulia mwenzio ''
DSC_0084
Flora Lyimo Fashion Police say~ SA-SAFIIIII"
DSC_0253

DSC_0069

DSC_0079

DSC_0264         
Safi sana Na hongereni sana ,Yani mnaonyesha siku izi wanawake kukaa vinbarazani na kusema watu siyo dili 'Dili ni kusimama kwenye Red Car -carpet na kuonyesha kwamba Kina Mama tupo juu juu zaidi kwa maendeleo na msikubali kupigwa na waume zenu alafu muamke asubuhi muulizwe mmefanya nini uso mbona hivyo 'kulikoni ? Ujibu nimeanguka mwenzio '' hahahaaa'' Mama Salama Kikwete Voice'' Yani aliwapa makavu live Kina Mama wa Kitanzania waishio Uingereza Makavu hayo jana Ubalozini UK alipokutana nao'' 
VILE VILE NAPENDA KUMSHUKURU SANA MPIGA PICHA HIZI'' ASANTE KWA PICHA''
Flora Lyimo Fashion Police Blog'