KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 25 June 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG* KUDADADEKI NATWEST -RBS YAWALALISHA WATEJA WAKE NJAA !! MISS FB FLORA BAHATI LYIMO (THE DESIGNER )AFIKIRIA JINSI YAKUZINDUA MASANDUKU YA KUHIFADHI PESA ZAKO MWENYEWE BILA KUWEKA KWENYE MASANDUKU HAYA YA MABENKI " MBUTA NANGA!! POLENI SANA WATEJA WOTEE!!

*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO*
No money: A mother with a baby passes a NatWest cashpoint which says millions have been left high and dry due to 'tecnical difficulties' in Olney, Buckinghamshire

No money: A mother with a baby passes a NatWest cashpoint which says millions have been left high and dry due to 'tecnical difficulties' in Olney, Buckinghamshire"

poleni sana mnao bank na natwest ,yani kweli ni balaa na sijui mtu utafanyaje unasafiri huna hela za kulipia nauli yako na hamna wakuipokea kadi yako ya sanduko la hela huku una njaa au una watoto kama huyu mama pichani na hata ukipiga sim hakuna atakae kusaidia KUDADADEKI .KUNA HAJA YAKUTUMIA MASANDUKU HAYA YA PESA KWELI ? Nadhani ndo wakati wa wateja kujiweka sawa na kulijiwaza juu ya uzinduzi wakuweza kupata LISANDUKU LAKO LA PESA NA KULIMILIKI PEKE YAKO "!!
Good to see that the offshoring of IT jobs to India is paying off for them.
Click to rate Rating 591
Perhaps NO BONUSES for RBS, Natwest and Ulster Bank Directors and staff will focus their minds on getting things right in the future. DON'T APOLOGISE - IMPROVE !!
Click to rate Rating 312
I bank with NatWest and my salary should have showed on Saturday but didn't. A quick trip to my local branch and within 15 minutes I walked out with cash. The staff were extremely helpful and pleasant, having to work extra hours and probably bearing the brunt of peoples anger, for something which is absolutely out of their hands. Yes it is inconvenient and would be nice if I had savings to fall back on but I would like to actually praise the staff who have to deal with the public and not sitting at the end of a telephone or hiding in their offices.
Click to rate Rating 304
With a house in Holland Park in London, a 350 acre estate in Oxfordshire, a chalet in a Swiss ski restort, and and massive fortine in cash, I can see that Hester is truly "sorry for the difficulties customers were facing". I hear the words but can't feel any sincerity in them.
Click to rate Rating 216
My partner's employer banks with NW. Her wages should have been in last Friday and here we are at 10.15 Monday morning and still no sign of them. Fortunately we have a small buffer zone of savings, but I imagine that many don't have that luxury. That said, we'll be in trouble if it isn't sorted this week. There is no way that, given a proper IT management system, this should ever happen. Nothing should ever be run live until it's thoroughly tested. Plus there should be a back-up system too (more than one really considering the vast quantity of incredibly sensitive and important data that the system must hold). How stupid can a company get!
Click to rate Rating 190
When asked whel will my wages show My branch responded with "when England win the football" Not amused
Click to rate Rating 182
Well RBS/Nat West, Stephen Hester where is your Business Continuity?? It is inexcusable for a software upgrade to be carried out without a fullproof back-up in the event of failure. I hope heads will roll and you will consider giving your customers some form of goodwill payment for the excessive inconvenience you have caused us! Just saying sorry is not enough!
Click to rate Rating 163
Huge profits over many years. Lack of investment in IT infrastructure, meant a software upgrade corrupted the system......companies with critical systems have back up systems to overcome this situation....The bank has only got itself to blame. How many customers are going to lose patience and move their account....oops hang on they cant even get money in let alone out.

Hizi ni baadhi ya maoni ya watu mbali mbali kuhusu masanduku haya ya mapesa kugoma kufunguka"
 kutoka MAIL ONLINE"

* IN YOU BEEN SNAP BLOG* MAHAKAMANI TANZANIA LEO 25/6/2012 LULU BADO AWASHA MOTO WA UMRI WAKE MAHAKAMANI KWA KUSABABISHA KIFO CHA KANUMBA!!!

Lulu Mtoto wa watu pole zake jamani yani Tanzania inatishaje.hivi WANAMSHIKILIA KWA MAUAJI YA KANUMBA KWA USHAIDI UPI ??? KUDADADEKI TANZANIA SHERIA ZINATAKIWA ZIENDESHULE UPYA !!!

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * JUST MARRIED " GORGEOUS BIBI HARUSI MORE PICHAS ZINAKUJA USIENDE MBALI !!!


Ndo mie nipo tiari kwenda kwa mme wangu " CONGRATULATION'S MY DEAR ANITA " Mungu akulindie NDOA yako and BE BLESS ALWAYS WITH YOUR FAMILY !!

My ANITA LOOKING GORGEOUS ,basi bana USHAAGA KWA KINA RWEBANGIRA FOR GOOD "NALIAJE MBUTA NANGA!!!

Haya ndo mambo ya Harusi za ukweli na zenye watu waukweli "mwapaonaje pahali pake nyota zangu  hasa wa London mpo"" MORE PHOTO'S COMING SOON SO USIENDE MBALI!!!

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * TODAY 25/6/2012 NI SIKU YAKE KUU ALIPOZALIWA MTANZANIA WA UKWELI MWENYE KUPENDA MAENDELEO SIYO KWAKE TU BALI KWA WATANZANIA NA ULIMWENGU MZIMA WILLIAM J.MALECELA " SOMA MACAHACHE ALOYASEMA MARA TU,ALIPOCHAGULIWA KUWA MUWAKILISHI WA WAZAZI " FLORA BAHATI LYIMO SO PROUD OF YOU AND WISHI YOU A VERY HAPPY BIRTHDAY BE BLESS ALWAYS" LE MUTUZ!!!

@ W'S EXPERIENCE: Ok let me break it down, ha! ha! ha! LE Mutuz jana nimechaguliwa kuwa muwakilishi wa wazazi wote wa kata ya Kivukoni, including Rais wa sasa wa Jamhuri, Rais Mstaafu Mkapa; Meya Masaburi; Waziri Mkuu mstaafu Warioba; Waziri Mkuu mstaafu Malecela; The great Manji; The great Rostam na wengineo wengi sana viongozi wa zamani na sasa wanaoishi eneo hili la Ocean Road, Seaview, Ikulu,... na Upanga; wote ninawawakilisha kwenye mkutano mkuu wa Mkoa!!
- HOPE NIMESAIDIA SOMEHOW MAANA LIMEKUWA NI SWALI KUBWA SANA SINCE JANA NA PIA NAGOMBEA TENA ON THE CCM'S SIDE IN TWO WEEKS SO THE CAMPAIGN IS ON NAWASHUKURU SANA ALL MY CAMPAIGNERS love you sana people na I believe in you, ndio kwanza tumeanza!!! - Willie!!


@ W'S EXPERIENCE: Hakuna binadam wanaokera kama WANAFIKI; wanakutafuta wakiwa na shida tu; sasa wamesikia nimeshinda kidogo wameshaanza tena, niliposhindwa EAC wakaingia mitini leo nimewashitukiza na kugombea Mkoa, haoo wameanza tena mbio kama sio wao! tena bila hata aibuu!! ha! ha! ha! ha!
- JAMANI NINAWAJUA WOTE WALIOSIMAMA NA MIMI HATA BAADA YA KUSHINDWA EAC, TENA NAWAJUA KWA MAJINA; WALE WANAFIKI WACHENI JUST GO SIWAHITAJI KWENYE MY LIFE AND I MEAN IT, NENDENI SALAMA NA MIMI MNIACHE KAMA WAKATI ULE MLIVYOKIMBIAAA! HA! HA! HA! USIKU MWEMA PEOPLE!! - William.

For more of Malecela go to www.williammalecela.blogspot.com

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * THE TANZANIA -LONDON QUEEN OF STYLE MISS FB FLORA BAHATI LYIMO DANCING THIS SONG P Square Ft Akon & May D - Chop My Money [Official video] AT O2 ARENA 23/06/2012" WHAT'S A DANCE!!












 
Miss FB Flora Bahati Lyimo SHOES BY : STEVE MADDEN Get your Designer Shoes at *YOU BEEN SNAP BLOG* When you cant find it there!! Tell:07405584555" Email: flo1974@btinternet.com