KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 27 August 2012

*IN FLORA LYIMO BLOG* SOON TO BE BORN "KIKI'S FAB BABY SHOWER !!

The cake inaonekana tamuuuuuu...yummy !!



 Hapa ndo kwa Mchagga Flora Lyimo yani ndo ugonjwa wangu huu"si mchezo KIKI WELDONE!UMEFANYA KWELI MNOOO"

 HAPPY EVER BABA NA MAMA TO BE!! NAWATAKIENI KILA LA HERI WAPENZI"


 hahhaaa,jamani na vimkanda vyenu mmpendezaje,,mtazani mnaigiza vile!! 


 Kiki umependeza mno I love the Dress yani so so You!! 

 Mwanamke Accessories asikudanganye mtu " pendeza na mabegi yenu sanaaaa!!

kweli naona mambo yapo huko I cant wait kutia nanga soon !!
Kwa picha zaidi mtembelee hapa" KIKI'S FASHION"
www.kikisfashontz.com


*IN FLORA LYIMO BLOG* HAPPY PEOPLE HAVING FAB AUGUST SUMMER BANK HOLIDAY UK 2012 AT VICKY & JOSEPH MATONDAS HOME!! (Album 1) GORGEOUS WATOTO ZAIDI"!

 Mzazi lazima apate chakula cha moto na chakumfanya awe na ngguvu na watoto kujipatia maziwa ya mama kwa wingi" hapa MPORA anapata machalari kapikiwa na wifi yake Flora Lyimo" ...

 Yani hapa hebu mtizameni Mama wa Mapacha (Vicky ) kulia pichani hapa tumbo limekwenda wapi ...yani lazima niondoke hapa na hiyo siri " la" sivyo siondokiiii""



 SAY TOTOOOOOOOOOOOO.........TOOOTOOOOOOOO!!!





 Kama wataka mmoja wa mapacha hawa weka mkono juu" yani si mchezo Mapacha "





 Hahahhaaaa.yani unabahati sana jamani wewe ndo umeamkiwa hadi na kichekoo!! na mnafananaje na Nicole"
















Aunt Mary akiwaza akambebe Pacha yupi " jamani wote wakianza kulia sijui itakuwaje ama kweli nawapongeza sana Mama na Baba yao wanafanyakazi nzuri mno"na Mungu azidi kuwaongoza"














Happy people having FAB August summer bank holiday UK 2012" more photos to come so make sure umerudi maana zitakuwa za MAPOZI YA NGUVU ""