KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 11 August 2011

* YOU BEEN SNAP * MY DAYS BIRTHDAY ZAWADI .OUT & PROUD WITH FULL PROTECTED BY LANCASHIRE POLICE IN LONDON (FFU ) 10-08-2011" LOVE YOU MY ADMIRE OF ALL THE TIME" XX"

Mkifyonza hakikisha nimewasikia ...kwa wale mlio na zawadi zangu za my Birthday ,yah, bado napokea ,mchagga mie nilazie dam zawadi zangu ..hapana kabisa, anywa hapa ndo nimetoka kuchukua zawadi zangu toka kwa good friend and my admire of all the time with full protected by LANCASHIRE POLICE IN LONDON ( FFU)..cha huhim na ambacho nazingatia mimi ,ni kwamba, mlango wa mbele ukifugwa wa nyuma upo wazi,  mmoja akikuchukia ,wawili wanakupenda na wanne wanakuadmire..Ukinisusia wewe hanisusii mola wangu kamwe, na BILA KUSAHAU , UNAPOKITUPA CHOMBO CHAKO ,JUA WAKO WENGI WAKUKIOKOTA..WAACHE WAKIOKOTE ..NAO SI MUDA MREFU BILA KUFAHAM NI KWANINI KILIKUWA KIMETUPWA HICHO CHOMBO" Miss FB aka Flora Bahati Lyimo, Kalitupilia mbali chombo aloliokota,baada ya kuona MUOZO WAKE..hata ukisuguliwa kwa jiki haukuwa una bling bling Ipasavyo, bali kuzidisha muozo " SO GOODLUCKY KWA ALOOKOTA CHOMBO HICHO KILICHO OZA , NA KAMA KIMERUDI TENA KULE KILIPOANZIA KUOZEA ,MIE SIMOOO""..Mbuta Nanga!!






MY ZAWADI...THANKS SO MUCH MY ADMIRE...ME LOVE YOU LOTS !


NDO MANAKE, KUMECHISHA BADALA YA KUZUIA "





THE LOOK AND SMILE OF PROUD !!












THE LOOK AND SMILE OF PROUD"

WEL DONE MY DEARS, SO PROUD OF YOU ALL""


No comments:

Post a Comment