YANI SIJUI MNGELIKUWA AFRICA NA ZILE NCHI NYINGINE ZA JUA KILA SIKU SIJUI MNGEVUA NINI TENA APO" Mbuta nanga!! |
WAZUNGU ULAYA NA JUA LAO LINAWAKAAA!!! |
Jamani hebu ona sasa, hapa ni katikati mlangoni ,kuingilia hapa mahali, kwa hiyo mpaka uingie ufike kwenye baa kuagiza kinywaji ni kazi kweli kweli, si ni bora kukaa nyumbani " |
HUWA TANGU NIJE HAPA ULAYA, NAJIULIZAGA SWALI HILI .. Hivi ni kwanini wanzungu wengi huwa wanapenda kusimama kwenye mabaa wanapo pata mbege zao" |
No comments:
Post a Comment