KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 10 August 2011

* YOU BEEN SNAP * YAWALETEENI HABARI YA KUKETI CHINI MKEKANI NA KULA MSOSI WA MESEJI NDANI YA CHUPI KUTOKA KWA MMKE MWENZA!!

SALAM WADAO WANGU!
Hivi ndivyo ilivyokuwa..wacha niwatandikieni mkeka ,haya naweni mikono ketini chini tuanze kuula.msosi huu, mana si msosi wa kuweka mezani tiyari kwa kula  kwa kisu na uma.
Yani inawezekana kweli uwe unaishi na mpenzi wako /mme wako ndani ya nyumba utoke uende safarini kurudi umkute eti keshaondoka na kachukua kila kilicho chake, na  ndani ya kabati lako la nguo za ndani UKUTE KUNA CHUPI ISIYO YAKO NA INA KIKARATASI KIMEANDIKWA , MKE MWENZA ALIKUWEPO HAPA..!! si ni maajabu hayo jamani , je nyie mwaonaje ? na ukimtafuta mpenzi huyo /mme huyo hapatikani na aliko hufaham nawe hukujali kwenda kituoni kwani yeye mtu mzima na ugomvi mlikuwa hamna ndani ya nyumba , kituoni waenda kufanya  nini ? sasa basi mke mwenza huyo"
 ( aloachiwa chupi na maandishi hayo ) anaendelea na maisha yake na kwa sababu yeye anaamini Mungu na kusali sana , anaamini kwamba malipo ni hapa hapa Duniani na vile vile kila kitu kinachofanyika hufanyika kwa sababu zake, eidha ziwe mbaya au nzuri.HAYA WADAO HICHO NIKIONJO TU, CHA KILICHO MPATA MWENZENU, JE NYIE MWAMSHAURI VIP ? AENDE KITUONI , AU AACHANE NA HUYO MPENZI WAKE/MME WAKE?  KUCHANGIA ( MAONI YAKO )NI BURE NA VILE VILE HUWEZI KUJUA KESHO INAWEZA IKAWA KWAKO..COMMENT ZOTE ZITAONEKANA HAPA NA PEMBENI KULIA MWA BLOGU HII..
KARIBUNI SANA AND STAY BLESS ALL"
mwenye you been snap blogu.
Miss FB "aka" Flora Bahati Lyimo"

1 comment: