KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday 5 November 2011

* YOU BEEN SNAP* SOMA UTAPELI WAKUTOKA KWA BAADHI YA TOP TAPELI's IN NET's" KAMA MNAWEZA KUKUMBUKA HII PICHA YANGU HAPA,YA MWAKA 2007. YANI NILIDHANI NIMEPATA MWANAUME WAKUNIOOWA NA KUOLEWA HUKO FACEBOOK" SIUNAJUA TENA UNAPOKUWA NA LONG MAPENZI ALAFU MUACHANE.YANI HAPO NDO NILIKUWA NIMEACHANA NA MZUNGU WANGU WA 7YRS" NIKAONA SIWEZI KUKAA PEKE YANGU BORA ATAKAEKUJA NIJIISHIE NAE.NANIKIMPENDA AKITIA VEMA MABOX 10/10 AU 8/10" WHY NOT""!!

KUDADADEKI,,MY DEARS AMKENI ,MKIJUA KITU MUELEWESHE NA MWENZIO.
;.MIMI HUM FACEBOOK NISHAOLEWA HUM HUM NA NIKAFIKIRI YES!!..NILIPATA MME IN 2007...YANI ASIKUDANGANYE MTU HUM FACEBOOK ETI ATAKUOWA ,NI WEWE TU , ANAKUJA TANZANIA SOON MUOWANE,,au anakuja hapo ulipo muowane"NYOOO" WAONGO .MADADA'S WANGU MSIKUBALI HUM NI MATAPELI ..SASA MWANAUME HUYO ATAWAOWA WANGAPI?..ALAFU ETI MPAKA ANAJIFANYA UWE NAYE IN -RELATIONSHIP..NIWATAPELI JIHADHARISHENI ..MIE NISHAWAGUNDUA .MBUTA NANGA" NA MAJINA MKITAKA NITAWATAJIA, ILA NDO ZAO.KILA SIKU NI KUBADILISHA MAJINA.KWELI WATANZANIA,NI NOMA.NAWAPENDAJE KAKA'S NA MADADA'S.. KWELI TUPO JUU KWA MAMBOOOO.YOOTE.ULIMWENGUNI"

SABABU ZAKUWAANDIKIENI HIKI KIJIMAMBOZITO NI KAMA IFUATAYO WADAU "
Kuna mdada fulani anayeniita kama dada yake huko facebook .kaniomba nimfuatilia kaka mmoja ambaye Yupo huku UK. huyo kaka mimi namfaham sana ,yani kwa hodari kwa kuwadanganya madem, eti atawaowa na hana dem yupo single .sasa mimi sikutaka kumvunja roho yake huyo dem, kwani eti huyo kaka kamuambia anakwenda bongo mwizi wa kumi na mbili Mwaka huu akamuowe..na mimi kaniambia hivyo hivyo anataka kuniowa hivi majuzi mwezi ulopita, ila mimi nikaogopa na nikamgundua kwa pale nilipoona ,madem wengi WAKIWA NA VIJIMAMBOZ VYAKE" wengine wameweka wapo kwenye mapenzi nae, wengine wamejiweka MRS....,wegine wamemuweka picha yake kama profile picha yao ,alafu yeye nihodari kudelete picha zake na kuziweka zingine na kuzirudisha yani ni nomaa". sasa mimi nashindwa kumuelewa .mbona anawaharibia madem time zao..yani mimi nilimpigia sim , nikamuambia hivi mbona wafanya hivyo ??..AKANIPA JIBU KAMILI NA NILILIPENDA.MAANA HAPO ALINIPA RUKSA YA KUAMUA KUPANDA NAE AU KUSHUKA NAE.>>>na nikaamua kuchuka nae,,nilimshushaje!!
"JIBU LAKE LILIKUWA HIVI."
Eti yeye yupo hapa Duniani kuwatumikia wanawake wote kimapenzi "
Haya Wadau ,habari ndo hiyoo.. wacha comment zenu HAPA na siyo za matusi lakini"ZA MATUSI HAMTOZIONA"

3 comments:

  1. Flora
    yule shemeji yako wa siku zote tumeacha
    ambae tulikuwa tutayarisha matamasha pamoja enzi zile
    anatabia ya kuchombeza wasichana facebook
    keshatapeli wengi sana
    nawasikitikia sana anaowadanganya maana sio muoaji
    kama ameshindwa kunioa mimi hataoa maisha

    ReplyDelete
  2. 09;54 Anonymous, YANI WEWE ACHA TU,,,ILA ANAISOMA HII NA KWENYE FACEBOOK, NA WALE MADEM KAMA HAWASIKII SHAURI LAO..ILA NDO HIVYO MIE NILIFURAHI ALIPONIAMBIA UKWELI ..SI UNAJUA MIMI SIWABEMBELEZI NAWASOMA KAMA TAREHE YA APPOINTMENT"

    ReplyDelete
  3. kudadeki
    mie nishaolewa london na houston
    fix tupu

    ReplyDelete