WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA KUANZIA (kushoto) MH.BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA PETER A.KALLAGHER ,RAIS WA IREND MICHAEL HIGGINS NA MAMA BALOZI JOYCE KALLAGHE" |
Alimkumbuka Baba wa Taifa, Marehemu Mwalimu Julius Nyerere kama mtu shupavu aliyeijengea Tanzania misingi thabiti ya kisiasa na kiuongozi"
Aidha alikumbuka uzuri wa Tanzania na wananchi wake, alioushuhudia alipotembelea Kilosa, mkoani Morogoro miaka ya 1980. Katika shughuli hiyo Balozi Kallaghe alisindikizwa na Mkewe Joyce na Afiisa wa Ubalozi Amos Msanjila. Pamoja na kuiwakilisha Tanzania, Uingereza, (United Kingdom) Ubalozi wa Tanzania London unaiwakilisha nchi pia huko Ireland"
Tanzania ni moja ya nchi saba tu zinazopata misaada ya kimaendeleo toka Ireland, hasa kupitia taasisi yao ya Irish Aid. Nchi zingine ni Ethiopia, Lesotho, Malawi, Msumbiji, Uganda na Zambia."
woow she look FAB miss fb nimekubaliana na wewe Joyce mama keep it up na tupe hiyo siri ya urembo huo I love the dress on you soo much"
ReplyDeletethanks for the good news flora ,and weldone to our Balozi kwa kutuwakilisha huko Ireland"
ReplyDelete