Kuanzia kushoto Miss FB Flora Bhati Lyimo Trader and Designer akiwa na New Friend wake at CFAB eventThe Gorgeous Ana Irene Delgado (Ambassador of the Republic of Panama" |
Kolanuts for you madam!! is free ...but nichunguuu.na hazina utam wowote".hahaha kweli cha bure kiogope...mbuta nanga!! |
nikijaribu kofia hiyo pia ni hand-knit" |
For how much dear!! |
huyu ni Mwanaume" |
huyu ni Mwanamke"na block rangi zake" |
Wacha niwape ushauri mdogo na wabure kwa wale wafanya biashara hasa ndogo ndogo kama mimi hapa" Biashara yako inaweza kufana kwa pale utakapoifaham kimtaa au niseme kimahali pa kuifungua au pakuuzia na watu unaowauzia ni watu waaina gani" na je vitu hivyo ni vitu ambavyo wanavitumia ? au wanaweza kuvitumia watu hao ?..wewe usiuze mbege sehem ya wasotumia mbege" hutauza chochote hata kata moja au chupa moja kwani upo sehem isokuwa ya biashara yako..hapo ndipo wengi wetu wanafanya makosa na mwisho wasiku kuishi kwa wasi wasi wakidai kwamba WAMEROGWA"Mimi nimejifunza haya yote kwa kampuni niliyokuwa naifanyia kazi kwa miaka saba(7years)nikiendelea kuwapa Siri hii"
Mimi hivyo vimdoli nilivyoviona na pia maana vinaendana na my Design nilijua hapa lazima nitapata hela kwa kuwauzia Waarabu Ulaya" London " sasa wakaniuzia wawili Mme na Mke kwa £10. mimi nimeshauza kadhaa kwa sasa hivi na nimewauzia Mke na Mme kwa £40. sasa kama vipi ingelikuwa ni mahali kama Selfriges Mnadhani ingelikuwa how much ? acha maoni yako kwani unaweza msaidia MFANYABIASHARA AU NISEMA SISI WAFANYABIASHARA"
Ama kweli Akili ni Mali " na namshukuru sana Mama yangu Augustina kwa kunifundisha jinsi yakupata hela yako mwenyewe na bila kuwatagemea watu hasa wanaume" kwani utaishia kuangamia na bila kuwa na haki yakuweza kusema usikike katika unyumba wenu "utabakiwa kunyanyaswa na huku akizigawa hela zake kwa wanawake wengine watafutaji nawewe ukiumia tu" kwani hata kwenye baa utamkuta na hao wanawake watafutaji na hutoweza kumuuliza chochote" kina MAMA/DADA jueni kwamba kama Mungu kakupa mikono na miguu.unaweza kufanya mengi sana " wewe angalieni vitu hivyo vingi vilivyokuwa vyauzwa hapa CFAB event " vilikuwa ni vyakutengenezwa na mikono hasa na Wanawake zaidi"
No comments:
Post a Comment