Amini usiamini
Patrick Mafisango Mutesa hatunae tena Duniani. Habari nilizozipata zinasema
kiungo huyo wa Simba amepata ajali ya gari maeneno ya Tazara wakati akijaribu
kumkwepa mwenye pikipiki na kwa bahati mbaya gari lake likakosa balance na
kuingia mtaroni na hapo ndipo alipopoteza maisha yake"
Miss FB Flora Bahati Lyimo " say: Mungu wangu hapa ilikuwa ni mwendo wa kiasi gani ?
Ama kweli haya magari haya ,bila kuyatumia kwa uangalifu yatatumaliza wengi au kutumalizia mashujaa na watu tunaowahitaji hasa kwenye Nchi yetu Tanzania"
No comments:
Post a Comment