Nahitaji Tailor Mtanzania awe Mwanamke au Mwanaume ambae anajua kushona Fasta Fasta " Fundi wa kushona nguo kwa mashini manake" kwa hiyo ikiwa wewe ndo ninayemtafuta kwa maelezo yangu ya Ufundi wa Nguo wasiliana na Flora Lyimo .WhatsApp or call: 07787471024 ila awe anaishi UK" hasa London' siyo kama sina Fundi ,ninae huyu SUPER FUNDI WANGU 'Ila nimeona kwa sababu nahitaji haya Mabegi kwa wingi na pia ningependa kufanya kazi zangu na Watanzania ili nasi kuweza kujivunia Nchi yetu Pamoja ;ni vizuri nikiwa na Wafanyakazi ambao ni Watanzania wenzangu " Thanks so much "
JE unaweza kunishonea haya mabeg? nayahitaji mengi Fasta fasta na yanashonwa kwa kuridhisha A-List Celebrity" KI'LONDON ZAIDI"
No comments:
Post a Comment