KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 23 March 2013

OUR LONDON TODAY "23'03'2013 (ALBUM 1) BAD WEATHER SNOW SNOW NA FLORA LYIMO YOUR TRADER KAPATIKANAJE'MBUTA NANGA!!

 Under my Umbrellar today ,day ,day "Mbuta Nanga!!
 Mtoto wa Kichagga Ulaya nilipatikanaje kwenye Snow leo ,ila uzuri wa Mwanamke Handbag na usitoke bila Handbag faida yake ndo hii ,usiache kuweka Mwavuli(Umbrella) yako kwenye Beg lako pamoja na Rozari" yani huwezi jua dakika yakuvihitaji" kwangu Mimi hivyo ni baadhi ya vitu viwili ambavyo havikosekani ndani ya my Handbag"
 Mwawaona wasobeba Umbrella walivyopatikana ee,wanajutaje sasa" 

 Hapa ndo natoka home kufunga Mlango na kutizama ule mnara wa Kanisa nasalije Kimoyo moyo " Mungu ni mwema sana hasa unapolitaja jina lake pale usipo na shida bali kumshukuru"Aika Ruwa Mbee!!

Bad London Weather today " na mnara wangu wa furaha na wakumfikiria Mungu ndo ulee"  napenda sana mtizamo huu wa nnje ya my Blessing Home"
DO YOU HAVE PHOTO'S OF TODAYS 23.3.2013 WEATHER ? JE ULIPATIKANA NA SNOW YA LEO AU YA MWAKA HUU ? SEND US YOUR SNOW PHOTO'S TO flo1974@btinternet.com

No comments:

Post a Comment