- HARD TALK ~ YOU CAN COMMENT OR YOU CAN LIKE OR UNAWEZA KUSOMA KIMNYA KIMNYA''LAKINI MWISHO WA SIKU NISHASEMA'' NA USHASOMA'' FLORA LYIMO ALWAYS TELL YOU THE TRUTH '' SO I DO THINK FOR OUR MHESHIMIWA BALOZI WETU WA UK ''TO DECIDE NOT TO ATTEND THE TANZANIAN INDEPENDENCE CELEBRATIONS ON 07/12/2013 KUSHEREKEA NA WATANZANIA WENZAKE WAISHIO UK 'WAS A BAD ONE EVER '' YEYE NI BALOZI WETU NA HII SHEREHE I...LIKUWA NI YA MUHIM SANA YEYE KUHUDHURIA KAMA ANAVYOFANYA MIAKA HIYO ILOPITA 'HUWA ANASHIRIKI NASI ,NA HUWA KILA MWAKA HUFANYIKA HAPA UK NA KUHUDHURIA NA BALOZI MUHUSIKA AT THE TIME IN UK'''
NOW IS YOU WATANZANIA NA VIONGOZI WA JUMUIA UK 'KUJIPANGA UPYA MAANA HII ISHAPITA SASA,'' HILI JAMBO MNALIONAJE '' AND WHY KUHUDHURIA MAMBO MENGINE MBALI NA YAMUHIM YA OUR TANZANIA INDEPENDENCE ? TUNAMPENDA NA TUNAMHESHIM SANA MHESHIMIWA BALOZI WETU OF NOW IN UK KAMA WENGINE WOTE NA VIONGOZI WETU WOTE PIA'' YANI I WAS SO DISAPPOINTED KWA KWELI ' WE NEED TO COME UP WITH A MKUTANO WA WATANZANIA WOTE UK NA KUYATATUA HAYA MAMBO '' BUT MIND YOU ''UNAWEZA KUHUDHURIA MIKUTANO YAO THEN YOU END UP BEEN RAPE LIKE MBUNGE WA ARUSHA GODBLES LEMA DID TO ME''HAWA NDIO BAADHI YA VIONGOZI WETU TANZANIA'' AND CCM WENYEWE WANAODAIWA KUNITUMA WAMENYAMAZA KIMNYA KAMA HAWASOMI MAGAZETI YA TANZANIA NA WALA BLOG YA FLORA LYIMO NA BLOG NYINGI ZA TANZANIA PIA'''YANI KUSEMA KWELI SITACHOKA KUWAAMBIENI UKWELI WENU MPAKA SIKU NITAKAYO KUFA'' DAADHI YA VIONGOZI WA CCM NI WANAFIKI WAKUBWA '' BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA NI WABAKAJI NA WATU WANAVURUGU VURUGU '' NISHASEMA YANGU NANYI SEMENI YENU ''KWA MATUSI MAPYA ONLY PLEASE..MAANA BAADHI YENU WATANZANIA WENGI KWA MATUSI NI HODARI SANA''' MBUTA NANGA!!
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Tuesday, 10 December 2013
BY:FLORA LYIMO ~ OPEN FEEDBACK OF TANZANIAN INDEPENDENCE CELEBRATIONS IN UK 07/12/2013 'WHATS A DISAPPOINTING FROM YOU OUR MHESHIMIWA PETER KALLAGHE BALOZI WETU WA UK '' WATANZANIA WENGI WAISHIO HAPA UK WANAPENDA KUJUA NI KWANINI UKACHUKUA JUKUM LAKUTOKUJA KUSHEREKEA NA WATANZANIA WENZAKO NA BADALA YAKE 'UKAHUDHURIA SHUGHULI ZINGINE WHICH SIYO ZA MUHIM KULIKO OUR TANZANIA INDEPENDENCE,AND IF YOU HAVE TO ATTEND' THEN UNGEHUDHURIA ZOTE,,ONE WAS MCHANA SIJUI ASUBUHI NA INGINE WAS JIONI !!HAPA NI MPANGO WAKUJIPANGA TU MHESHIMIWA BALOZI ''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Flora Lyimo upo juuu'yani hata mimi i was disappointed sana''watanzania tunaelekea kubaya na tunaangushwa na viongozi wetu'
ReplyDeleteflora dada yangu kuna vitu vingi sana hujui kuhusu hii shughuli 'pengine unatakiwa kumuuliza balozi kwanza.......but all in all'' nakupenda for your confidence ''wewe ni mfano mzuri kwa kina mama /dada wakitanzania hasa waishio uk''endelea kutuwakilisha dada''
ReplyDeletepeleka ujinga wako kule ,nyau wewe au nawewe unatafuta kupewa kazi ubalozini?wewe nani kwanza wakumpangia balozi aende wapi''jipanje tena ''
ReplyDeleteFlora nakupongeza kwa kupasua ukweli ni vizuri ubalozi uwe na utaratibu wa kuwajumuisha watanzania katika sikukuu za kitaifa kupitia Jumuiya ya watanzania ili kuepusha watu binafsi kuandaa shughuli zenye hadhi ya kitaifa. Naamini kama mtu binafsi anaweza kuandaa shughuli kama hii basi haitakuwa suala kubwa kwa ubalozi ambao unawakilisha nchi. Nadhani Flora umetoa changamoto kwetu watanzania wote hapa Uingereza na pia kwa serikali na ubalozi. Ubalozi ujipange na ushike nafasi ya kuongoza shighuli hizi muhimu.
ReplyDeleteumetoa maneno mdomoni mwangu Flora Lyimo 'unahitaji kuzawadiwa kwa kweli 'you are STAR NA UPO JUU KAMA NYOTA MDADA''' lets hope wataitisha huo MKUTANO VERY SOON babla ya MUUNGANO DAY'' mdau hapo juu umesema kweli kabisa UBALOZI UJIPANGE NA USHIKE NAFASI YA KUONGOZA SHUGHULI HIZI MUHIMU'
ReplyDeletewell done flora, sema kweli ndo dawa ya kutatua matatizo
ReplyDelete