MY GIRLS' THANKS SO MUCH FOR YOUR HARD WORK'' BE BLESSED ALWAYS'
THE CEO MWENYEWE FLORA LYIMO AKA MBUTA NANGA 'WACHA MBUTA NANGA STYLE IDUMUUUUUU''RUWA MANGI AIKA MBEE'
TUNASEMA'' MBUTA NANGA'' HAHHAHAAAAAAAA''
SIYO KWA MSHANGAO HUO 'YANI SJUI HUYO DEM NINI KINAMSHANGAIZA HIVYO '
HABARI NDIYO HIYO '' YANI KWA KWELI MUNGU NI MWEMA NA NASEMA ASANTE SANA KWA WALE MLIO NIALIKA KWENU XMAS NA SIKUWEZA KUJA ' MSIJALI SASA KWA SABABU BABA YANGU RAIS MAGUFULI KACHACHAMAA NA KUHAKIKISHA WATU NI KAZI TU'' IPO SIKU TUTATENGENEZA MIHELA NA KUSEMA 'YOU KNOW WHAT I WOKE HARD FOR IT ,NOW IS THE TIME FOR ME TO ENJOY IT''
AMEN''
BWANA AWE NANYI KAMA ALIVYO NAMI 'AMINA''
No comments:
Post a Comment